mahusiano

  1. Jamaa ameenda kudai figo kwa mke wake aliyomchangia baada ya kuachana

    Daktari wa upasuaji wa New York, Dk Richard Batista aliushangaza umma alipomtaka mkewe aliyeachana naye amrudishie figo aliyokuwa amemchangia au amlipe fidia ya dola milioni 1.5 ambayo ni sawa na 3,906,109,089/= ya kitanzania Soma pia: NILIMPA FIGO YANGU Huko nyuma mwaka wa 2001, Batista...
  2. M

    Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    Alikuwa mkimya, mtiifu. nilidhani kwa dhati kuwa nimempata wangu wa ubani. Nilikuwa nimejipanga kabisa awe mama wa watoto wangu. Hata siku moja sikuwahi kumtilia shaka. siku chache za mwanzo nilikuwa navaa kinga lakini sikuona natosheka, tulivyopima na kuona majibu yapo nega nikaanza kupiga...
  3. Mnapoanza kusave majina kama m23, m24 kwenye mahusiano khaa kazi ipoo

    Jana nilikuwa na gfriend kidogo tulienda outin Wiki tatu zilizopita nilimuudhi kidogo Gaflaa nkasema nipige simu yake analalamika haitoi sauti Kupiga naona nimesaviwa M23 Nkashtuka nkamuliza kwa ubaya gani umenipa jina kama hili Mns kuna m24..m25...akaishia kusema sorry alikasirishwa...
  4. Mtu mwenye taaluma gani kamwe huwezi kuwa nae kwenye mahusiano ??

    Mimi binafsi siwezi kuwa na mwanasheria katika mahusiano Wewe je??
  5. M

    Mwanamke ili aweze kukutii kama kiongozi katika ndoa unatakiwa kumzidi vitu vingi, kinyume na hapo au kumruhusu akuzidi ni risky

    Wanawake ni viumbe ambao ili aweze angalau kuwamudu hata kwa mbali katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vingi Mzidi elimu, mzidi umri, mzidi kipato, mzidi hekima, ,mzidi urefu, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Vya kumruhusu akuzidi ni akuzidi usafi, ukimya, ucheshi...
  6. Mimi sio expert wa mapenzi wala mahusiano, ila kijana mwenzangu hauwezi yashinda mapenzi ya kisasa thus fanya yafuatayo ili ku-cope up na mahusiano

    KWA WAREMBO: ♥️The more mwanaume anavyozisogelea pesa na mali, the more zipu yake inafunguka. ♥️Asili na chimbuko la ndoa halikuwa na kipengele cha feminism na mwanamke kuwa msemaji mkuu, thus kama unataka hivi tafuta wale jamaa wa kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja tofauti na hapo...
  7. Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  8. Kwenye mahusiano kila mtu ana mapungufu yake , kumuacha mtu ni kutafuta mapungufu mapya kwako

    Usifikirie kubadilisha mahusiano ndio hautakutana na matatizo/ changamoto . Kila mtu atakuja na changamoto zake mpya. Kuna muda jifunze human nature , mapungufu madogo ya mpenzi wako yavumilie. Unaweza ukamuacha mtu m baya ukakutana na m baya zaidi. Ukasema ni afadhali yule
  9. Kwani baadhi ya wanawake ni nini mnataka kwenye mahusiano? Punguzeni kuwaumiza wanaowekeza kwenu

    Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya duniani, mwisho wa siku unafumwa na usaliti mtu anabaki kujiuliza kwani huyu alipungukiwa nini mbona...
  10. Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

    Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies. Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi...
  11. Mahusiano ya Sasa Kuna kuachwa na kutelekezwa😂😂😂

    Nimeona watu wakilalamika namna wanavyopitia shida za hapa na pale kipindi cha kuachana ... Kun watu wanaoachwa na kutelekezwa. Hii imekaaje???🤕🤕🤕🥱🥱🥱
  12. R

    Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  13. Taja sababu iliyokuharibia ukashindwa kuwa na mahusiano na mwanamke uliyompenda kwa dhati

    Hapo vip!! Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa. Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka...
  14. Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu. Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa. Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
  15. Gentlemen commandments//the art of winning women psychology

    1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana 2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake". Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute 3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
  16. Nashangaa Wale Wanaoshobokea Waarabu — Hivi Mnajua Kwao Hamuoi Wala Hamuolewi? Mnatambua Kwamba Kuoa na Kuolewa Nao ni Kuchafua Koo Zao na Damu Zao?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
  17. Kuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi

    Kuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi baadae akaugua akawa ananicheki naenda kwao kumuona nisipomuona inakuwa case alikuwa anapiga simu mda wowote akinikumbuka imekuja kutokea issue maflani majuzi Nikampigia simu saa 4 usiku Kama emergency jana nakuta maneno...
  18. Mahusiano Ya kuigiza hayafai.

    Hey wajaa!! Nimekuta hii story huko FB, kwa kweli nimeishiwa hadi nguvu, inawezekanaje? Watu wanawezaje kufanya haya yote? Ili iweje? Mbona sijioni nikiweza kabisa kuishi kwa style hii? Kijana wa watu akaamua kuishi kwa kutaka kufurahisha waja/jamii ili aonekane wa tofauti, kumbe sivyo...
  19. Wataalamu wa mahusiano imekaaje hii?

    Wakuu si ulonzi huu? Mshana Jr, embu tia neno hapa.
  20. Mwanaume usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele, Usiwe na mahusiano na Boss wakoMkigombana utapoteza

    🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌 4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…