maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

    Je, ulipo kuna umeme? Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha kabisa tena limekosa haya na stara ya kuitwa shirika. Ni uhayawani wa hali ya juu na umajinuni mkubwa...
  2. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maeneo matano ya kimkakati ambayo serikali inaweza kuyawekea mkazo kudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma na rushwa

    1.IUNDWE TUME YA UDHIBITI UBORA WA MIKATABA NA USHAURI KWA SERIKALI (National Commission for Contracts Review and Consultation) Iwe taasisi huru yenye jukumu la kupitia mikataba yote ya kimkakati inayohusu fedha za umma. Taasisi hiyo ihusike kuchambua kwa kina mikataba yote kwa mapana yake na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ujenzi/upanuzi wa madarasa mapya ya shule za kata kila mwaka na kubana maeneo ya michezo

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu wanazoishi. Hii imeondoa adha ya ukatili wa kijinsia na kuwajengea weledi watoto. Hoja yangu ni Hii...
  4. JamiiForums Tanzania Kama asili ya Wazanzibari ni bara, kwa nini wasihamishiwe huku bara kwenye maeneo ya wazi kupisha watalii

    Kwa maelezo ya wataalam ni kuwa karibu watu wote wa zanzibar wametokea bara kiasili. Kwenda wenyewe, kupelekwa na waarabu, au walowezi kutoka bara asia (wachache). Kwa namna Tanzania tulivyojichanganya ni uongo kusema tuvunje muungano au tuwe na serikali tatu au hizi mbili lalamikiwa. Nashauri...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa Wadau je kiafya kuna Usalama? Karibuni tujadili
  6. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Jiolojia Unathibitisha Uwezekano wa Rasilimali Muhimu katika Maeneo ya Kimberlite ya Tanzania: Je, Almasi Zaendelea Kupatikana?

    Kimberlites ni miamba ya kipekee ambayo mara nyingi hufanana na mianzi ya juu ya koni na ambayo ina uwezekano mkubwa wa kuwa na almasi. Hii ndio kimberlite ilivyokamili kabla ijapata mabadiliko ya kijiolojia: UGUNDUNZI: Kimberlite iligunduliwa kwa mara ya kwanza huko Kimberley, Afrika Kusini...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa viongozi mbona kama wameyatelekeza maeneo yao, wanasubiri hadi muda wa Uchaguzi waje kutupanga tena

    Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma za muhimu zinakwama hadi karibu na muda wa kampeni ndio unawaona Wagombea wanarudi na ahadi kibao...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Polisi Tabora mazoezi ya kufyatua risasi katikati ya mji si salama kwa Wananchi

    Milio mizito ya risasi inayo shtua inasikika hadi maeneo ya hospital ya mkoa. Kila mara imekua ni kawaida kabisa kwa jeshi la police kufanya mazoezi ya kufyatua risasi karibu kabisa na makazi ya wanachi hali inayopelekea kushtua sana watu. Na pengine ineweza leta athari hata kwa wagongwa au...
  9. JamiiForums Tanzania Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    Kimeumana hapa near planet Lodge Kin'gori mafuriko, hakuna gari kupita kwenda Moshi wala kuja Arusha, maji yameziba njia eneo la King'ori.
  10. JamiiForums Tanzania Profesa Manya: Ratiba za uzoaji Taka nchini hazieleweki na maeneo mengi hayana Madampo

    DODOMA: Mbunge Prof. Shukrani Elisha Manya amesema Maeneo mengi ya Makazi nchini hayajatengewa sehemu maalumu za Kuhifadhi Taka, hali inayosababisha kuzagaa kwa Taka mitaani Pia, amesema ratiba ya Magari yanayopita kukusanya Taka kwenye makazi ya Watu haziko wazi na hazijulikani kwa Wananchi na...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Kukatika kwa mawasiliano maeneo ya Goba Kulangwa

    Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa ilhali mvua zingine tena zimeanza. Tafadhali wahusika...
  12. JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ya Dar es Salaam ni Vijiji vilivyochangamka mfano hai Mabwepande na Mbopo

    Shalom, DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere. Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa. Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo. - Hakuna madaraja -Barabara...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini bei ya samaki ni ghali sana maeneo ya pembezoni mwa bahari

    Tangu nimekuwa nikitembelea ukanda wa Pwani yaani mikoa ya Pwani, Dar, Lindi na Mtwara nimekuta na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza, tukianza na bei ya samaki ipo juu kuliko hata mikoa ambayo haina rasilimali bahari au maziwa Kwa ajili ya uvuvi wa bidhaa hiyo. Baadhii ya watu husema...
  14. JamiiForums Tanzania Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
  15. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

    Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo ya kukaanga ambayo ni mitamu na laini sana utadhani ni keki Nimpongeze sana huyu mama mpishi...
  16. JamiiForums Tanzania Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia, Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel. Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki' - Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia "Mapitio ya mafundisho yetu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Unafahamu majina ya nywele za sehemu zote za mwili wako?

    Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za kichwa zinaitwa nywele, na za huko chini ndio kama mnavyojua tena. Sasa, hizi za kwenye kwapa...
  18. JamiiForums Tanzania Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Ya Uwekezaji Katika Manispaa Ya Moshi

    Ada za kuomba kibali cha ujenzi katika Manispaa ya Moshi. (i) Maombi mapya ya kibali cha ujenzi cha;- ✓ Makazi ni Tshs.400 kwa mita mraba moja. ✓ Makazi na biashara ni Tshs.500 kwa m². ✓ Viwanda ni Tshs.400 kwa mita mraba moja. ✓ Taasisi ni Tshs.300 kwa mita mraba moja. ✓ Vituo vya mafuta...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwangalifu kununua viwanja maeneo ya Kerege, Mlingotini, Kondo, Zinga, Kiromo na Ukuni hayo ni maeneo ya Bandari!

    WanaJF kamwene Nawapa tu angalizo wale mnaopenda kununua viwanja kiholela kuweni waangalifu sana na viwanja vya Bagamoyo Kuna eneo kubwa limetengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari na Export zone na wenyeji Wengi wameshalipwa fidia Kerege, Zinga, Kondo, Mlingotini, Kiromo na sehemu ndogo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ajali ya coaster na Fuso maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida

    Hii ajali imetokea asubuhi ya Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa kwa ajili ya ukaguzi hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo, Poleni sana aisee na Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya. Credit - Adventure_36
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…