Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni.
If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂
Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
Wanaukumbi.
🇺🇸 Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumshtaki (impeach) Pete Hegseth kuhusiana na vita dhidi ya Iran.
Anamtuhumu Hegseth kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge, kukiuka kanuni za ulinzi wa raia, na kulipiza kisasi dhidi ya wakosoaji wake.
Mashtaka hayo yanahusu pia operesheni...
Na shangaa kuona mada zikufutwa au kuunganishwa au kuwa kivuli watu wasisome.
Sina mengi ya kusema ila ni wazi tulipofikia hata ujumbe huu mtakumbuka.
Mungu ibariki mkifa
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio .
Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
Mzee wetu Mohamed Said ambaye kila kukicha anazungumzia kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na kudai kuwa nafasi ya waislamu kwenye uhuru haikuandikwa vyema asisahau kuandika kuhusu kiongozi katili wa kiislamu aliyevunja rekodi ya mauaji ya raia october 29.
Pia asisahau kuandika historia ya...
Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla,
Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa...
Demokrasia imara inahitaji wananchi watofautishe chama, Serikali na dola; na pia inahitaji taasisi za umma ziwe na uwajibikaji, zifuate sheria na zihudumie wananchi wote bila kujali chama wanachounga mkono.
Jambo la msingi: Kuchagua chama ni uamuzi wa kisiasa; vyombo vya ulinzi na usalama ni...
Hawa wabwabwajaji wa Chadema Wana yochukia mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva wakifanikiwa kuibgia madarakani, jambo ambalo naona haliqezekani hata miaka kadhaa ijayo, watafutilia mbali soka na bongo fleva, wananchi tubaki tukiwatukuza lissu na heche
Ndugu zangu Watanzania,
Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine.
Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na n.k ndio yalifanywa south afrika ili watawala wabaki kwa njia yoyote japo walitoka.
Historia ya...
Taifa límejaa Hudhuni sana ,vilio Kila Kona, Kuanzia kutekwa, kupotezwa, Kuuliwa, mpaka Hela mfukon kwa wéngi imepotea !!!.
Vita dhidi ya Kanisa imepamba moto, Viongozi kufa ni Sherehe kwa Wananchi .
Uonevu kuanzia Mahakama mpaka POLISI !!.
Msingi mkubwa wa serikali upo kwenye jeshi. Kule jeshini kiongozi anakuwa ameweka viongozi ambao amekubaliana nao au hata ndugu zake kabisa. Sasa imagine jeshi litatetea wananchi eti kisa kauli mbiu 'jeshi la wananchi JWTZ' mbele ya dada yake au mjomba yake. Hii ingewezekana kwa watu wengine...
Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
Rais wa Botswana, Duma Boko, amezungumzia hatari zinazoweza kuambatana na madaraka ya kisiasa na jinsi kushika wadhifa kunaweza kumbadilisha kiongozi mtazamo wake kuhusu yeye mwenyewe.
Akihojiwa na eNCA’s CheckPoint Podcast, amesema unapoingia madarakan inaweza kukuchanganya sana na kukufanya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema kuna haja ya kuongeza msukumo kutoka kwa wananchi ili kuwafanya viongozi waliopo madarakani kutambua umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba.
Heche amesema chimbuko la baadhi ya matatizo yanayotokea nchini...
Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono
Dr. Nchimbi...
Hapo VIP!
Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika
Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa.
Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao.
Sasa itoshe kusema in...
Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais.
Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria:
Ibara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.