Je, unatafuta maharage safi yenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumbani au biashara?
Tunauza maharage bora kwa bei nzuri ya TSh 2,800 kwa kilo, kwa ununuzi wa kuanzia kilo 20 na kuendelea. Kwa sasa tuna maharage ya njano na soya, lakini ukitaka rose coco na mengine tunaweza kukuletea...
Mfano wilaya kubwa ya huko Ruvuma, Lindi, Mneya, n.k. igeuzwe iwe ya kulima mahindi na maharage tu
Kuna uwezekano watu wakapata uhakika wa mlo moja kila siku ?
Hi guys hope mko poa,.
Tupike pamoja
1. Maharage yako ambayo yashachemshwa na chumvi utaweka maji kidogo na uweke jikoni yapate moto
2. Katakata kitunguu karoti na hoho uweke na uache vichemke kidogo
3. Ikichemka kiasi weka ngogwe/ nyanyachungu na nyanya kidogo
4. Koroga kidogo na ufunike uache...
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.
Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.
Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri?
Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
Wakuu habari za uzima wenu nyonte.
Si Kwa ubaya Kwa wale wote hasa wafanyabiashara ya nafaka (maharage) mchongo upo morogoro wilaya ya Gairo Kijiji cha Rubeho umbali kama wa dk20 kutoka Gairo mjini.
Nilifika mwenyewe kule katika harakati za hapa na pale nikakutana na mnada hivyo nikaanza...
Tundu Lissu ailaza chali Jamhuri, kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli
Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiangusha Jamhuri katika kesi ya kumkashifu JPM iliyokuwa ikimuhusu Dennis Wilson
Wilson, mwanachama wa Chadema alishtakiwa na...
Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo.
Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa...
Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu.
Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi.
Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu.
Ni kweli ipo mifano toka karne na karne inayoonesha baadhi ya Viongozi au watawala waliwahi kuabuse nafasi hizo.
Uzoefu huo...
Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini.
Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito.
Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75.
Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo...
Huyu mtu mwenye ndoto/maoni ya kweli tu wapi!?..nakumbuka maono yake kuhusu machi 17 na ajali ya ndege kule bukoba
Au 'wenyewe' wamekuzuwia kuanika ndoto kuhusu jamhuri hadharani!?
U wapi ndugu yangu!?
Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu.
Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu mwingi?
Pia ni aina gani ya maharage inayonunulika sana. Na kama una idea ya bei kwa mwezi April 2025...
Wakuu kwema!
Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano
Mchele
Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100
Rejareja 2700 tsh
Maharage
Jumla 3000tsh kuazia kilo 100
Rejareja ni 3400 tsh
Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane
Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa)
Nakuletea popote...
Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia kama mboga kwa binadamu. Katika ekari moja unaweza kupata Kg...
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake.
Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.