mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. ChoiceVariable

    Serikali Ifute Tozo ya Mafuta Kama chanzo Cha Pesa za Miundombinu badala yake Waanzishe Mfuko wa Miundombinu,fedha itoke kwenye Madini

    Ukinunua Mafuta utakutana na tozo nyingi sana lakini kati ya hizo Kuna -Tozo ya maendeleo ya reli -Tozo ya maendeleo ya Bandari -Tozo ya maendeleo ya Barabara -Tozo ya maendeleo ya maji nk Sasa badala ya huu mzigo kubebeshwa Wananchi na kuongeza gharama za maisha na biashara basi Serikali...
  2. McLaren

    Maafisa 4 wa Jeshi la Uganda (UPDF) Washtakiwa kwa Wizi wa Mafuta ya Jeshi

    Maafisa wanne wa ngazi za juu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi mjini Makindye, wakikabiliwa na mashtaka ya kuiba mafuta ya jeshi kwa ajili ya matumizi yao binafsi. Wanaotuhumiwa ni: Brigedia Jenerali James Barigye Ruheesi (60)...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Njooni tujichange twende Tanga tukajenge kiwanda cha kemikali za Mafuta (Petrochemical Plant) Malighafi tutachukua kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta

    Habari wakuu, Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata kemikali za mafuta (Petrochemical Plant) jijini Tanga. Yaani fursa ipo hapa...
  4. X

    Je, ulijua kuwa China peke yake ina akiba kubwa ya mafuta kuliko Marekani, Japan na Ulaya kwa pamoja?

    Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba: China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza hasa mwaka 2003 na huku Marekani na nchi za Ulaya tangu miaka ya 1970, mind the gap! Marekani...
  5. Uhuru24

    Uhaba wa mafuta unatokea wapi?

    Nimepitia kwenye account moja ya instagram [WORLD DATA RANKING] naona hapa nchi 50 duniani ambazo huzalisha mafuta kwa wingi,ndipo nikaja kujiuliza huu uhaba wa mafuta unatoka wapi? Yaan kwa nchi hizi 50 duniani ambazo ndio zinaongoza kwa uzalishaji wa mafuta sidhani kama tungefikia hatua hii...
  6. Xmonster

    Kiwanda kikubwa cha Dangote Cha kusafisha mafuta Kujengwa East Africa.

    Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
  7. O

    Kenya kuingia deal ya mafuta na Uganda Game changer ama risk kwa uchumi?

    Kenya imechukua hatua kubwa baada ya William Ruto kutangaza kuwa nchi itawekeza kwenye refinery ya mafuta ya Uganda yenye thamani ya zaidi ya Ksh.500 billion. Hii si deal ndogo ni move inayoweza kubadilisha mwelekeo wa energy sector Afrika Mashariki. Akiongea katika Africa We Build Summit 2026...
  8. ChoiceVariable

    Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
  9. L

    Bei za mafuta zawakamua Watanzania wakati migogoro ya Mashariki ya Kati ukiendelea

    Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa. Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
  10. L

    Sudan yakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta wakati bei ikipanda

    Mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta. Mamia ya magari yamepanga foleni katika vituo vichache vya mafuta vinavyofanya kazi, huku madereva wakisubiri chini ya jua kali, na wakati mwingine wakisubiri kutwa nzima kununua dizeli au petrol. Ridhwan Ahmed Al-Nayer...
  11. T

    HOJA Katikati ya crisis ya mafuta ambayo hatujui tunatokaje tunateketeza mamilioni ya Lita za mafuta kukimbiza mwenge

    Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani? Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee kufuja pesa za wananchi kulipia mwenge?
  12. M

    Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Ukipitia page za wauzaji wa magari yaliyofika nchini au waagizaji huwa kuna kigezo muhimu cha makadirio ya matumizi ya mafuta, huwa kuna makadirio ya highway na makadirio ya mizunguko ya mjini (city driving), na haya makadirio ya mjini ndio yatayogusa post hii. ,Mfano Brevis cc 2490 city...
  13. Wazolee

    Yesu anasema watakao mafuta watapata mabikira 100 peponi

    Mathayo 19:29 Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele. Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi Neno Nyumba hapo linawakilisha mke Kama ulikuwa...
  14. darautobroker

    Car4Sale 2021 Ford Ranger Thunder AKA mafuta kisoda iko sokoni

    Bei/Price TSH 85M Call/Whatsapp +255 747 999 927 FORD RANGER THUNDER(EEK) Year: 2021 Engine: 2.0L Mileage: 132K Bi-Turbo Engine Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO Fog Lights Back Camera Push To Start Clean Interior Well-Maintained Exchange Possible
  15. M

    Madiwani Tunduru wapinga mpango wa Rais Samia kubana matumizi hasa kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa. Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo. Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
  16. Cute Wife

    Watanganyika tunapakwa mafuta kutayarishwa kupokea ripoti ya Chande, kila mtu anaisemea mazuri - mshayajua matokeo!

    Wakuu, Mmeona tunavyoandaliwa kisaikolojia kuipokea ripoti ya tume ya Chande? Chawa washalipwa kuja kuisema mazuri - 'ripoti ya chande itakuja kuliponya taifa' - we ulikuwepooo? Wameanza na viongozi wa dini, chawa chawa wapuuzi, eti wanamtumia hadi jaji kuja kueleza upuuzi wao! Tutaendelea...
  17. O

    EPRA Kutangaza Bei Mpya za Mafuta: Je, Zitapanda?

    Wakenya wako katika hali ya kusubiri huku Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) ikitarajiwa kutangaza bei mpya za mafuta, hatua inayoweza kuathiri moja kwa moja gharama ya maisha nchini. Kila mwezi, EPRA hutangaza bei za juu za rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa, ambazo...
  18. Lycaon pictus

    Kuna mpango wa kutumia bomba la TAZAMA kusafirisha mafuta humu nchini?

    Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili...
  19. Traxtion

    Nchi 10 za Afrika zenye bei rahisi zaidi za mafuta (petrol) April 2026

    Hizi ndio nchi 10 za Africa zinazoongoza kwa bei rahisi zaidi za Mafuta (Mafuta ya petrol) Bei zipo kwa USD na chini kuna equivalent yake ukicompare na Tanzanian shilling 1. Libya $0.023/litre Tsh 59.58 2. Angola $0.327/liter Tsh 847.11 3. Algeria $0.354/liter Tsh 917.06 4. Egypt...
  20. Mwanamwana

    Dkt. Mwigulu: Akitokea anayetaka kutumia suala la mafuta kama fursa kujinufaisha, tutamwambia hapana

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
Back
Top Bottom