maisha

  1. JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Furaha na Mateso katika Maisha

    Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kijana jitambue: Fanya kitu sahihi kwa muda sahihi, ishi maisha yako

    Habari zenu wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja Mimi sio mgeni humu ila nimetumia ID mpya so niwatoe hofu ya hiyo username yangu. Mara nyingi vijana hawatambui ni vitu gani wanapaswa kufanya na kwa wakati gani. Kijana tambua kuwa muda unaoutumia sasa una matokeo mbeleni Ujana una...
  3. JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.

    Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa. by Saidi Makini MAFANIKIO 1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa. 2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile. Hapa...
  6. JamiiForums Tanzania Maishani...

    There was a blind girl who hated herself just because she was blind. She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her. She said that if she could only see the world, she would marry her boyfriend. One day, someone donated a pair of eyes to her and then she could...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…