maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Dira ya maendeleo ya Taifa ya 2050 haiwezekani kutekelezeka kwa miaka 5? Sababu 3 kwanini

    Moja kwa moja. Nilikuwa nafuatilia philosophia ya Trillionea Elon Musk ya " Parkinson Law ". Yeye anaamini Project ya miaka 10 inaweza kufanyika kwa miezi 6. Aliwahi kuwarudisha maengineer wake walipomletea mradi utakaokamilika kwa miaka mingi akawaambia rudini mniletee plan mpya...
  4. JamiiForums Tanzania Kipekee sana Rais Samia anaweka alama nyingine ya maendeleo nchini kwa ujenzi wa shule 103 za Amali

    Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii. Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi. Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania NIDA yakabidhi kiasi cha TZS 61,053,535,363 Serikalini kwa maendeleo ya Wananchi

    Dar es Salaam, 1 Julai 2026 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni fedha za makusanyo yake katika kuunga mkono jitihada za Serikali ya Jamuhuriy a Muungano wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yametatua mengi, lakini hayajaondoa kiu ya moyo

    Full text: Ticha Mashamba: Sawa, Leo tuna sayansi na teknolojia kubwa sana tofauti na zama zako. Yesu: Na bado Kuna vita, njaa, hofu, Mashaka, upweke, magonjwa na matatizo chungu nzima. Ticha Mashamba: Kwa hiyo maendeleo hayajatatua Kila kitu? Yesu: Maendeleo yametatua mengi, lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini Mabeberu hayapigi vita maendeleo ya Makanisa na shule katika nchi maskini?

    Habari za Jumapili. Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap. Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Amani yetu ndiyo maendeleo yetu,tutailinda daima.

    Angalizo...! Hii siyo Id mpya kama wachache wasiofikri vyema, ambao yeyote kwao anayeongelea amani na utulivu kwenye jamii wanamgeuza kuwa adui. Niko hapa tangu 2018. Binafsi nimechagua kuwa balozi wa amani wa kujitegemea. Sijawahi kupewa chochote na kiongozi yeyote na hata mahusiano na...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

    Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia. Mfano, kuna jamii...
  11. JamiiForums Tanzania "Mchango wa Siasa katika maendeleo ya jamii (The contribution of politics in Communities development"

    African's politics Affairs
  12. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya taifa hayakai Dar pekee

    Kuna mtazamo umejengeka kwa muda mrefu kwamba mtu akiishi Dar es Salaam ndiye amefanikiwa zaidi au ndiye mwenye akili ya kutafuta maisha kuliko wengine. Mtazamo huu si sahihi na una madhara makubwa kwa maendeleo ya Taifa letu. Dar es Salaam ni jiji muhimu kiuchumi, lakini Tanzania ni kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Maendeleo Tanzania itaishia kua ndoto tu

    Habari ya hasubuhi Ili Tanzania ipate maendeleo ya kweli kuna mambo yanatakiwa yafanyike.Mfano kipindi cha miaka tu tumekopa zaidi ya Trioni 54 lakini ukiangalia miradi ya utekelezaji unaona kama hazishabihani.Ushauri wangu ili tupate maendeleo ni ufuatao 1.Viongozi tunaowachagua tusichague...
  14. JamiiForums Tanzania Tunapoilaumu CCM tukumbuke na haya!

    Katika mijadala ya kisiasa hapa kwetu, mara nyingi lawama zote hupelekwa moja kwa moja kwa chama tawala, CCM. Wengi husema chama hiki ndicho chanzo cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Lakini kabla ya kufikia hitimisho hilo, ni muhimu kujiuliza: kwa nini tumefika hapa tulipo? Je...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama wanahudumia Watu kwa pozi, tunazungushwa tangu Januari 2026

    Kero yangu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal, nimeomba kusajili kikundi tangu mwezi Januari 27, 2026 hadi leo kikundi akijapitishwa na kupatiwa na namba ya usajili ili tufungue account. Nimemfata Kiongozi wa Maendeleo ya...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania HOJA Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini

    Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini? Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao, unawawezesha vijiji vyote. Kwa nini mada hii ina nguvu: 1. Wao ndio daraja kati ya serikali na wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Uchumi, Elimu, Nishati: Nguzo za Maendeleo Tanzania

    Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
  18. JamiiForums Tanzania Miji Mingi Inacheleweshwa Maendeleo Na "Assets/Mali Za CCM"

    Mko poa wasoma uzi? Niende kwenye mada, baada ya uanzishwaji wa vyama vingi CCM ilichukua mali zilizokua na Umma na kuweka kwenye milki ya chama. Viwanja vya mpira kama Kirumba, Mwanza, Jamuhuri Dodoma, frame za biashara, stand za mabasi, nyumba na viwanja vingi vilivyokua mali ya umma...
  19. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Ujamaa bado ni msingi wa maendeleo ya Nchi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Stephen Wasira, amesema ujamaa bado ni msingi mkuu unaoendesha sera na mipango ya maendeleo nchini. Akizungumza na wanachama wa CCM mjini Moshi, leo Juni 6 2026, Wasira alisema alikana madai kuwa mfumo huo umepitwa na wakati. "Wale...
  20. JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…