mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania twendeni Congo tukawekeze Sekta ya Usafiri wa majini na mafuta

    Kila msaka fursa angalia hii clip uone mwenyewe fursa zilipo za biashara ya usafiri wa majini na mafuta Congo. Hizo baadhi tu lakini ukitizama hii Clip waweza gundua nyingi zaidi.
  2. JamiiForums Tanzania Lindi: Watumia mafuta ya Mil 7 kwa siku 4 na kununua pikipiki 2 kwa mil 11

    Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Hashim Komba ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wilayani humo kufanya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha kiasi cha shilingi milioni 18 zilizotumika kwenye mradi wa Usafi na Mazingira (WASH) wilayani humo ambapo ni Ununuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

    Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy. Gari ambayo naweza enda...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha mafuta

    Nahitaji kujua kama kuna mwenye anaifahamu anifahamishe
  5. JamiiForums Tanzania Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Habari za majukumu wanajamii, Habari hii ni kupata uzoefu zaidi, kutahadharishana na kuwekana sawa wakati huu mgumu wa uchumi wa kati. Nimekutana na matukio mawili kwa nyakati tofauti ya kuibiwa na wahudumu wanaotoa huduma ya kuweka mafuta katika kituo kimoja cha mafuta cha TOTAL kilichopo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya kupikia inawaondoa mamalishe barabarani, Serikali ichukue hatua za haraka

    Familia nyingi hapa nchini inawategemea akina mama katika maisha yao ya kila siku. Mara nyingi mamalishe wamekuwa wakipika chapati, vitumbua, maandazi n.k kwa ajili ya kupata fedha ya kulisha familia zao. Ni ukweli usiopingika kuwa athari ya kupanda kwa mafuta ya kupikia imewatoa barabarani...
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mafuta ya alizeti kutoka Singida

    Karibu Empire singida fresh oil Mafuta halisi kutoka singida Lita 1 -6000 Lita 3- 18000 Lita 5- 25000 Mawasiliano 0743725255 0655031983 arnoldmacha@outlook.com
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

    Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote. Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda. Chanzo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mamalishe Mtwara walia kupanda bei mafuta ya kula na unga wa ngano waomba Serikali iingilie kati!

    Mama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano. Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela unawafanya wapate hasara kubwa katika shughuli zao na endapo serikali haitaingilia kati hali itakuwa mbaya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu mafuta ya Wheat Germ Oil

    .
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwambe: Bei ya Mafuta ya Kula imepanda kutokana na ongezeko la bei kwenye Soko la Dunia iliyosababishwa na Corona

    Waziri wa biashara Mh. Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia. Mwambe amesema bei kwenye soko la dunia imepanda kutokana na fakta mbalimbali kubwa ikiwa ni ugonjwa wa Corona. Mwambe amesema kwa sasa kuna meli mbili za...
  13. JamiiForums Tanzania Dumu la mafuta ya kupikia lita 20 ni 82000 na cement ni 24000, hakuna wa kuongea tena!

    Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda? Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania? Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali. Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo). Tunalima alizeti mikoa mingi tu...
  14. JamiiForums Tanzania Bei ya Petroli yashuka. Bei ya Dizeli na Mafuta ya taa zapanda

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza kupungua kwa bei ya petroli kwa Sh31 kwa lita moja mwei huu. Wakati petrol ikipungua, bei ya dizeli imeongezeka kwa Sh9 wakati ile ya mafuta ya taa ikipanda kwa Sh29 kwa lita moja. Mabadiliko ya bei hizo za jumla...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni ya mafuta ya Total imewaondoa maelfu ya wafanyakazi wake Msumbiji

    Wanamgambo walisambaza vijikaratasi vinavyotishia kushambulia eneo la Palma. Kampuni ya mafuta ya Total imewaondoa maelfu ya wafanyakazi wakekatika visima vya mafuta vilivyopo kaskazini mwa Msumbiji baada ya wanamgambo walio watiifu kwa kundi la Islamic State kutishia kushambulia mji muhimu...
  16. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini shirika la TPDC tangu lianzishwe mwaka 1973 mpaka leo halijafanikiwa kuvumbua mafuta?

    Habari za Leo wakuu, Mimi kama mtanzania naumia sana juu ya taifa letu kuto kuwa na mafuta wakati jirani zetu wa Uganda wamevumbua. Nilimsikiliza kwa umakini sana mzee Mseveni siku ile anahutubia kwenye uwanja mpya wa ndege chato. Na nilimwelewa sana yule mzee kuhusu historia ya kutafuta...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali zote mbili - Uchimbaji Mafuta

    Najua kuna harakati au mchakato wa kuchimba mafuta. Dunia inaelekea kwenye chanzo cha umeme hususani nchi nyingi zishatoa matamko ya kupiga marufuku magari ya mafuta. Hii ina maana madini haya mafuta hayana future na bei yake itapungua kwa kasi miaka ijayo. Nchi zilotoa misimamo ya kusimamisha...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hizi bahasha wanazopewa waandishi habari baada press release ni mafuta tu au ni takrima?

    Nimefanya utafiti kuhusu namna waandishi wa habari wanavyouza weno wao kwa makundi ya watu wenye fedha na taasisi mbalimbali. Mtanisaidia kukosoa ila Hali ipo hivi kwa kifupi. 1. Kila Waandishi wahabari wanapoitwa kwenye tukio lazima uone wakisaini bahasha za kaki na waandika majina...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Hatimae Nimefanikiwa kugundua njia ya kuibadilisha carbondioxide kuwa mafuta (petroli na dizeli)

    Habari za Leo wakuu, Natumai mu wazima wa afya njema. Gesi ya kabondioxide imekuwa ikitolewa kwa wingi kutoka kwenye injini za magari na kwenye mitambo viwandani. Injini za magari na mitambo ya viwanda vinavyo tumia mafuta hutoa gesi ya kabondioxide mara tu baada ya mafuta kuunguzwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…