Mahari is a ritualistic dance form from the eastern Indian state of Odisha that used to be performed at the temple of Lord Jagannatha at Puri by devadasi dancers called maharis. Following the abolition of the devadasi system, the dance has been discontinued at the Jagannatha Temple but is now performed on stage at many venues. The Mahari dance spurred the development of both Odissi and the Gotipua dance forms of Odisha. The Maharis have been among the foremost exponents of both traditional Odia dance and Odissi music.
WANAUME, TUNAWAITIA MENGI SANA JAMANI!
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Cleophas amefariki dunia kwa kujinyonga, akidaiwa kukumbwa na msongo wa mawazo baada ya kulazimishwa kulipa mahari vinginevyo mwanamke huyo angeondoka.
Uchunguzi wa awali unadaiwa kubaini kuwa mwanamke huyo...
Kesho hatuijui, tukiwa kama binadamu, tuache dhambi, mipombe, ulevi, dhuluma, chuki, ni ushetani, Mungu wetu anapenda mtu mwenye moyo wa kujutia na toba ya kweli
Maandiko yanasemaje kuhusu utoaji wa mahari katika ndoa
Kuna maswali kadhaa ambayo baadhi ya watu huulizana mara kwa mara.
Mifano: Je ulipwaji wa mahari ina ulazima wowote? Je ni agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo, je Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa?
Mahari ni zawadi ya harusi...
Siku kijana anapowekewa karatasi yenye mahesabu ya ada za chuo, gharama za chakula cha miaka 20 iliyopita, na orodha ya samani za kifahari ili tu aruhusiwe kumwoa mwanamke anayempenda, anagundua kuwa hajawahi kuwa kwenye mazungumzo ya familia bali yupo kwenye mnada wa biashara.
Mtego huu wa...
Wakuu, Hope Mko Poa....
Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa, Kitendo cha kutoa Pesa Ni kama Namnunua Hivii....
Vilevile Naonaga hili Linachangia Sana Wanawake kunyanyasika Kwenye Ndoa Zao, Ndo ile Unakuta Mtu Anaambulia Vipigo, Manyanyaso...
Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kutoa kauli ya utani yenye ushauri mzito kwa wanaume wanaotarajia kumposa binti yake, Sandrah, hapo baadaye.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Diamond amepokea heri za siku ya...
Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike.
Hii tabia siyo bahati au wanafanya makusud ila ni ya kurithi.
Kijana anaekuja na hoja yake kuhusu kupinga kuwatolea wanawake mahari,
Ni kwasababu amerithi tabia kutoka kwenye familia /ukoo wake na jamii aliyokulia...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Registry ya Mwanza, katika Matrimonial Appeal No. 5 of 2020, M.H.M v D.C, ilieleza kwa msisitizo kwamba: “Ili kuthibitisha kuwepo kwa ndoa ya kimila, lazima kuthibitishwe kwamba taratibu au sherehe za kimila za kufunga ndoa zilifanyika.”
Mahakama ikaeleza zaidi...
Mwanaume mmoja wa Machakos aliingia kwenye ndoa ya Kamba customary akiwa ametumia zaidi ya Sh1.16 milioni, lakini ndani ya mwezi mmoja, ndoa ilikuwa imevunjika.
Alienda mahakamani akitaka si tu divorce, bali pia refund ya Sh1,169,650 aliyosema alitumia kwa mahari, mifugo, chakula, sherehe...
Mrembo Dalali Pink ambaye ni mwendeshaji wa kipindi cha Tema Cheche cha Tiktok ameweka wazi kuwa mahari yake ni milioni mia kwa Mwanaume ambaye anataka kumuoa na kama itashuka sana basi milioni 90.
Dalali Pink amesema kuwa kiwango hicho cha mahari ameweka kwasababu yeye ni mzuri ana macho...
Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja.
Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa.
“Mwanaume akija na mahari ya bilioni...
Kwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa.
Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume.
Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi.
Aidha, zamani binti...
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .
Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo...
Mahari ni desturi na utamaduni ambapo mwanamume hutoa zawadi au mali (kama vile pesa, mifugo, au vitu vya nyumbani) kwa familia ya mwanamke kama ishara ya heshima na shukrani wakati wa kuelekea kufunga ndoa.
Sasa mahari isiyohusisha pesa inaweza thamanishwa na kile kinacho hitajika mfano...
Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka.
Mnatufanya tuendelee kuwa...
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama...
Kuna mtindo ambayo inatrend sana swala la kina dada kujilipia mahari ,
Swali ni kama dada unaeza msadia mpenzi wako kulipa mahari
Na wewe
Kaka unaeza kubali mpenzi wako kukulipia ama kukusaidia kulipa mahari
Nipe maoni yako
Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.
Back to the topic,
Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.
Nina binti niliingia...
kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7
wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.