mahakamani

  1. Q

    Maria Sarungi: Makamu wa Rais Ndejembi ana kesi Uingereza anadaiwa faini mahakamani bado hajalipa

    AMKENI! @Africa_In_EN imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi Urafiki wake na Abdul iko on recordLakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa! Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 🚮 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini...
  2. Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Jacqueline mahakamani ndani ya saa 24

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kwa Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani Bi. Jacquiline Valence Mlekezi ndani ya saa 24, baada ya kushikiliwa kizuizini kwa siku 27 bila kufunguliwa mashtaka wala kupewa dhamana. Amri hiyo imetolewa mbele ya Jaji Salima...
  3. Nyie wafuasi CHADEMA mkono wa Sheria haumalizwi kwa HASHTAG za #FREE sijui nani, acheni kufata mikumbo mtazeekea Mahakamani.

    Nyie CHADEMA acheni kufata mikumbo kesi hazimalizwi kwa hashtag za free panyaroad wa ufipa. After all; Hizo hashtags zenyewe ni kwa Lissu tu naye zimedumu wiki Moja tu baada ya hapo watu wakaendelea na maisha Yao, hao wengine sijui akina Pambalu hashitag zao zilidumu siku Moja tu baada ya...
  4. O

    Familia za Watu Waliotekwa Mombasa Zatafuta Haki Mahakamani

    Familia za watu waliopotea katika mazingira yanayoshukiwa kuwa ya utekaji nyara katika Kaunti ya Mombasa zimechukua hatua ya kutafuta haki kupitia mahakama, zikizitaka mamlaka za usalama kueleza mahali walipo wapendwa wao. Familia hizo zinasema zimekuwa zikikabiliwa na maswali mengi bila kupata...
  5. R

    Naona baada ya kelele nyingi Hukumu ya Lisu imewekwa! Je mliokuwa mahakamani mlichokisikia ndicho kilichoaandikwa kwenye hukumu?

    someni ni hiyo hapo
  6. O

    Wakili Abshir Abdi Afika Mahakamani Milimani Baada ya Kupatikana Hai Siku 11 Tangu Kutoweka

    Wakili wa Nairobi, Ahmedsadak Abshir Abdi, amefika katika Mahakama Kuu ya Milimani Ijumaa, Novemba 13, 2026, siku moja baada ya kupatikana akiwa hai katika eneo la Sololo, Kaunti ya Marsabit. Abdi alikuwa ametoweka kwa siku 11 tangu Novemba 1, 2026, baada ya kuripotiwa kutekwa na watu waliokuwa...
  7. Tundu Lissu Kupandishwa Mahakamani Kisutu 19/11/2026 kwa kosa la Uchapishaji wa taarifa za Uongo

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kurejea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia...
  8. C

    Mwanaharakati ameandama mahakamani Kenya akishinikiza kuachiwa huru kwa Twaha Mwaipaya

    Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Julius Kimani, amefanya maandamano katika Mahakama ya Milimani jijini Nairobi, kupinga kutoweka kwa mwanaharakati raia wa Tanzania, Twaha Mwaipaya ambaye hadi sasa hajulikani alipo. Hayo yamejiri leo Jumatano, Novemba 11, 2026 siku ambayo shahidi...
  9. U

    Hivi mwana sheria mkubwa Tundu Lissu kuna kesi yeyote ya maana aliyoshinda mahakamani?

    Wadau hamjamboni nyote? Sitaki matusi au Lugha za hivyo njoo na ushahidi wa kesi aliyoisimamia na kushinda
  10. A

    Tundu Lissu afika mahakamani kusikiliza hukumu yake

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini yenye muda wa takriban miezi 19 sasa. Tundu Lissu amefikishwa mahakamni saa hii, tayari kwa kusomewa hukumu yake siku ya leo tarehe 6, Novemba 2026. Kuingia kwake mahakamani kunafuatia...
  11. Watoto wa Lissu au mke wake walipaswa kuwa mahakamani leo.

    Sina uhakika kama watoto au mke wa Lissu wako mahakamani leo, kama hawajafika hili ni kosa kubwa la kimawasiliano CHADEMA watakuwa wamefanya kukosa picha ya watoto au mke wake mahakamani.
  12. M

    Watanzania achananeni na Wanaharakati feki akina Nuruvazi, tarehe watu wote tufike mahakamani

    Msiseme hamkuambiwa hawa wanaharakati wa tiktok akina Nuruvazi na wengine wengi ni assets wa TISS na CCM wamepewa kazi ya kukusanya taarifa na kuharibu Harakati na siasa za ukombozi. Hao vijana kazi yao ni kuharibu Harakati na kutengeneza visa kila wakati vuguvugu LA siasa na Harakati...
  13. K

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
  14. Kama hautaweza kuhudhuria mahakamani Novemba 06, basi walau simama pembeni ya barabara umpungie mkono shujaa Tundu Lissu

    Nadhani wengi wetu badala ya kuwaza kwenda mahakamani 06/11 siku ya kutajwa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, ambapo idadi inayoruhusiwa kuingia mahakamani ni ndogo na ili kuepusha rabsha, wengi tujiandae kusimama pembezoni mwa barabara. Kuna ruti ya kwanza ambayo huwa inatumika kumpeleka Tundu...
  15. Natarajia tarehe 6 nitakuwa Mahakamani kusikiliza hukumu ya kesi ya Lisu.

    Hamjambo wote! Ijumaa tarehe 6. Nitakuwa mmoja wa watu nitakaohudhuria hukumu ya kesi ya Tundu Antipas Lissu. Naamini kila kitu kitaenda sawasawa. Nitakuwa hapo kama Mwakilishi wa Watibeli. Mwenye kujua Venue, na muda sahihi anaweza kunijuza nisijefika hukumu imeshasomwa. Nitakuwepo...
  16. O

    Kenya: Kesi Mahakamani Kupinga Serikali Kutumia Fedha za Umma Kuandaa Mechi ya Bayern Munich na Ajax

    Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium. Katika ombi lao la...
  17. D

    Vipi na yeye atoe salamu za rambirambi za kejeli kama alivyofanyiwa pale mahakamani?!!

    Nauliza tu kwa Nia njema
  18. C

    Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake. Agizo hilo...
  19. O

    Naibu OCS anayetuhumiwa kumbaka Mtoto wa Miaka 13 aingia Mahakamani kwa Magongo, Baada ya kupewa Dhamana akaonekana bila Magongo

    Naibu Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Menengai, Joseph Kipsang’ Ruto, amezua gumzo baada ya video kumuonyesha akitembea bila kutumia magongo, licha ya kuingia katika chumba cha mahakama akiwa anategemea magongo. Kwa mujibu wa video hiyo, Ruto alitumia magongo alipoingia katika chumba cha mahakama...
  20. L

    Kiza Besige Aligoma Kula Chakula hadi kudondoka Mahakamani na kukondeana lakini aliendelea kukaa ndani hadi akaanza kula mwenyewe. Lissu asibembelezwe

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu asibembelezwe hata kidogo Yaani tena ikiwezekana asipewe kabisa chakula kama hataki kula ili kupunguza na kuondoa usumbufu wa kutembea kumbembeleza ili ale chakula . Yeye kama hali na hataki kula basi aaachwe akae hivyo hivyo bila kubembelezwa kwa namna yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…