maisha yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    Wakati mwingine, ukimya ni hekima: tafuta pesa, ishi maisha yako!

  2. Red black

    Maamuzi unayofanya leo ndiyo yanayojenga msingi wa maisha yako ya kesho/future.

    Kila hatua ndogo unayochukua sasa ina matokeo makubwa baadaye, iwe ni katika elimu, kazi, fedha, au mahusiano achana na mambo ya destiny na fate Usidharau steps zako sasa keep moving, focus Maamuzi yako ya sasa ndio yataamua uwe wapi baada ya miaka 5,10 au 20 kwenye maisha hakuna shortcut...
  3. Red black

    Kama unapost kila kitu kinaendelea kwenye maisha yako kwenye social media Bado hujakua/komaa kiakili

    Unakuta jitu kila kitu linapost kwenye Media jinga kabisa
  4. Nestory Semeni

    Ulitambuaje Kusudi La Maisha Yako?

    Naamini kwa utulivu kabisa unapumzika weekend hii, Kuna swali hapa "ulitambuaje kusudi la maisha yako?" Anyway kwangu bado sielewi sio kwamba nimekata tamaa ila ni kama nahis kuchangangikiwa, Ila sio hatua ya kuanza kuokota makopo 🤣, Sasa hivi huwa nafanya kazi na kupata angaalau mshahara wa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

    WATU WANNE KWENYE MAISHA YAKO KAMWE HUTAKIWI KUWAAMINI HATA KIDOGO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leo sina kelele sana. Nimechoka na vijana wanaonisumbua kwenye biashara. Hata hivyo haya hayawahusu. Watu ambao hutakiwi kuwaamini hata kidogo; 1. Wanasiasa. Hawa ndio vinara. Hawa aiseeh...
  6. Vien

    Kama unatafuta watu wa kukuamini kwenye maisha yako, pambana sana ujenge imani kwa wateja wa kike kwenye biashara yako

    Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe. Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
  7. Ertugrul Bey

    Shida unazo pitia leo, sio hukumu ya maisha yako yote,ni sehemu tu ya safari yako!

    Ujumbe wa kutia moyo, kujenga matumaini na kutokata tamaa katika maisha. Katika maisha kuna wakati unaweza kujikuta unapitia kipindi kigumu sana, kiasi kwamba kila unapoangalia mbele huoni matumaini yoyote. Unajaribu jambo hili linashindikana, unajaribu lile nalo halifanikiwi. Wakati mwingine...
  8. Gunner11

    Maana ya maisha, ni maisha yako mwenyewe

    Tunaishi kwa matarajio makubwa sana.. Unadhani kutopata mke mzuri, kukataliwa na mtu tumpendaye na kukosa mahusiano mazuri ni kwamba hatuna thamani. Tuna dhani wanaoendesha magari ya kifahari na kumiliki majumba ya thamani ndo wanamaisha bora. Unafikiri kuwa kukosa kazi nzuri na kuwa...
  9. mdogo wenu wamwisho

    Ukijipa Siku 30 za Nidhamu, Maisha Yako Yanaweza Kubadilika Kiasi Gani?

    Wakuu, kuna mambo madogo tunayoyafanya kila siku ambayo yanaweza kuwa yanaturudisha nyuma bila sisi kujua. Fikiria kujipa siku 30 za kufanya haya: Kupunguza muda wa mitandao ya kijamii. Kuacha pombe na vyakula visivyo na afya. Kusoma angalau dakika 30 kila siku. Kufanya mazoezi dakika 30...
  10. Jemima Mrembo

    Hii ni fursa ya kubadilisha maisha yako. Kwa mtaji mdogo, unaweza kuanzisha fleet line yako mwenyewe.

    Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe. Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa. Starting price ni 21 million, maongezi pia...
  11. Red black

    Usijilinganishe na watu wengine. Ishi maisha yako, kuwa na shukrani

    Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha. Usiji-compare na watu wengine Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko na biashara ya kutisha stop that madness ishi maisha yako shukuru kwa kile ulichonacho. #StressFreeZone
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?”

    Hamjambo! Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo. JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako? Ni mumeo? Ni mkeo? Ni wazazi wako? Au watoto uliowazaa? Au serikali? Kama huna unayemsubiri. Sasa muambie Mtibeli hapa, nini...
  13. M

    Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Maombi ya Yabezi ni muhimu sana kwa maisha yako, usiache kuyaomba.

    Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10. Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
  15. Design Your Idea

    Hivi ndivyo mtiririko wa gundu unavyokufikia kupelekea utafutaji na amani ya maisha yako kuwa wa tabu sana

    Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana, Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza. Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
  16. Tlaatlaah

    Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  17. Gospel KTV

    Maisha Yako bila Yesu yatakua Magumu sana lazima Kuna Siku Utapotea

    Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu. Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu. Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha? Unamhitaji Yesu ndugu...
  18. Dennis Robert Shughuru

    Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬 𝑴𝑨𝑰𝑺𝑯𝑨, 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑼 𝒁𝑨 𝑲𝑰𝑭𝑰𝑲𝑹𝑨 (𝑴𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨) 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑼𝑱𝑰𝒁𝑨 𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12 𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢...
  19. Eli Cohen

    Tunaishi sana kwa matumaini, ila nikutaarifu kuwa hata katika lowest point ya maisha yako kuna mtu atafaidika na tabu zako. Ukipata fursa leo usilale

    Kwa huu uchumi wetu wa "UPIGANIZATION" unatakiwa uChape ilale. Chapa kabisaaaaa mwana waneee Ichape kama kesho haipo Muda wa kumpuzika iwe kifo chako maana maisha hayana thamani tena. Unaetegemea urahisi kutoka kwake mpunga alionao ataula na vitukuu vyake na yeye mwenye aliiichapa ilale...
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    Prove me wrong, hizi kazi au biashara ukifanya usipobadilika uwezi kutoboa maisha yako yote

    Ualimu/kuajiriwa halmashauri. Wazee wa tgs brother hapa usipokuwa mwizi, usipofikiria nje ya box, usipokuwa na determination kali nafasi ya kutoboa itakuwa ni ndogo, kwasababu maisha yatakuwa magumu mpaka utakapostaafu. Ukibadilika ukawq smart ukaongeza ujuzi wako unaweza kupunguza ukali kidogo...
Back
Top Bottom