mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    EWURA wametangaza Bei mpya za Mafuta kwa Mwezi October, 2026. Yes, ulichofikiria upo sahihi. Yamepanda!

    Wanaboa bwana.
  2. Zack Abdul

    Kasi mpya ya mivutano Mashariki ya Kati, mafuta kupanda bei

    Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb na maeneo mengine ya kimkakati katika routes za Usafirishaji wa mafuta. Ikumbukwe pia Houthis...
  3. J

    Kwa nini mafuta hayashuki bei? Data zinaonyesha mafuta yanatoka mashariki ya kati kwa wingi kuliko hata kabla ya vita

    Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza. Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
  4. W

    Tanker ya Mafuta yageuka isri ya Pombe haramu - Lita 10,000 za Ethanol zanaswa Kiambu

    Polisi wamenasa tanker iliyokuwa ikisafirisha takribani lita 10,000 za ethanol inayoshukiwa kuwa ya viwandani katika eneo la Lari, kaunti ya Kiambu, kwenye Barabara Kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru. Watu 3 waliokuwa ndani ya tanker hiyo wamekamatwa na wanasaidia uchunguzi. Kilichozua maswali...
  5. Crocodiletooth

    Maandalizi ya refinery ya mafuta yaanza Chongoleani, Tanga

    TANGA , Kamati ya Pamoja ya Ufundi kati ya Tanzania na Uganda (Joint Technical Committee) imekabidhi eneo la Chongoleani, Tanga, kwa Mshauri Mwelekezi kutoka Worley Consulting Group Limited kwa ajili ya kuanza maandalizi ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea, kuhifadhi na kusafirisha mafuta...
  6. K

    Tanzania ni janga: wenzetu Kenya usafishaji wa mafuta, Uganda oil wanafanya kweli. Je Gas ya Tanzania wanasubiri upigaji

    Yaani Tanzania tumepata gas miaka mingi lakini hata umeme wa uhakika hatujapata mpaka bawa la nyerere!. Uganda angalieni walivyoendeleza miradi ya mafuta kuanzia uchimbaji wa mafuta, bomba la usafirishaji na usafishaji. Kenya hawana hata mafuta ya maana wanajengewa mradi wa $17B. Sasa yaani hii...
  7. I

    Rwanda 🇷🇼 Yaanza Kuagiza Mafuta Mombasa 🇰🇪 - Je, Tanzania 🇹🇿 Imepigwa Chini?

    Rwanda imeanza kutumia Mombasa kama njia mpya ya kuingiza mafuta baada ya metri tani 40,000 za petrol na diseli kuwasili katika Bandari ya Mombasa, ikiwa hii ndiyo shehena ya kwanza chini ya makubaliano ya Kenya na Rwanda yaliyotiwa saini Juni 29, 2026. Meli MT Sea Wolf ilitia nanga Kipevu Oil...
  8. Ngongo

    Lipo tatizo katika siasa zetu,Kiwanda cha kusafisha mafuta kitajengwa Kenya.

    Heshima kwenu wanajamvi. Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya. Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu. Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji mkubwa,labda kuuza au kukodisha Bandari au uendeshaji wa mwendokasi. Tayari Dangote keshatujua ndani nje...
  9. Huihui2

    Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

    Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa. Wakazi hao wanadai kuwa...
  10. bless on

    Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta." Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya...
  11. Nsennah

    KERO Babati: Malalamiko kuhusu kukataliwa kwa noti zilizounganishwa na 'seal tape' na changamoto za huduma za mafuta

    Kumekuwa na utaratibu wa baadhi ya wafanyabiashara, hususan wamiliki wa vituo vya mafuta na hata baadhi ya taasisi za kifedha, kukataa kupokea noti ambazo zimeunganishwa au kutengenezwa kwa kutumia 'seal tape'. Nilishuhudia tukio katika Tawi la NMB Babati, ambapo mteja mmoja, ambaye alikuwa...
  12. I

    Lamu, Kenya: Sio refinery tu! Dangote asema mradi huo utazalisha hadi 1,000MW za umeme

    Mradi wa Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote katika kaunti ya Lamu unaonekana kuwa mkubwa zaidi ya refinery ya mafuta ambayo imekuwa ikizungumziwa kwa miezi kadhaa. Bilionea huyo amesema mradi huo pia utakuwa na mtambo wa kuzalisha hadi megawati 1,000 za umeme kutokana na petcoke(nyenzo...
  13. Zack Abdul

    Mafuta Uganda Yaja Tanga: Bomba 92% bado 8% tu

    TANZANIA LEO LASEMA... MAFANIKIO MENGINE YA SAMIA DESEMBA 🔹Tone la kwanza la mafuta ghafi ya Uganda litakuja Tanga 🔹TPDC yasema Mradi wa Bomba umefikia 92% kumalizika 🔹Baada ya hapo, ni ujenzi wa kitovu cha nishati A. Mashariki
  14. B

    Pampu ya Mafuta kwa Workshop/Garage - Ufanisi!

    HAND OIL PUMP Pump ya mafuta kwa matumizi ya workshop, garage na viwandani. Imara na rahisi kutumia Inafaa kwa kupampu mafuta kwa ufanisi Bei ni 75000/= kwa mawasiliano 0612630936 Mikoani pia tunasafirisha
  15. M

    Msaada Bei ya tanker la mafuta ni shingap

    Wataalamu wa matanker ya mafuta nauliza Bei ya trailer tanker la mafuta huwa nishingap hasa kama haya yanayotengenezwa na superdoll ni shingap
  16. Echolima1

    Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman alikutana na Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi huko Cairo,Misri.

    Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman alikutana na Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi huko Cairo leo, huku mazungumzo yakizingatia sana hali ya usalama wa kikanda inayozidi kuzorota na vitisho kwa njia muhimu za baharini. Viongozi hao wawili walisisitiza hitaji la kulinda uhuru na...
  17. Mad Max

    Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

    Nina list yangu (Top 5) ya Magari kutoka JP, yaliyotengenezwa kuanzia 2005 hadi 2015, yenye utumiaji mzuri wa mafuta na Reliable. Mnaionaje? 1. Toyota Vitz /Yaris 2010 - 2013. Hapa naongelea 2nd na 3rd generation, especially engine ya 1.3L petrol (1NR FE), rahisi sana kupata 14 km/L hadi 16...
  18. Echolima1

    Baada ya Meli za Mafuta za Iran kushambuliwa na Marekani Iran yatoa ONYO tena kwa Marekani

    Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Iran ilionya kwamba shambulio lolote dhidi ya meli za mafuta za Iran lingesababisha mashambulizi dhidi ya kambi za Marekani kote katika eneo hilo, huku meli 3 za mafuta za Iran zikipigwa risasi karibu na pwani ya kusini ya Iran, karibu na Kisiwa cha Kharg na...
  19. Zack Abdul

    Magari ya Wagonjwa Yawe Tayari na Mafuta muda wote

    Magari ya Wagonjwa yawe tayari muda wote. Tulishanunua magari, yawe na mafuta. Kila wakati yawe na mafuta. Tusichangishe wagonjwa kuweka mafuta kwenye gari ya Serikali kubeba mgonjwa ambaye yuko mautini-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema...
  20. R

    Mwenye kuielewa sheria hii ya mafuta na gesi anieleweshe. Sikiliza clip toka Bungeni

    Changu changu , chako chetu
Back
Top Bottom