mahusiano

  1. Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

    Wewe uliojufunnza unataka kurekebisha. Yeye aliyojifunza anataka kuendeleza maana ndio anataka atumie kama defence mechanisma dhidi yako. So ndugu hakikisha kama upo 27-38, oa binti alie 18- 22. UTANISHUKURU.
  2. Maendeleo Kwanza: Vijana wa Kiume acheni kuteketeza Fedha kwenye mahusiano

    Vijana wengi wa kiume hukutana na changamoto ya kutumia muda na fedha nyingi kwenye mahusiano kabla hata ya kuweka msingi thabiti wa maisha yao ya baadaye. Ni jambo la kawaida kuona kijana anatumia kipato chake chote kuhudumia mwenza wake, kuanzia kodi ya nyumba, mavazi, chakula, hadi matumizi...
  3. W

    Umewahi kuwa na mahusiano na mtu ambaye unajua yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine, iliishaje?

    Kuna hii concept ya "Open relationship" kwamba wewe uko kwenye mahusiano na mtu lakini mnapeana ruhusa ya kuwa na mahusiano na watu wengine nje ya mahusiano yenu. Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kukutana na rafiki yangu ambaye niliwahi kufanya nae kazi miaka ya nyuma. Ni kijana flani hivi mzuri...
  4. Hersi Said amepotosha kuhusu mkataba wa Yanga na kampuni ya BlackBird AI

    Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI. Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya kuiwezesha Yanga kupata analysis za wachezaji wakiwa mazoezini na katika mechi. Huu ni upotoshaji...
  5. Msanii/Mchungaji Christina Shusho: Nipo kwenye mahusiano serious na mtu wangu ana wivu sana

    Sanii wa nyimbo za injili na mchungaji ametangaza kuwa yupo kwenye mahusiano serious na mtu mwenye wivu na asiyetaka kuonekana . Awali ndoa yake ya muda na mme wake mbaye pia ni mchungaji mchungaji Shusho ilivunjika na kila mtu akaendelea na huduma yake . Mchungaji na msanii chistina Shusho...
  6. Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  7. Mwanamke ukitaka kuolewa kuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayekupenda na sio unayempenda wewe

    Hapo vip!! Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa...
  8. Kama huna sababu usiingie kwenye mahusiano

    Ndugu zangu kama kijana mwenzenu nawashauri kama huna sababu za msingi usiingie kwenye mahusiano, Mahusiano ya sasa ni hasara tupu, hakuna faida hata moja utakayopata zaidi ya kujiongezea matatizo.
  9. Mnafanyaje hadi mnapendwa?

    Wanangu tupeane code kidogo hivi nyie mnafanyaje fanyaje mpka mwanamke anakupenda kabisa, kuda dada kila siku lazima ampost mwana ake yaani deile ,kuna ile wegine wanawake mpka wanawagombania hivi nyie mnafanyaga nini mpka inakuwa hivyo? Au ndio hela?
  10. Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  11. Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WASOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  12. Uzi maalum wa kutaja sababu ya pisi/mrembo wa kwanza kumpenda kukataa na kuchoma kibanda

    Oya wajomba kila mwanaume kuna mrembo wa kwanza kumpenda na kuamini kabisa ile mali ndo ilikuwa ya maisha. Na ulitumia mda mwingi sanaa kipiga swaga lakin dakika za jioni bado alichoma kibanda. May be Yeye alichukulia powa, au kuna kipengele kiliingilia katikat ukamkosa ukapitia kwa stress za...
  13. Namna pesa inabadilisha vijana kwenye mahusiano.

    Hapa nazungumzia sana vijana ambao wanajitafuta kwa wakati huu; mara nyingi jamii inawapa msukumo wa kutafuta hela na inawathibitishia kwamba bila kuwa na pesa wao si kitu na hawana nafasi ya kimaamuzi au ushawishi wowote kwenye jamii na hata kwenye mahusiano. Vijana (ME) kwa sababu ya fikra...
  14. Enyi Wadada Kabla Hujaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanamme Mwenye Miaka 34-40 Sikiliza Hii

    https://www.instagram.com/reel/DNXjr6kMXuQ/?igsh=ZTR6Nm1qeG00dXE0
  15. Fuatilia huyo mchumbaako wa kike ana/alikuwa na mahusiano gani na Babaake. Kwa sababu future yenu ipo hapo

    Hamjambo! Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu. Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake. Asilimia tisini na tisa Wanawake ambao ni Wife material wana uhusiano bora na Baba zao. Wanapendwa...
  16. Kila mwanamke mrembo unayemuona, ana mwanaume ambaye amechoka kuwa naye kwenye mahusiano

    Take Note.
  17. Mahusiano yasiyo na maana

    Wakuu kwema humu... . Kila mtu lazima atakua matarajio yake kwenye maisha hususani swala la kuwa na ffamilia..swali langu je unaweza kuoa mwanamke ambaye anamtoto.? Binafsi siwezi kabisa
  18. Wife Material ndio yupi?

    Habari za asubuhi wana MMU. Niende kwenye mada. Huwa napita sana humu kwenye nyuzi na kugundua kuwa wengi walioko humu ni Gen Z. Hii ni kutokana na mada zao wanazoanzisha, au kwa namna wanavyochangia. Sasa kwa sisi Gen late 70s tunapatwa ukakasi wa kuchangia mada. Ila kwa kuwa mimi ni mshauri...
  19. Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

    Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano: #1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8). Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa. Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…