magufuli

  1. Etwege

    Laana ya Dk Magufuli yamzamisha Zito Kabwe kisiasa

    Moja ya pingapinga mkubwa wa serikali ya awamu ya tano iliyoongozwa na hayati Magufuli na mtu aliyeshangilia sana kifo cha Magufuli kwa akili yake alidhani atakula maisha na kutamba sana kisiasa, sasa ametangaza kutupa taulo chini.! Mwanasiasa huyu ni Zitto Kabwe alipinga ununuzi wa ndege...
  2. Pakome

    Hadi sasa sijafahamu wote waliokuwa wakikosoa manunuzi ya ndege za Air Tanzania kupitia Hayati Dkt Magufuli walimaanisha nini

    Wakati mwingine siasa nikama mchezo wa Paka na Panya huwezi hata kupata sababu nyingi za kukosolewa Hayati Dkt Magufuli kwenye ununuzi wa ndege za Air Tanzania Sijajua walimaanisha nini pengine walitaka Shirika la ndege la Air Tanzania kukosa hata ndege moja ya abiria Inawezekana ukosoaji...
  3. E

    Magufuli

    Pamoja na mapungufu yake inakera sana watu kuto elewa long term goal na momentum movement aliyoanza nayo Jemedari Magufuli. You must be very very very stupid Kama ukuelewa long term vision ya nchi kwa jicho la Magufuli. Yaani upumbavu wa watanzania unaleta hata kusoma. Magufuli alikuwa zawadi...
  4. K

    Uchawa unalipa sana , shida uongozi unapobadilika huishi maisha ya kutengwa na aibu mfano wale machawa wa Magufuli wako wapi?

    Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote. Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa. Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
  5. F

    PostGE2025 Tukiwa katikati ya kuwakumbuka mashujaa wa Oct 29,2025, Tukumbuke pia shujaa Magufuli alizaliwa siku kama leo

    Happy birthday Shujaa, na Mzalendo Magufuli Tunamshukuru Mungu Kwa kutuletea Tanzania,kazi uliyoifanya Kwa muda mfupi ni ya kutukuka. Baadhi yetu, siku kama ya Leo mwaka jana 2025, tulibeba mabango, na wengine wakabeba bango lenye picha yako kama ishara ya kukumbuka uzalendo na kuchukia...
  6. F

    Octoba 29, ni birthday ya Mzalendo, John Pombe Joseph Magufuli

    Hellow! Imebaki siku moja tu kama Taifa tutakuwa tukishesehekea siku njema ambayo mwenyezi Mungu aliiteta nyota iliyostahili kubeba hatma za watanzania siku za mbeleni, nyota hiyo ni mtoto JPM. Siku hii ya October 29 inaSherehekewa kwa mengi, ikumbukwe pia kuwa ,ni katika siku hii, maelfu ya...
  7. Q

    Walitaka Lissu afe kwa risasi Mungu akamjibu, wanapanga afe kwa kunyongwa Mungu atajibu

    Kifo ni kifo tu, kiwe kwa risasi, kiwe kwa kunyonga, kitokee kitandani ni kifo tu. Magufuli alipanga Lissu afe kwa risasi Mungu akakataa ila akajibu instantly, safari hii wamepanga Lissu afe kwa kunyongwa, naimani Mungu atakataa tena lakini atawajibu kwa kipimo kile kile pengine zaidi. Kama ni...
  8. Mohamed Said

    Usafiri wa Mwendokasi na Stendi ya Magufuli

    https://youtu.be/ldSen8Z4m_M?si=srOuKM6Txj94BUJn
  9. Q

    Marais waislam na familia zao, hatukuona kwa Mkapa, Magufuli hata kipindi cha Nyerere

    Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume. Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
  10. A

    Magufuli ni mwamba. Hakika tulipata Rais

    Tanzania tulipata rais bora sana na alituheshimisha popote tulipoenda duniani. Miradi mingi ilijengwa kama JNHEPP,Madaraja kama kijazi,kigamboni,tanzanite,miradi ya umwagiliaji,barabara za mwendokasi,hospitali nk hadi akatufikisha uchumi wa kati baadae tukarudi kwenye umasikini baada ya huyu...
  11. J

    Je, kwenye ujenzi wa Reli, Wakoloni walikuwa vizuri kuliko Magufuli, na Samia Suluhu?

    ..kichwa cha habari kinahusika. ..naomba tupime ufanisi na kasi ya ujenzi wa reli wakati wa Wakoloni, na wakati wa Jpm, na Ssh. ..Wajerumani walijenga reli ipi ya umbali gani, ktk mazingira gani, na walitumia miaka mingapi. ..Waingereza nao walijenga reli ipi? Ilikuwa na umbali gani...
  12. Etwege

    CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme . Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata...
  13. Dennis Robert Shughuru

    Magufuli aliacha legacy ya kufuta watu uwakili soon itakuwa ni playbook/precedent

    Wakati wa utawala wa magufuli alifanya tukio la ajabu alimvua fatma karume uwakili sababu alikuwa muongeaji sana na mkosoaji sana Polepole akiwa sehemu ya serikali na leo hii anaonekana shujaa akusema chochote juu ya mawakili kuvuliwa uwakili na kushindwa kusimama mahakamani na wao kutafuta...
  14. A

    Mtu pekee aliyekuwa na maono makubwa kuhusu miundo mbinu ya barabara ni Jakaya Mrisho Kikwete, Magufuli ndiyo aliturudisha nyuma!

    Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane. Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli; 1. Uwanja wa ndege wa...
  15. Boss la DP World

    Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

    Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama. Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi. " Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
  16. S

    Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  17. F

    Hakuna legacy urathi mbaya alioacha Magufuli kama kutuletea hawa vinyamkera wa kukera.

    Vipo vingi hadi vinatia kinyaa. Pamoja na mengi mazuri aliyofanya, alikosea kwa kuumba na kuleta vinyamkera ambao wamegeuka kero katika taifa letu. Vinyamkera hawa wanakula kwa miguu na mikono tena bila kunawa. Hawashibi wala kuridhika. Ni viumbe hatari kuliko hata chawa wanayonya damu. Ni...
  18. T

    Je kuhamia Magufuli bus stand ilikua vita ya mabasi?

    Kwa juu juu, story inaeleweka kabisa. Shekilango imekuwa ndogo, magari mengi, traffic inakuwa balaa na katikati ya Dar tunajibana . Kwa hiyo RC akaamua: "Wote Magufuli Stand!" Lakin je kuna lolote nyuma ya pazia? Kuna angle nyingine nimeiwaza Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kampuni ndogo...
  19. figganigga

    Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva. Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam. Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
  20. Roving Journalist

    DC Msando afika Stendi ya Magufuli, mgomo bado unaendelea, wasema wanamtaka kiongozi wa juu

    Licha ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kufika Stendi ya Magufuli na kuzungumza na baadhi ya madereva wa mabasi, bado mgomo huo unaendelea, ambapo wahusika wamedai kuwa wanahitaji kukutana na viongozi wa ngazi za juu Serikalini. Mamia ya abiria wamelazimika kusubiri muafaka wa suala...
Back
Top Bottom