Eti wandugu, nchi yetu ndiyo haina kabisa mafuta au hatujatafuta kwa bidii. Tz ni kubwa kuliko Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi ukiziunganisha. Kenya na Uganda wamepata mafuta.
Sasa maana yake Tz iliyokubwa si kunakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kupata mafuta. Maana tuko eneo moja, na mafuta...