Just my thoughts
Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi
Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na binadamu kuishi
Mfano, kupaka rangi nyumba, kuezua mabati ya kutu na kuweka ya rangi, ku install...