07 February 2026
Washington State
United States
MTANZANIA MOHAMED JAWAD KHAKI MAISHA YAKE NA SAFARI YAKE KUTOKA TANZANIA HADI MAREKANI ) KAZI KATIKA KAMPUNI YA MICROSOFT NA TAASISI YAKE YA KHAKI FOUNDATION NCHINI MAREKANI NA DUNIA
https://m.youtube.com/watch?v=dtJVDEGf5AI
Mtanzanoa mzaliwa wa...
Kijana ametulia. Anauliza maswali kwa umakini. Very analytical. Hata marehemu Alute Mughwai alikiri kumkubali.
Waandishi uchwara kazi yao kujipendekeza na kuulizq leading questions.
Kuandika makala ndefuuu kama treni la mkeka wa vijana wanaobeti.
Kila kazi inahitaji kipaji.
https://youtu.be/aiKGF_wPISk?si=5kk8dH-yAG6vnAEB
Je, ni akina nani waliokuwa nyuma ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika kabla na wakati wa kuanzishwa kwa TANU? 🇹🇿
Kwa nini baadhi ya majina ya viongozi na wanaharakati waliokuwa sehemu muhimu ya harakati hizo hayatajwi kwa uzito unaostahili...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Ndugu Patrobasi Katambi ametoa amri kwa baadhi ya watu (wanaodhaniwa kuwa wametenda makosa ya jinai) kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili.
Baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Patrobas Katambi...
Kuhusu Kupotea kwa Kanda (Tapes) za Al Jazeera
Mohamed Said anaeleza tukio la kusikitisha ambapo mahojiano yake na kituo cha Al Jazeera hayakuwahi kurushwa hewani baada ya kanda hizo kupotea katika mazingira ya kutatanisha:
Tukio la Zanzibar: "...nikaja kupata taarifa kuwa hawa mabwana...
🚨Magori anasema Barker alisema Uza.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Crescencius Magori, amefichua siri nzito ya jinsi klabu hiyo ilivyolazimika kufanya biashara ngumu ya kuwauza mastaa wao watatu, Jean Charles Ahoua, Kibu Denis, na Steven Mukwala, wakati wa dirisha dogo la...
Mtangazaji (Sky News): "Serikali haikuwa na wajibu [wa vifo vya waandamanaji]?"
Balozi Nyalandu: "Serikali haikuwa na wajibu wa vifo vya waandamanaji. Serikali ilikwenda kulinda kila mtu. Ilikuwa siku ambayo, wakati matukio yakitokea, wanachama wa vikosi vya serikali, polisi kwa mfano..."...
Mahojiano maalumu na former U.S secretary of defence general Lloyd James Austin III kuhusu vita vya Israel & U.S dhidi ya Iran
.Mabadiliko ya mbinu za kisasa kuhusu mapigano ya vita
. Je, Iran ni tishio kwa usalama wa Marekani ?
.Je, Iran ilikuwa karibu au katika mchakato wa kumiliki silaha...
NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi.
Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro.
Soma Pia: Polisi Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel...
Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts.
Mahojiano haya yana facts za kutosha tu. Ila nilichobaini watanzania wengi hasa wakata ufuta ni wabaguzi sana na wana chuki...
Mgombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando (Baba Levo) akiwa kwenye Mahojiano katika kipindi cha one on one Wasafi TV aliulizwa swali na mwandishi wa habari Charles William akirejelea kauli ya Baba Levo kuwa Wabunge wanalipwa Milioni 18 kwa mwezi
Soma pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.