mahusiano

  1. App ya kudownload movie zilizotafsiri na sizoni bure

    *****†********
  2. Sina hamu na mahusiano (wamenikata stimu)

    Eeh bhana maisha bado yana safar ndefu..tunaendelea kuishi na kitu pekee napenda maishani ni ubunifu wa jinsi ya kuishi vizur na kwa furaha na binadamu. Before 2018 nilikua mtu wa kukutana na mabinti wengi wanao nipenda baadhi nikapendana nao pia, hatukuweza kudumu kwa sababu mbalimbali...
  3. Ndoa ya CCM na Polisi inatuharibia nchi

    Nimekuwa naipinga sana CHADEMA kwa sababu ya uCCM wangu. Lakini kwa hizi pilika zinazofanywa na serikali kukandamiza wapinzani kwa sababu ya kulinda uozo wetu zinanipa mashaka kuwa CCM ndo imekuwa inashika dola na siyo kuongoza dola. 1. Ukikosana na kipngozi wa CCM jiandae kupambana na polisi...
  4. Elimu ya mahusiano sio jambo la muhimu sana

    Jamii yetu imechukulia mahusiano ya kimapenzi kuwa ni kitu kibaya Sana na hata tumelelewa kuamini ya kuwa mapenzi au hisia za kimapenzi ni kosa la jinai. Mfano mzuri ni mashuleni, ukiwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzio inakuwa kosa kuu ambalo unaweza hata kufukuzwa shule. Sisemi kwamba...
  5. Lengo kuu la kuchumbia au kupeleka barua ya posa ni nini?

    Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa Na kwanini huwa tunachumbia?
  6. Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

    Habarini Wana Jamii forum. Siku ya leo nimeona nijikite katika kutoa ya moyoni , kubwa zaidi ntaangazia kundi la watu ambao hujulikana kama introvert na mahusiano ambayo hujihusisha na namna zake. Kwa kuanza kabisa mimi ni introvert wa kutupwa , linapofika swala la mahusiano kwa kweli sinaga...
  7. Mwanaume ukitaka kuwa na mahusiano au kuoa chagua mwanamke mzuri

    Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri). Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli...
  8. F

    Ulinzi mkali wa viongozi unahujumu mahusiano na raia

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano (siyo tukio halisi) Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
  9. Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
  10. U

    Zingatia mambo yafuatayo katika mahusiano

    YAFUATAYO, NDIO MAENEO AMBAYO MTU ALIYE KWENYE MAHUSIANO NI MUHIMU ILI KULINDA MAHUSIANO/PENZI:- Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kwa dhati kuwa katika mahusiano ni kwamba wanakuwa tayari katika akili zao wamejenga matarajio au matumaini ya kunufaika na uhusiano husika, hata kama hawawezi...
  11. Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu...
  12. Mahusiano pasua kichwa

    Nina mpango baada ya miaka mitatu nione, nipo kwenye mahusiano na msichana flani hivi ambao kabila lao linasfika kwa viburi, ana umbo na ni mzuri kiasi. Picha linaanza anapenda sana kula na mm napenda mtu anaependa kula na namjali kwa kula mpaka ndugu zao wanasema kanenepa, ata mm ninae...
  13. E

    Uzuri wa sura na umbo la Mwanamke Muhimu kwenye mahusiano

    Uzuri wa muonekano muhimu mtu asikudanganye... Tena nawashauri vijana, weka mwanamke mzuri wa mwonekano ndani. Wapo wanawake wazuri wenye akili sana tu kichwani... Ina maana gani kuwa na pesa plus an ugly woman ndani... Raise standards kwenye appearances za wanawake unaodate... Kuna watu kwa...
  14. Kuwa kwenye Mahusiano na mtu anaekuzidi umri sana ni hatari?

    Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili? Nawasilisha🙏
  15. Wakati gani wa kuachana na Mahusiano yanayokuweka roho juu?

    Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo?
  16. Ushauri Kwa kijana yeyote anayetaka Kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa.

    Mpendwa rafiki yangu, Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi ni mtu sahihi kwako kama ukiingia kichwa kichwa. Watu wamekuwa ni wa kufanya maamuzi kwenye eneo la...
  17. Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi. Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia. Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia? Je mimi nitakua nakosea...
  18. SoC01 Ndoa na Mahusiano: Yupi mke au Mume bora?

    YUPI MKE BORA/MUME BORA (NDOA NA MAHUSIANO) Lengo kuu la andiko hili ni kwenda kuibadilisha jamii ya watanzania hususan vijana wa kizazi cha leo ilo kuweza kutambua vema dhana halisi ya mahusioano na ndoa na namna ya kuweza kuwa na maamuzi sahihi juu machaguo sahihi kwenye mahusiano yao/ndoa...
  19. Umuhimu wa kusamehe

    Nini maana halisi ya kusamehe? Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia neno “nisamehe” ndipo uendelee na maisha yako. Kusamehe kumewekwa na ni kwa manufaa zaidi kwa yule...
  20. Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage. Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo: 1. Itakujengea komfidens...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…