Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kwa Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani Bi. Jacquiline Valence Mlekezi ndani ya saa 24, baada ya kushikiliwa kizuizini kwa siku 27 bila kufunguliwa mashtaka wala kupewa dhamana.
Amri hiyo imetolewa mbele ya Jaji Salima...
TAARIFA inatolewa kwa UMMA na kwa JAMII YA WANASHERIA kwamba, kuanzia tarehe 15 Disemba, 2026 hadi tarehe 31 Januari, 2027 Mahakama Kuu ya Tanzania itakuwa mapumziko. Katika kipindi hicho cha mapumziko, Mahakama itakaa kwa ajili ya mashauri ya jinai tu na kushughulikia mambo mengine ya dharura...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kwa Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani Bi. Jacquiline Valence Mlekezi ndani ya saa 24, baada ya kushikiliwa kizuizini kwa siku 27 bila kufunguliwa mashtaka wala kupewa dhamana.
Amri hiyo imetolewa mbele ya Jaji Salima...
Habari ndiyo hiyo!
Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State
=====
Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli
Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa
Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria.
Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
hukumu ya lissu
katika
kesi
kesi ya lissu
kusimamia
kuu
lissu
mahakamamahakamakuumahakama nchini
nchini
sheria
uamuzi
uhuru
uhuru wa mahakama
utawala
utawala wa sheria
wakili
Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, huku Jeshi la Polisi likiwatoa katika eneo la lango la mahakama asubuhi hii.
Pia soma: UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa...
Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court)
Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika.
Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar.
Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia jinsi hukumu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu, inavyosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kwa kujiuliza kama je haki itatendeka na kuonekana imetendeka...
Na. M. M. Mwanakijiji
Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake.
Agizo hilo...
MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia.
Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
anapaswa
binafsi
gereza
gereza la ukonga
kanuni
katiba
kisheria
kufunguliwa
kushtakiwa
kuu
kuvunja
kuvunja katiba
mahakamamahakamakuu
mashtaka
mkuu
mkuu wa
mkuu wa gereza
nchi
uamuzi
ukonga
ushauri
ushauri wa kisheria
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imetangaza kuendelea na juhudi za kurejesha KSh170 milioni kutoka kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu uliodumisha hatia yake katika kesi ya ufisadi na kurejesha mashtaka ya utakatishaji fedha.
Katika...
Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.