magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Ni kisema kuwa raisi ni kilaza mtasema sisi ni magaidi.

    kuna mada hapa naona JF wana kwepa history ya huyu mama mpaka history yake. JF upenda kulifanya jambo kuwa kama chapati na supu maana mengi tumeona na mlipata matatizo na wengine walipata pesa wafanyakazi wenu. kitakacho endelea hapa tanganyika msifute ili kesho muonekane ndio mlikuwa vyanzo...
  2. Richard

    Marekani yapanga kufanya mashambulizi dhidi ya magaidi wa JINM nchini Mali

    Bwana Sebastian Gorku akizungumza na waandishi wa habari. Raisi Donald Trump amekuwa akishauriana na watu mbalimbali ndani ya utawalal wake nai pia kufikiria ombi la nchi ya Mali kusaidiwa kuondoa magaidi wa JNIM ambao wana mahusiano na kundi la Al Qaeda. JINM ambao kirefu chake ni Jama’at...
  3. Echolima1

    Magaidi wa Hamas wapata pigo tena!!

    ⚠️picha⚠️ Magaidi 2 waliuawa katika shambulio lililolenga gari la magaidi kwenye mlango wa al-Zahra, kaskazini magharibi mwa kambi ya Nuseirat katikati mwa Gaza. Magaidi wa Hamas wanazidi kupukutishwa tuwaombee tu!! Tena, ndege ya upelelezi ililenga eneo karibu na Makutano ya al-Samer katika...
  4. Beira Boy

    Nchimbi wanaharakati tunakushukuru siyo yule alituita sisi ni magaidi, Asante kwa kumtaja Maria Sarungi

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nchimbi anadai kuwa anawaheshimu Wana harakati kwa uwezo wao wa kujenga hoja Amkumbuka dada yangu maria sarungi Asante Sana sisi ni wapigania Khaki sisi siyo magaidi LONDON BOY
  5. Fbn

    Tanzania ndio nchi ya kwanza wapinzani kuwa magaidi

    Sijui wanaelewaa neno ugaidi na hatari za kisiasa. Leo nilitaka kueleza maana input politics na out politics achana na diplomatic. Kwa mambo yanayofanywa ndani ya siasa za CCM zinaweza kuifanya out politics kuwa tuna vilaza kuanzia sheria,wataalamu wa serikali idara zote. Kuna jambo...
  6. Echolima1

    Magaidi wa Hamas waangamizwa huko Gaza!!!

    Majeshi hodari ya Israel Jana yaliendeleza wimbo la kuwaangamiza magaidi wa Hamas huko Gaza safari hii wameangamizwa magaidi 16 waliokuwa tishio kwa majeshi ya Israel
  7. R

    From the Chief Conforter: Nilitegemea reconciliatory tone, kumbe wapinzani, wanaharakati ni Magaidi? The worst is still to come

    Kwa hali tuliyonayo na international outlook on us, wenye akili timamu tulitegemea kupata hakikisho kuwa maridhiano yako njiani. Kwa kauli ya kuwaita wapinzania na wanaharakati magaidi, tujiandae kwa mauti makubwa mbele yetu! Yaliyotokea 29.10.2025 ni cha mtoto kwa tone kama hii ya kuwaita...
  8. Eli Cohen

    Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  9. Nyani Ngabu

    Hawa ndo magaidi

    Waliomteka Humphrey Polepole. Waliombambikia Tundu Lissu kesi ya kizushi. Watu wasiojulikana. Walioua Watanzania Oktoba 29. Wanaokiuka katiba na kuiita ‘kijitabu’. Wanaodai kuwa mauaji ya Oktoba 29 ni kazi ya kutukuka. Shehe Mwaipopo. Samia Suluhu.
  10. K

    Kutoka Maridhiano hadi Vitisho vya Ugaidi: Tunalaani upotoshaji wa Rais Samia wa kubatiza Wapigania Haki jina la 'Magaidi'

    Wana-JamiiForums, Leo tarehe 9 Julai 2026, tumeshuhudia kile kinachoitwa 'Tamko la Pamoja la Maridhiano' kati ya CCM na ACT-Wazalendo huko Zanzibar. Wakati viongozi wakitabasamu mbele ya kamera, hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan imeacha maswali mazito na simanzi kubwa kwa mtu yeyote...
  11. figganigga

    Samia Suluhu akisingiziwa na kushitakiwa kwa kufadhili Magaidi wa kuua Wakristo, nani atamtetea?

    Wote tunajua Marekani jinsi ilivyo mstari wa mbele kupambana nna Magaidi pale wanapojitokeza Nchi yoyote. Kwa yanayoendelea Nchini Tanzania, hivi Samia Suluhu akishitakiwa kwa kufadhili Magaidi, na Vikosi vya kuua Wakristo, nani atamtetea? Sasa hivi kwenye Misikiti Watu wanafundishwa Judo...
  12. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah wanapukutishwa kama nzige huko Lebanon na Majeshi ya Israel!!!

    Picha inayoeleza ukweli wa "ushindi" wa Majeshi ya Israel kwa kuua mamia ya magaidi wa Hezbollah angalia hapo- malori yaliyobeba Mizoga ya magaidi wa Hezbollah kwenda kuizika. Hii ni kazi nzuri ya IDF. Jeshi la Israeli linatetea nchi pekee ya Kiyahudi iliyowahi kuwa na itakayowahi kuwa. Kazi...
  13. Tlaatlaah

    Ni muhimu sana kuyakabili na kuyadhibiti watu wabaya wanaopanga kujificha kwenye maandamano haramu siku zijazo

    Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini. Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
  14. Financial Analyst

    Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  15. Echolima1

    Pamoja na Tishio la Iran kwa Israel isiipige Hezboullah magaidi hao wanapigika tu!!

    Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao!! Ombi hilo la Iran limekataliwa kwa vitendo ambavyo Israel imeendelea kuwashambulia Hezbollah ndani...
  16. U

    Kundi la Hezbollah ladaiwa kuanza mashambulizi dhidi ya kambi za jeshi la Israel baada ya Iran kusitisha mapigano

    Ripoti mbalimbali za kimataifa zimedai kuwa ndani ya muda mfupi baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya Iran na Israel, kundi la Hezbollah lilianzisha mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi ya Israel, hatua iliyoongeza hofu ya kuendelea kwa mvutano katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa...
  17. Echolima1

    Magaidi wa Houth waingia vitani rasmi na Israel

    Msemaji wa Houthi wa Yemen, Yahya Saree: Tunatangaza marufuku kamili na kamili ya urambazaji wa baharini wa Israeli katika Bahari Nyekundu, na tunaona harakati zote za adui kuwa malengo halali ya kijeshi kwa Vikosi vyetu vya Jeshi kuanzia wakati taarifa hii tutaanza kuishambulia israel.
  18. Echolima1

    Tishio la Iran lagonga Mwamba IDF yaendelea na kipondo kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: ● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir al-Zahrani, Choukin, Haris, Kafra, Srifa, Kfar Tebnit, Nabatieh al-Fawqa, Tebnine, Jebchit, Doueir...
  19. Echolima1

    Zaidi ya Magaidi 600 wa Hezbollah waangamizwa na Israel huko Lebanon-Kusini!!!

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema Jumatatu kuwa Israel itaongeza nguvu ya mashambulizi yake nchini Lebanon ili “kuisambaratisha” Hezbollah. Katika ujumbe wa video uliorekodiwa, Netanyahu amesema kuwa Israel ipo vitani dhidi ya Hezbollah na kwamba katika wiki za hivi karibuni...
Back
Top Bottom