magazeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Historia ya Uhuru wa Tanganyika Inavyowababaisha Hata Wahariri wa Magazeti Makubwa

    https://youtu.be/DQGfunK5eVU?si=_2a5ZoSm6F_wKmJX 🔥 NANI ALIYEANDIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA? JE, TUNASOMA HISTORIA YA KWELI AU TUNARUDIA SIMULIZI ZILIZOWASAHU WAHUSIKA WAKUU? Historia ya uhuru wa Tanganyika haiwezi kuandikwa kwa kutaja majina machache tu na kuwaacha pembeni watu na...
  2. J

    Magazeti ya 12 Novemba 2016

    HBD - MTOTO ANA MWAKA 10 TAYARI YA SIKU MOJA. - DARASA LA 6
  3. J

    Magazeti ya Novemba 2025

    HBD - MTOTO ANA MWAKA 1 TAYARI YA SIKU MOJA..
  4. J

    Magazeti ya Novemba 2024

    HBD - MTOTO ANA MIAKA 2 TAYARI YA SIKU MOJA..
  5. C-C Digital Pro

    Magazeti ya Kimataifa yaliyoonesha mwelekeo wa Rais mtarajiwa wa Tanzania Mh. Civilian-Coin.

  6. K

    HIVI Bado Kuna watanzania wanafutilia taarifa za habari kupitia TV, au kusoma magazeti zaidi ya vipindi vya michezo

    Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV. Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
  7. M

    Nini kilikuwa kinafurahisha kipindi kile cha kusoma magazeti na kusiliza redio

    Miaka ya nyuma tulikuwa tunajipatia habari mbalimbali kwa kusoma magazeti na kusikiliza taarifa mbalimbali redioni. Pia taarifa ya habari ilikuwa na nguvu muda ukifika kila mtu anasikiliza. Magazeti yalikuwa mengi, na yaliuzwa bei tofauti. Kwa wale wasiomudu gharama walikuwa wanenda kujisomea...
  8. C-C Digital Pro

    Mfumo wa Uandishi wa magazeti nchini na mfumo wa magazeti ya Asubuhi News upi unafaa kuzingatiwa Tanzania

    Haya ndio magazeti ya Asubuhi News, nini Cha kujifunza.
  9. onemediaonline

    Magazeti ya leo Februari 10, 2026

  10. onemediaonline

    Magazeti ya leo Februari 08, 2026

  11. onemediaonline

    Magazeti ya Februari 6, 2026

  12. onemediaonline

    Magazeti ya leo, Februari 4, 2026

  13. Penguinelli Cactussini

    Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  14. The Palm Beach

    Kuelekea ICC: Samia S. Hassan azidi kukabwa koo. THE SUN na THE TIMES magazeti ya Uingereza yaanika ushahidi mwingine mauaji ya 29/10 - 3/11/2025

    https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza, KMKM na UVCCM waliovikwa magwanda ya polisi pamoja na Mercenaries kutoka nchi za Uganda, DRC, Zambia...
  15. R

    PostGE2025 Uchaguzi wa 2025 Tanzania imeng'ara kwenye magazeti kama nchi ya mauaji na isiyo na demokrasia

    Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
  16. Pakome

    Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni lenu kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki

    Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni leo kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki Chaguo ni lenu wenyewe mchague kufa kwa kupuuzwa na Wananchi, itafikia mahali hata gazeti moja halitanunuliwa tena Itafika mahali hakuna Mwananchi atatizama Channel zenu...
  17. Sajo

    TBC Taifa (Radio na Televisheni) na magazeti ya serikali kuonesha kwa usawa habari za vyama vyote vya siasa

    Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
  18. Mwanamwana

    Hayati Mkapa: Nilimwambia Aga Khan njoo anzisha magazeti mengi, ya serikali na IPP hayatoshi

  19. 4

    Yeriko Nyerere umeamua kua msaliti ndani ya chama chako cha awali ambacho kimekufanya kuwa pale ulipo, jitafakari sana

    Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake. Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere. 1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere ,maana ukoo ulisha tamka, akihusishwa na yule mwingingine ambae watu wanamlalamikia ( ajifunze kwa ndugu...
  20. UMUGHAKA

    Vichwa vya Habari Vya Magazeti hapo Kesho

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Mwananchi "Furahisha yamfurahisha ndugu BENSON MASALA MAKALI SINGO KIGAILA" NIPASHE "Oparesheni C4C (CHAKA FOR CHAKA) Yaanza Kwa Kishindo Jijini Mwanza" MWANAHALISI "Mrema na wenzie waambulia aibu katika Viwanja vya Furahisha" MAJIRA...
Back
Top Bottom