maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Natembelea Wilaya ya Igunga kwa mara ya kwanza. Wenyeji mniambie maeneo ya kula, kunywa na kulala. Yawe mazuri.

    Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
  2. JamiiForums Tanzania Ofisi za Katarama Luxury Mwanza ziko maeneo gani?

    Habari wakuu. Naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za Katarama luxury mkoa wa mwanza anielekeze. Au ofisi zao zipo mule mule Nyegezi stand? Natanguliza shukrani.
  3. JamiiForums Tanzania Land Banking: Umuhimu Wa Kutambua Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Uwekezeji Wilaya Unapowekeza

    Utangulizi Land banking ni mbinu ya uwekezaji ambapo mtu au taasisi hununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukishikilia kwa muda mrefu, akitarajia kuwa thamani ya ardhi hiyo itaongezeka. Kwa kawaida, maeneo ambayo hayajafanyiwa maendeleo, lakini yana uwezekano wa kuongezeka thamani...
  4. U

    JamiiForums Tanzania News alert baada ya Sabato kumalizika, Israel yaanzisha mashambulizi mapya muda huu yakilenga na kusambaratisha maeneo zaidi ya 180

    Wadau hamjamboni nyote? Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo takribani 180 Taarifa kamili hapo chini New wave of strikes in Lebanon as Israel braces for potential...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wito kampuni ya kimataifa ya Uuzaji wa Pizza isogeze huduma Kwa kufunguka migahawa yake maeneo ya Temeke na Mbagala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery"...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika miradi ni kama ushauri katika maeneo mengine ya kitaalamu

    Kuna wakati inatupasa kuendelea kujifunza na kuhimizana kuhusu USHAURI KITAALAMU. Katika jamii ya Watanzania na duniani kote, kuna watu wamejikita katika weledi na pia wenye vipaji fulani. Wengine wana elimu ndogo, za kati, na za juu. Ni wachache wasio na elimu rasmi, ila wana ujuzi na uzoefu...
  7. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita. UN members...
  8. JamiiForums Tanzania Responded MWAUWASA: Tumeandaa Mradi wa Tsh. Bilioni 8.4 kufikisha Huduma ya Maji maeneo ya Kishiri na jirani ambayo hayana huduma hiyo

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa. Kujua alichokisema Mdau huyo unaweza kubofya hapa ~ Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ==== ==== Neli...
  9. A

    JamiiForums Tanzania MASHAMBA /VIWANJA VYA MAKAZI NA UFUGAJI VINAUZWA MAENEO YA YOMBO MPERA, UMEME UPO.

    Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka milioni 3.maeneo yapo YOMBO MPERA WILAYA YA MKURANGA.KARIBUNI SANA.
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO wakata Umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kwa Maboresho ya Kituo cha Kupoza Umeme cha Kunduchi

    Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini maeneo mengi ya biashara ya chakula huwa wanishindwa kudhibiti nzi?

    Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali. Yani mtu unakula chakula na mkono mmoja huku mwingine una kazi ya kufukuza nzi! Kama wewe sio mvivu na hupendi nzi, kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wachechniya wamechukua tenda ya kuwafurusha Ukraine kutoka Kursk. Wamekomboa maeneo kadhaa huku jeshi la Urusi likisonga mbele Donest

    Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine waliojipenyeza ndani ya mipaka ya Urusi mwezi uliopita. Habari hizo zinakwenda sambamba na taarifa ya jeshi la...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baada ya CCM kuchukua manispaa ya Moshi (umeya) na ubunge 2020 maeneo karibia yote ya wazi yamechukuliwa

    Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana ila sahivi siishi kulikua na maeneo ya wazi mengi sana ila nilienda mwaka jana December nilishangaa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Wilaya watoke maeneo husika

    Wakuu napendekeza wakurugenzi wateuliwe kutoka kwenye maeneo husika ili kuwa na uchungu wa pesa za miradi zinazotolewa kwenye maeneo husika. Hii ya kuletewa mkurugenzi asiye mwenyeji wa eneo husika inachochea ubadhirifu wa pesa za maendeleo.
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Ninauza viwanja Maeneo ya Mwanza

    Habari wana JF Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa ajili ya viwanja vya makazi.Maeneo haya siyo mali yangu binafsi,isipokuwa nimeaminiwa na kupewa...
  16. JamiiForums Tanzania Bei za mcheleNzipoje katika maeneo mbalimbali?

    Habari wana jf tupeane machimbo ya mchele wa bei nzuri ya chini Hapa mbeya mjini kuanzia 1200 kuendelea Kwa ubaruku kuanzia 1300 kuendelea Wewe hapo ulipo bei ikoje.
  17. JamiiForums Tanzania Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

    Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro. Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka. Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka. Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga. Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yashauri ujenzi wa Madaraja maeneo yenye usafiri wa vivuko

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo...
  19. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…