mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Mamlaka hizi zilikuwa zinapeleka wapi toto hizi kutoka kwenye mafuta?

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (tozo ya miundombinu), Mamala ya Mapato Tanzania (tozo ya kuchakata taarifa), Shirika la Viwango Tanzania (tozo ya kupima ubora wa mafuta kwenye meli na gharama ya uwekaji wa vinasaba kwenye mafuta),” Wakala...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maji ya kisima kutoa mafuta

    Habari za mchana! Naomba kujuzwa na wenye uelewa zaidi! Kaka yangu ana eneo huko Pwani ambapo amechimba kisima pia kwaajili ya matumizi yake ya nyumbani hapo! Sasa kumekuwa na hali ya maji hayo yakichotwa then yakalala kwenye ndoo au chombo chochote yanatoa layer ya mafuta! Je ni hali ya...
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

    Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma || Rais Joao wa Angola yeye ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia ==== Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais Mzalendo wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

    Hivi wanazengo wenzangu mnafahamu ni kwanini Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki? " Hakuna kama Samia " Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na...
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi ndiyo hatuna kabisa mafuta

    Eti wandugu, nchi yetu ndiyo haina kabisa mafuta au hatujatafuta kwa bidii. Tz ni kubwa kuliko Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi ukiziunganisha. Kenya na Uganda wamepata mafuta. Sasa maana yake Tz iliyokubwa si kunakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kupata mafuta. Maana tuko eneo moja, na mafuta...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kutoka Julius Nyerere International Convention Centre: Kongamano la Maudhui ya wazawa Kushiriki Mradi wa Bomba la Mafuta ECOP

    Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
  8. Tough lady

    JamiiForums Tanzania Nahisi magari yamepungua barabarani. Je, ni kwa sababu ya kupanda kwa bei ya mafuta?

    ?
  9. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Watu hawakomi Tu kugema mafuta kwa gari ilopinduka?

    Mungu atunusuru Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia. Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nategemea January Makamba ataweza kuifufua sekta ya mafuta na gesi

    Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa. Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii. Karibu Makamba.
  12. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda.Watanzania tuchangamkie fursa badala ya kulalamikia Serikali.

    Habari Wakuu. Kwa mujibu wa EWURA wanaoratibu kampuni zitakazoshirikishwa kwenye ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda kutoka Hoima hadi Tanga,wameinesha kusikitishwa na muamko mdogo wa kampuni za Kitanzania zilijitokeza kusajiliwa. Licha ya usajili kuwa bure na elimu kutolewa lakini ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiongeza kodi kwenye mafuta, bei itabaki pale pale?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na sitashangaa wafanyabiashara wa mafuta wakapunguza au kuacha kabisa kuagiza mafuta in case wanapata hasara. Tunaweza kufurahia haya maamuzi leo hii halafu kesho tukaanza kulia kuna uhaba wa mafuta. Inawezekana tunafanya maamuzi bila kuwaza kwa mapana nini...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 SEPTEMBA 2021 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Septemba...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Haya mafuta ya kupikia yaliyotumika yanakusanywa kwa ajili ya kazi gani?

    Kuna kampuni ambayo sitaki kuitaja jina imekuwa ikikusanya mafuta ya kupikia yaliyokwishatumika mahotelini, na mafuta haya wao huchukua bure. Kampuni ina jina la mnyama na inamalizikia na Bio Product. Haya mafuta siyo yanachakachuliwa yanarudishwa tena kwenye mzunguko? Ama kweli akili ni nywele...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Msile mpaka daktari awaambie punguzeni, kula kwa kiasi na ukumbuke kuyaunguza mafuta kwa mazoezi

    Sasa huyu shost akiambiwa alipie nyama zote alizozi contaminate, bado tozo la miamala. Maisha ni magumu sana.
  17. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

    HaBari wadau..! Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  19. Digital Innovator

    JamiiForums Tanzania Market price ya mafuta ya alizeti Dar (Jumla na rejareja)

    Salaam wadau, Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts" Ahsante.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

    Wakuu nimeichek hii nimeona Kama itanifaa kwa ninapoishi kuna makorongo Sana. Vipi Spea zake? **Correction: Speak= Spea
Back
Top Bottom