maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni Akagua Maeneo Yaliyoathirika Na Mafuriko Kigoma Ujiji, Aahidi Hatua za Haraka

    Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amefanya ziara katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, kwa lengo la kujionea hali halisi ya athari za maji na kuweka mikakati ya kukabiliana na...
  2. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Wavutaji wa sigara wawekewe maeneo maalumu/Sheria

    Kwa wale wagonjwa na wenye changamoto mbalimbali nawapa pole ,Mungu awape faraja. Kumekuwa na hii kero ambayo imekuwa sugu,utumiaji wa sigara popote tu bila kijali afya za watu wengine Naomba wenye mamlaka pawekwe Sheria au kanuni ya hawa watumiji wawe na maeneo maalumu kwa ajili ya hiyo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji, Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Kata Nyamuhongoro, Mitaa ya Nyamadoke, Iwelyashenga na maeneo ya karibu

    Sisi ni wakazi wa Kata ya Nyamhongolo, katika mitaa ya Nyamadoke, Ibinza na Iwelyashenga, Wilaya ya Ilemela, Jiji la Mwanza. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, hatujapata kabisa huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Hapo awali, tulikuwa tukipata maji mara moja kwa wiki, tena kwa muda wa saa chache. Hata...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro wa Ardhi Lindi: Wananchi Muhimbili Juu tunadhulumiwa maeneo yetu bila kupata msaada wowote

    Habari, Wananchi wa Mtaa wa Muhimbili Juu, Kata ya Rasibula, Manispaa ya Lindi, tunataka kunyang’anywa ardhi yetu katika mgogoro ambao umedumu tangu mwaka 2022. Mtu anayejulikana kwa jina la Kahawa kavamia maeneo yetu. Katika utatuzi wa awali, ilipendekezwa kuwa atufidie wananchi au...
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA LATRA toeni vibali kwa daladala, Mwendokasi peke yake haiwezi kukidhi ruti ya Mbagala - Mjini

    Maeneo ya Mbande, Msongola, Kitonga kumeanza kuwa na shida ya usafiri wa kuelekea katikati ya mji yaani Posta na Kariakoo. Hii ni kwa sababu gari zote zenye hizo ruti za Stesheni, Posta & Gerezani Kariakoo zimekuwa zikinyimwa vibali za kutoa huduma kwenye hizo ruti. Ikumbukwe awali mnamo Juni...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Je dunia ina-operating system za kiroho zinazodefine maeneo tofauti-tofauti ya dunia

    Ukianza dakar mpaka lusaka nikimaanisha ukiangalia miji aina ya maisha utaona yanafanana mfano kinshasa, lagos, kampala, dar es salaam, nairobi, n.k hii miji inafanana iko dominated na squatter na michafu plus hata maisha ya watu kwenye hizi nchi yanafanana je kuna operating system ya kiroho...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya: Wawekezaji endelezeni maeneo yenu kuepuka migogoro

    ★ Asema maeneo yanapoachwa kama mapori hujenga dhana kuwa hayana mwenyewe Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanaendeleza maeneo waliyopewa kwa mujibu wa madhumuni yaliyokusudiwa, akisema kuyaacha bila shughuli na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Agizo la wafanyabiasha wadogo baadhi ya maeneo limetekelezwa kwa asilimia 50%

    Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga. Ukitazama ni ubunifu mzuri Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Rejesta ya ustaarabu. Usifanye hivi kwenye maeneo haya

    Tufundishane ustaarabu. Mambo ya kufanya na kutofanya kwenye eneo fulani. 1. Kwenye Urinal. Hupaswi kusalimia mtu. Ni marufuku kuangalia chini. 2. ATM. Haifai kusalimiana salimiana.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuondoa machinga ni maeneo yote Dar ES laam yote kasoro Mbezi Mwisho(Luis)?.

    Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga wamejaa maeneo ya Mbezi Luis, na wengine wanaboresha mabanda yao na mengine yapo juu ya mitaro, na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Pwani, Mkuranga eneo la Mipeko tunateseka na umeme mdogo kwa zaidi ya miezi miwili

    Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V). Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya: Wakurugenzi lindeni maeneo ya wazi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yanalindwa kwa kuwekewa alama za kudumu na mabango yanayoonyesha mipaka akisisitiza kuwa maeneo hayo hayapaswi kubadilishiwa matumizi. Mhe. Mmuya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milio ya mafataki usiku Mliman City inatukosesha amani na kutupa presha wakazi wa maeneo jirani hasa Sinza A

    Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbezi Mwisho: Suala la kuwapunguzia nafasi Wafanyabiashara waliopo ilikuwaongeza wengine linatuathiri Wafanyabiashara wa chakula

    Tumekuwa tukiona juhudi za kuboresha maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwekwa vibanda vya maturubai na wakati mwingine kuezekwa kwa bati kwa gharama zinazotolewa na wafanyabiashara wenyewe. Hili ni jambo zuri na la kupongezwa kwa kuwa linasaidia kuboresha mazingira ya biashara...
  15. FEARLESS

    JamiiForums Tanzania Wahitaji wa vyumba vya kupanga,nyumba na viwanja bei rahisi maeneo ya ukonga,majohe na chanika,pitia hapa.

    Je wewe unahitaji vyumba vya kupanga bei rahisi?,vyumba vipo chumba kimoja kunzia Tsh25000/= , vyumba viwili kunzia Tsh50000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh150000/=,na upande wa nyumba zinazouzwa pagale ni kuanzia Tsh8000,000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh25000,000/= kuendelea na upande wa viwanja...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  17. T

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Pugu wanaopakana na pori linalodaiwa ni eneo la Jeshi, tunakabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa

    Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza kuhusu suala hili. Tatizo hili linadaiwa kusababishwa na watu wanaodai kuwa wamiliki wa eneo hilo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Ukaguzi maeneo ya Uwekezaji Nchini

    DAR ES SALAAM Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaagiza Makamishna wa Ardhi Wasaidizi katika mikoa yote nchini kufanya ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali kwa lengo la kubaini maeneo yasiyoendelezwa na kutoa...
  20. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya awataka halmashauri kuhakikisha maeneo ya serikali yanamilikiwa kisheria

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wenyeviti wa Halmashauri na Mameya nchini kuhakikisha maeneo ya Serikali na taasisi zake, ikiwemo maeneo ya wazi, yanapimwa na kumilikishwa kwa hati ili kulinda ardhi hiyo dhidi ya...
Back
Top Bottom