Moja ya mambo yanayovutia katika jamii yetu ni jinsi tunavyoutazama ndoa na maisha ya mtu asiyeoa au kuolewa.
Mwanaume anaweza kuwa ameoa, ana watoto, ana nyumba na kwa nje akaonekana kuwa amefanikiwa kila kitu. Jamii humpongeza na kumwona kuwa ni mtu aliyefanikiwa, anayewajibika na...
Wakuu,
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadilisha kwa kiasi kikubwa namna binadamu tunavyofahamiana, kuwasiliana, kufanya biashara na kuendesha maisha yetu ya kila siku.
Miaka kadhaa iliyopita, kumfahamu mtu aliyeko Marekani, Nigeria, Uingereza au hata mkoa mwingine wa Tanzania...
Dont take the love you are given for granted.
Ukipata muda na kama bundle yako inakuruhusu, basi pita hapa youtube kisha subscribe, like and hit the notification button kwa burudani zaidi.
https://youtu.be/vCIqVwP57yI?si=GGpZYsLeQJjRumpt
R.i.e.p wapendwa wetu waliotutoka october 29 2025
Kwa kawaida ubongo wa binadamu hufanya ulinganisho karibia kwenye Kila kitu ili ajue kitu ni kizuri a kibaya
Kwa mfano:
Mwanamke inaingia naye kwenye uhusiano wa kimapenzi, baada ya siku kadhaa anakutosa kwa sababu huenda waliompitia Wana mikonga mikubwa wewe una sijui kipilipili sijui...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa
Naishi Dodoma, nimeajiriwa
Elimu yangu ni ngazi ya shahada
Dini yangu ni Mkristo
Mwili wangu ni kawaida
Afya yangu ni njema
Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu
Dini yake awe mkristo
Mwili...
Naona kama watanganyika tumesha zoea hili la serikali kuua watu, yani wala hatujali tunaona kawaida tuu, na wala hatuoni kama ni mjadala tena, yani ni kama tumesha kuwa polarised kwa matukio ya namna hii ,tumesha ona ni sehemu ya maisha yetu na serikali ,
Je, Ndio tumesha kubali kutawaliwa kwa...
Na huo ndo ukweli
Wanaroga vibaya sana
Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama
Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k
Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na...
"Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku huwezi kujitenga na siasa.
Aristotle, mwanafalsafa mashuhuri anasema mwanadamu ni kiumbe cha kisiasa...
wassup ma-niggas mlioko kwenye hili jukwaa! Inabidi sasa tuongee lugha moja maana hii straight-up fuckery inazidi kimo. Tunakaa kimya mnadhani sisi ni dead bodies? Mnatuona kama sisi ni lame-ass puppets mnaoweza kutuvuta kamba mnavyotaka? Hell no, man! Tumeshastuka na huu usenge wenu! Mnatupiga...
Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia.
Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda nafasi ukudhibitishie yupi ni rafiki wa dhati na yupi ni rafiki wa maslahi na yupi ni adui yako...
Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika.
“Even the worst rulers always find men who will praise them.”
(Hata watawala wabaya kabisa huwapata watu wa kuwashangilia.)
Au katika Kilatini kama alivyoandika...
Binadamu wote sio wakamilifu, mara kwa mara tumefanya matendo na tumesema maneno ambayo kwa namna moja yameweza kuleta madhara katika maisha yetu na wenzetu.
Watu wengi wanasema Makosa katika Maisha hayaepukiki, ndio maana kila mtu ameshawah kufanya makosa.
Tuachane na hayo.
Maana Yaliopita sio...
Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
Ndugu zangu,
Naongea kwa uchungu hadi nahisi kupiga kelele... Nilikuwa na mahusiano na mkaka mmoja hivi. Mahusiano yakanoga, nikashika ujauzito. Akakubali fresh tu, tukawa tunaishi pamoja.
Baadaye ujauzito ukaanza kunisumbua naumwaumwa ikabidi nirudi nyumbani nikiwa na ujauzito wa miezi miwili...
LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU
Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao..
Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza...
Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura:
Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.