mahakamani

  1. Naweza kutumia jina la biashara yako na nikakushtaki mahakamani

    Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi. Ukweli ni kwamba, bila usajili, biashara yako haina ulinzi wa kisheria wala hadhi ya kuaminika mbele...
  2. Jaji Mkuu Masaju: Kesi ya mwezi mmoja mnasema ichukue miaka miwili. Hiyo Mahakama itaheshimika?

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji George Masaju katika ufunguzi wa wiki ya Usuluhishi Aprili 09, 2026 Wiki ya Usuluhishi, inayofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam tarehe 9 Aprili, 2026, amekemea vikali Mahakama kukaa na shauri kwa muda mrefu. Aidha, Jaji Masaju...
  3. O

    Msanii wa Tanzania Matonya Afikishwa Mahakamani Mombasa kwa Tuhuma za Unyanyasaji wa Kijinsia

    Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Matonya, amekamatwa na kufikishwa mahakamani mjini Mombasa akituhumiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia, katika kesi iliyozua mjadala mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Matonya, ambaye jina lake halisi ni Sefu Shabani Ramadhan, alifikishwa mbele...
  4. Trump kasema ataenda mahakamani leo kushuhudia shauri la kupitisha sheria ya kubatilisha 'uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani

    Mzuka wana jamvi ? Rais wa Marekani kasema Leo hasubiri kuona kwenye Tv Ofisini anataka kwenda live mahakamani kuangalia shauri la kufuta uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani. Trump anadai hiyo ilikuwa Maalumu kwa ajili ya watoto wa watumwa enzi hizo Marekani na haipaswi kuwepo sasa , ameenda...
  5. K

    Eti CAG ameshindwa kukagua hati ya CHADEMA kisa kesi mahakamani

    Vituko vya serikali ya mh.Samia vinaendelea Mkaguzi anadai hakwenda kukagua Mali za CHADEMA kwa sababu ya kesi mahakamani Hivi kwani mahakama imekamata Mali za CHADEMA.
  6. M

    Mmejazana kwenye kijiwe cha kahawa hapo stendi ya Zamani Chato mkifurahia Manunga ,Mbunge wenu na wenzake kupandishwa mahakamani

    Mna mambo ya ajabu sana hapo Chato. Ndio mmepata story ya kufurahia? Kwa hiyo kwa hii CCM mnadhania watafungwa?
  7. TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wabunge wawili wa Chato Kusini na Chato Kaskazini

    TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI Ndugu Wanahabari, Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
  8. M

    Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  9. Wanaodaiwa kumteka mwanaharakati wa Tanzania wafikishwa mahakamani Nairobi

    Nairobi. Dereva raia wa Kenya, Nelson Wanjohi Kirika mkazi wa Kenya anayeishi nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai na Aziz Hama raia wa Tanzania, leo Machi 6 wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi kwa tuhuma za kumteka nyara Mtanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha mabaya...
  10. TAKUKURU Temeke: Tumeamfikisha Askofu Mahakamani kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ardhi

    Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
  11. DOKEZO Asilimia kubwa za Mahakama ili upate msaada au huduma lazima utoe RUSHWA

    WAkuu habari, Moja ya taasisi ambazo ni muhimu nchini ni MAHAKAMA ambazo kisheria zinawajibu wa kusimamia haki na Sheria. Sambamba na Hilo raia wanategemea Kuona unafuu wa kupata haki/ huduma/msaada wa Haki zao ukitoka MAHAKAMANI, lakini katika Hali ya kawaida inavyotakiwa kuwa sivyo badala...
  12. Unadhani ni kwanini wafuasi wa Tundu Lisu hawajai tena mahakamani, kuzua vurugu na kuchochea fujo kwenye viwanja vya mahakama kama ilivyozoeleka?

    Nini kimewachosha mapema hivyo na kuwafanya kukata tamaa? Au ni kwasababu ya nanma kibaraka lisu navyojitetea kilezy na kuashiria wazi kabisa kwamba hatoboi? Ni wazi muungwana amechoka kimwili na kiakili, na kabisa nae amekata tamaa na anaona wazi kutiwa hatiani. Gharama za ubinafsi zinamtesa...
  13. G

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
  14. Kesi ya Lissu: Shahidi Coplo Vicent akiri Mahakamani, hakuandika kituo anachofanyia kazi, kwenye Maelezo yake ya Polisi

    Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye Maeneo ambayo nataka nikuhoji. Mheshimiwa Lissu...
  15. Chuki ya Wassira kwa Mh Lissu, ni ile kesi ya Ubunge Mahakamani, Lissu alilihenyesha Wassira mpaka likataka kupigana

    Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo. Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni. Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo lipotayari kufanya lolote kwa ajili ya Cheo. Kwa sasa Linatumia Nafasi yake, kumuumiza Lissu yaan...
  16. BBC Swahili imekuwa too cheap hadi kuchapisha ishu za dodoso la Lissu kule mahakamani, what went wrog ?

    Ili heshimika kama chombo kikubwa cha kidunia kikiangazia ishu kubwa kubwa za kidunia na kikanda tangu ihamishiwe Kenya imekuwa garasa hadi kuhoji vitu vya kitoto kama ndoa na mahusinanaleo ukurasa mzima ni maswali ya lisu na shahidi. Kweli? Leo BBC ni kulipiza ishu za kina Hilder na Boni yai...
  17. H

    Kesi ya Uhaini ya Lissu: Serikali hii ni ya laana, imewatafuta watu wenye dhiki ya maisha na kuwafanya mashahidi wa kificho

    Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
  18. Kesi za kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 Zanzibar, zakutana na kikwazo Mahakamani

    https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri kuhoji uhalali wa viapo vilivyoandaliwa katika kesi hiyo. Hoja hiyo imewasilishwa mbele ya Jaji Salma...
  19. M

    Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  20. Watanzania kwa shangwe waimba rais rais wakimpokea lissu mahakamani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…