mahusiano

  1. Vijana tuwe makini. Mahusiano ya online ni sawa na kuuziwa mbuzi katika gunia

    Heri ya mwaka wa 2021 Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi. Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona...
  2. J

    Pendekezo: Ingeundwa Wizara ya Dini ambayo ingesimamia mahusiano ya dini na siasa

    Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa. Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya...
  3. Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

    Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. Mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run. Ila baadae miaka 6 nyuma nilikutana na...
  4. Wanawake kumbe wana tabu hivi katika maisha na mahusiano na wanaume?

    mnawezaje kubadili kiumbe wa mwenyezi Mungu
  5. Uko upande gani?

    Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa kuwasaliti Wapenzi au Wake zao hawana kabisa, wanatulia na Mtu mmoja"
  6. E

    Kwanini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa?

    Habari za Leo wakuu. Wakuu nina swali... Hivi ni kwa nini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa? Na je tufanyeje ili kuwadhibiti? Labda nikupe tu mfano mmoja. (Wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuchukua limbwata za kuwafunga waume zao) Lengo hapa ni...
  7. Wanawake walio kwenye mahusiano na matajiri ni ushahidi tosha mapenzi sio pesa, pesa inalazimisha mapenzi

    Ni wanawake wachache sana wanaweza kuukwepa mtego wa pesa za mwanaume anaehitaji kuwa na mahusiano nao. Hii ni kwasababu pesa hio ndio tatizo kuu la dunia, tunaitafuta kila siku na ni ngumu kuipata na bila hio pesa maisha yanakuwa magumu. Hivyo ni kazi sana mwanamke kukwepa hili hasa...
  8. J

    Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Ni zipi sifa za kusitisha ajira kihalali?

    Ili kusitisha ajira kuwe kwa halali mbele ya sheria ni lazima kuwe na misingi na kufuata taratibu zilizoainishwa. Mwajiri anahitajika kua na sababu za halali na za haki za kusitisha ajira. Mbali na sababu hizi za halali za kusitisha ajira, mwajiri ni lazima afuate taratibu za halali za kusitisha...
  9. J

    Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Fahamu kuhusu kusitishwa kwa ajira kusiko kwa haki

    Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa makubaliano, mwajiri kusitisha kazi, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kustaafu, kuritaya, mwenendo mbaya wa kazi...
  10. Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  11. R

    Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

    Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
  12. Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

    Habari za muda huu GUYS... Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana). Kwa mara ya kwanza nlikutana nae kimwili mwaka 2018 akiwa bdo virgin kipindi hivyo nasoma advance mkoa...
  13. A

    Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

    Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
  14. Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

    Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
  15. Safari ya mahusiano (mapenzi)

    Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada.. Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli. Napenda sana drama ndio maana huwa nakua na msukumo sana wa kuja kuandika hapa JF. Matukio yalikua hivi.. kuna kipindi...
  16. Nalaumu sana mabinti, wanakosea sana kwenye mahusiano (Ep. 1)

    Twende moja kwa moja kwenye mwanzo wa Series hii. ~Kitu cha kwanza ambacho wasichana wengi wanakosea ni, kuamini kua mwanaume akimpa hela ndie anampenda kwa dhati, Wanawake wengi amabo ni wazuri kwa muonekano (maumbo ya kutamanisha) wanajiamini sana kua lazima apate mwanaume atakae mpa hela na...
  17. Asilimia 90 ya mahusiano bora yanajegwa kwa misingi ya kuvumiliana na kubebeana madhaifu, huyo ndio maana ya upendo

    za mda huu na weekend kwa ujumla wake,niende kwenye mada moja kwa moja, kwa mfumo wa kuanzisha mahusiano katika karne hii ya kizazi kipya, ni ukweli usiopingika wengi wetu huwa hatuchaguliwi nani au familia gani ya kuwa nayo kimahusiano ambapo ndio inaleta familia na watoto. kwa sababu...
  18. Umewahi kuwekeza nini kwa ajili ya mapenzi (mahusiano) na mkaja kuachana?

    Swali langu ni umewahi kuwekeza kitu gani au shilingi ngapi kwa kukadilia katika mapenzi ili kudumisha mahusihano yako na mwanamke au mwanaume? Ngoja niongelee kwa upande wangu, Mimi nimekua ni mtu mgumu sana kutoa kitu changu au pesa yangu kwa ajili ya kumpata mwanamke, siamini katika hilo...
  19. Kwa Vijana: Mahusiano mengine ni ya ajabu sana

    Fuatilia mahusiano kwenye mjadala huu usikie maajabu
  20. Uzoefu wangu kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi

    Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato. Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake yalitengeneza mianya ya rushwa, hii ilimfanya awe anatengeza pesa nyingi za ziada nje ya mshahara. ifahamike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…