maisha

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Arusha wazuri sana kuwatoa out, hawafeki maisha, wanagonga "nyeupe" kwa uhuru sio visavana, hawana tabia za kumkomoa mtoaji

    Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini waitwe Tomboy na siyo Tomgirl kwa maana ya Tom ni jina la jinsia ya kiume na girl ndo uanamke wao?

    Nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya neno “Tomboy.” Kwa kawaida, linamaanisha msichana ambaye ana tabia, mavazi, au mienendo inayohusishwa na wavulana. Lakini kila nikilitafakari, linazidi kunichanganya. Kwanini msichana aitwe Tomboy jina lenye maneno mawili ya kiume: Tom (jina la kijana wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tushauriane hapa: Kipi bora kutafuta maisha ndio uyaishi au kuyaishi maisha ndio uyatafute

    Najua kwenye maisha kila mtu ana msukumo wa ndani unaomfanya ajibidiishe kutafuta mafanikio ambao kwa jina lingine huitwa ndoto Sasa je ni kipi ni sahihi kukifanya kwa mtafutaji, awe na ndoto fulani katika maisha yake aanze kutafuta kwa bidii ndio aiishi ndoto hiyo au awe na ndoto fulani katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kijana Ukiwa above 25 ni bora usiwe na mwenza kabisa kuliko kuwa na mwenza hasiye na Mchango wowote kwenye maisha yako

    allen_strong anasema As a man, you should either have a supportive woman by your side or no woman at all. There's no third option. Japo yeye ameongelea kwa wanaume ila mimi naongezea hata kwa wanawake pia. Ni bora uwe single kuliko kuwa na mwenza hasiye na mchango wowote positive kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Ayatollah kwa kuhofia maisha yake, anaongea sasa kwa kupitia msaidizi

    Huyu mzee anajua kilemba chake sasa ndio kimebaki baada ya manyuklia kusambaratishwa, ameingia mitini, anaongea kwa kupitia msaidizi, hataki kuwahishwa kwenda kwa mabikira. Hezbollah supporters organize a demonstration in support of Iran as it continues its mutual attacks with Israel, in...
  6. JamiiForums Tanzania Acha uchawa. Pambania maisha Yako. Pambania Tanzania

    Huwa nasikitika sana tu yuvisisiemu namna tunatumika masikini na wanasiasa. Hawa wanasiasa wanawatumia tu ili wao wafanikishe mambo yao. Mwisho wa siku nyie mnabaki masikini wa kutupwa. Enyi vijana. Acheni uchawa. Pambania maisha Yako,pambania Tanzania. Nawaambieni nchi yetu inaongozwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi ...
  8. JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha bila kazi na Uchu wa Madaraka; Kisa cha "Endorsement" za Wallace Karia

    Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa sababu wana uchu pekee, bali pia kwa sababu nchi imetengeneza mazingira ya ‘kila mtu abebe chake’...
  9. JamiiForums Tanzania Umaarufu Usio na Maadili ni Mzigo wa Maisha

    "Wachana na kiherehere cha kutafuta umaarufu wa kijinga unaoweza kuyagharimu mapambano yako ya maisha. Hukuzaliwa ili kuwadhalilisha wengine kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii, uliletwa duniani kutimiza kusudi, si kuigiza maisha." — Alloyce, P.R.
  10. JamiiForums Tanzania Ukipewa box ambalo lina kila kitu ulichowahi kupoteza kwenye maisha yako! Ni kitu gani cha kwanza utakitafta kwenye hilo box?

    Ukipewa box ambalo lina kila kitu ulichowah kupoteza kwenye maisha yako! Ni kitu gani cha kwanza utakitafta kwenye hilo box?
  11. JamiiForums Tanzania Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya kujilinda na kuepuka athari mbaya za wivu, chuki, ubaya, na ukatili katika maisha yetu. Katika...
  12. JamiiForums Tanzania Azam wafanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana

    Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam waliofanga hapa kigamboni mtu unasikia Ata raha sasa kuishi kigamboni BRT ebu fanyeni tathmini...
  13. JamiiForums Tanzania Je umri wa miaka 32 ni umri sahihi wa kuoa na kuanzisha Maisha ya kifamilia?

    Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa. Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa? Ahsante.
  14. JamiiForums Tanzania Kauli ambazo za wanafalsafa mpaka leo zinaishi kwenye maisha yetu mifano tunayo

    Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika. “Even the worst rulers always find men who will praise them.” (Hata watawala wabaya kabisa huwapata watu wa kuwashangilia.) Au katika Kilatini kama alivyoandika...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na mafanikio ya binadamu

    "Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
  17. JamiiForums Tanzania Lawama katika Maisha

    Kweli tunapitia nyakati ngumu na kweli kuna wakati ulinisaidia salio kidogo nikanunua LUKU lakini msaada huo uliambatana na masimango. Naam na kwa kumbukumbu zangu baada ya hapo si kwamba nilikutupa... la hasha nilikuwa pamoja nawe katika shida mbali mbali,,,, Pamoja na hayo bado unaona...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Dhana na maisha kama safari ya kumbukumbu

    DHANA YA MAISHA KAMA SAFARI YA KUMBUKUMBU. Ikiwa maisha ni mkusanyiko wa kumbukumbu, basi kuishi ni kukumbuka. Na kama mwanadamu amezaliwa na kumbukumbu za maisha ya nyuma, basi kuishi ni kuendeleza mfuatano wa kumbukumbu hizo. Kifo basi si mwisho wa uhai tu, bali ni mwisho wa uwezo wa kukumbuka...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

    Salaam, Shalom! Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum. Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
  20. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…