maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..." Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai. Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni. Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa...
  2. Athumani malumalu

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na maendeleo vijijini

    Katika mfumo bora wa uongozi na uendeshaji wa mamlaka utawala bora ni muhimu kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma sawa na zenye tija. Katika taifa letu wimbi la uongozi m bovu katika ngazi za chini za utawala limekuwa kubwa na hii pengine ni kutokana na serikali kutofuatilia mienendo...
  3. Magdalene_joseph

    JamiiForums Tanzania Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika. Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala! Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho ya kiutendaji idara ya ustawi na maendeleo ya jamii katika kukabiliana na vifo, ukatili pamoja na upotofu wa maadili ngazi ya familia

    Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu zinazofahamika na ama pia kwa sababu zilizo wazi jambo linalopelekea kuibuka kwa tafrani, simanzi na hata...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuweka Misingi Bora Ya Uongozi Kwa Maendeleo Na Ustawi Wa Jamii

    KUWEKA MISINGI BORA YA UONGOZI KWA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT *** Utangulizi: Katika ulimwengu wa leo, maendeleo na ustawi wa jamii ni mada muhimu sana. Uongozi una jukumu kubwa katika kufanikisha malengo haya. Hata hivyo, ili kufikia maendeleo na ustawi wa jamii, ni...
  7. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ni yetu sote. Tuwajibike kwa pamoja kuleta Maendeleo ya kweli

    MAENDELEO YA TANZANIA: NANI AWAJIBIKE? Kuwajibika ni wajibu au jukumu la kufanya vitendo na kuchukua hatua sahihi kulingana na majukumu au nafasi ya mtu katika jamii au shughuli fulani. Kuwajibika kunamaanisha kufanya yale yanayotarajiwa kutoka kwako kwa njia inayozingatia maadili na...
  8. Joachim Samwel Mboya

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu na Maendeleo

    Hapo zamani za kale, kulikuwa na mji mdogo uitwao Brightville. Mji huo ulikuwa na mfumo mzuri wa elimu, lakini viongozi wa mji huo walikuwa na wasiwasi kuhusu ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji katika mfumo wa elimu. Walitaka kufanya mabadiliko fulani ili kuhakikisha kuwa mfumo wa elimu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nguvu ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

    Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje. Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini...
  11. Joachim Samwel Mboya

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo chanya katika sekta ya teknolojia

    Katika miaka ya mapema ya 2000, tasnia ya teknolojia ilikuwa ikiendelea lakini haikuwa na utofauti. Wafanyikazi wengi wa teknolojia walikuwa wazungu na wanaume, na wanawake na watu wa rangi hawakuwakilishwa sana katika uwanja huo. Wachache ambao waliweza kuingia katika teknolojia walikabiliwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

    Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo ni zao la mabadiliko

    Mabadiliko ndio kila kitu. Tanzania na Afrika kwa ujumla Ina matatizo yanayofanana kwenye kila nyanja elimu,uchumi,utawala,kilimo,afya sayansi na teknolojia. Elimu tunayowapa watoto wetu mashuleni na vyuoni ni lazima wapewe elimu kulingana na mustakabali wa nchi yao kwa mfano Tanzania uchumi...
  14. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia infuata/inatumia model gani ili kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini?

    Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model US wanatumia command and market economic model Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
  16. Ammarah

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwezo wa Afrika kwa Ukuaji na Maendeleo

    UTANGULIZI Katika dunia ya leo viongozi wengi hawawajibiki sana majukumu yao, wanachosema ni tofauti na wanachofanya, hii ndiyo sababu watu wengi wanashindwa kuwaamini. Wengi wetu tunajua kuwa haiwezekani kuweka imani yako kwa mwanasiasa lakini kwa njia fulani sio watu wote sawa...
  17. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sera Bora, Elimu na Teknolojia Muhimili wa Mabadiliko, Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Taifa katika kuhakikisha tunazipiga hatua na kusonga mbele kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo hatuna budi kuhakikisha tunawekeza nguvu katika sera safi na bora, elimu yenye kiwango na teknolojia. Taifa ni lazima lijikite katika kujenga misingi imara na mfumo dhabiti kuzunguka raia na...
  18. Black Opal

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho katika mfumo wa vitambulisho kwa ufanisi zaidi na maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI Kumekuwa na usumbufu mkubwa linapokuja suala la kupata vitambulisho vya taifa, hakuna sababu za msingi za kwanini inachukua mpaka miaka 4 mtu anakuwa anafatilia kitambulisho hiko bila mafanikio. Tatizo ni nini? Lakini pia Serikali imefanya jambo hili la watu kuwa na vitambulisho...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo kwa wezi wa vifaa miradi ya maendeleo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini. Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi)...
  20. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora nu chachu ya maendeleo kwa nyanja zingine

    Utangulizi Uwajibikaji waweza kuwa ni njia ambayo inaweza kuleta chachu ya mabadiliko na maendeleo katika jamii. Uwajibikaji waweza kufanywa na mtu mmoja au zaidi na pia unaweza kuhusisha kikundi Cha watu wenye mipango ya kutimiza malengo Fulani katika jamii yao. Uwajibikaji ni hali ya...
Back
Top Bottom