machozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Namshauri Paul Makonda asiwe anapenda kulia na kutoa machozi hadharani. Ajifunze kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni . Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
  2. JamiiForums Tanzania Nimejaribu ku-google "Is Tanzania Safe?" niliyoyakuta nimebubujikwa na machozi!

    Wakuu, Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe? Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama. Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu...
  3. JamiiForums Tanzania FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune. Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya: Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE. Pacome kapata...
  4. JamiiForums Tanzania Profesa Jay machozi jasho na damu

    PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  6. JamiiForums Tanzania Bwana yawezekana kupitia machozi haya kesho yangu haitakuwa hivi tena

    BWANA YAWEZEKANA KUPITIA MACHOZI 😭 HAYA KESHO YANGU HAITAKUWA HIVI TENA Mungu wangu nakushkuru kwa neema hii ya majira haya ya usiku. Ni mapenzi yako tu mimi kuendelea kuwa hai. Asante kwa neema hii🙏 Bwana yawezekana maisha ninayoishi leo au mapito ninayopitia nimesababishiwa na mtu au ni...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Jicho kutoa machozi

    Habari zenu, Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi, naombenmsaada kwa anayejua ni shida gani na kama kuna tiba ni hipi? Natanguliza shukrani
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mzee atoa machozi kisa mke wake. Watoto acheni ubaguzi badilikeni.

    Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia hela anaimalizia kwa wanawake, pombe etc. ili mradi tu mme wake hasitumiwe hela. Muda mwingine maneno...
  9. JamiiForums Tanzania Namna ya kukabiliana na mabomu ya kutoa machozi

    Wakati unapojikuta umerushiwa mabomu ya kutoa machozi bila shaka utakuwa unapitia madhara ya kemikali hiyo. Lakini unaweza kufanya yafatayo kupunguza nguvu ya athari yake. Songea sehemu yenye hewa safi haraka iwezekanavyo Osha uso wako kwa kutumia maji ya baridi. Pia, unaweza kutumia...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Luis Suarez amwaga machozi akistaafu Uruguary

    Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Akizungumza huku akitokwa na macho katika wakati wa mkutano na wandishi wa habari mjini Montevideo, Uruguay, Suarez mwenye umri wa miaka 37 amethibisha kwamba mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia wa nchi yake dhidi ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kulikoni? Wanagawa kadi za chama chao kama njugu mitaani!

    Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM. Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na viongozi wa CCM wenye vitambi wakigawiwa kadi. Pia kuna akinamama wanaosimama njiani kualika wapita...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli. Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa Barack Obama ashiriki katika Maandamano, arushiwa mabomu ya machozi

    Auma Obama, dada wa kambo wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amerushiwa mabomu ya machozi na Polisi wakati wa mahojiano na Kituo cha CNN alipokuwa akihojiwa wakati akishiriki katika Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha. Akizungumzia Maandamano hayo ya kupinga Muswada wa Fedha 2024...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inavyowawezesha Wachina, halafu inalia machozi ya mamba!

    Serikali yetu tukufu imejaa wanafiki wa kupindukia. Inalia machozi ya mamba na watanzania huku nyuma wakila kwa urefu wa kamba zao na wachina. Nimefuma hiyo hapo juu mahali fulani ili wabunge wetu, wananchi na hasa viongozi wajue wanavyoliangamiza Taifa badala ya kuwaendeleza Watanzania. Just...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume msiogope kulia, msibanie machozi

    Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie. Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa wanawake, ukiona unacho maana yake waweza kitumia au umepewa uwezo huo, kuumbwa na uwezo wa kulia maana...
  17. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Machozi yake nani anayajali?

    Mtoto huyu, aliye katika jamii kwa sasa hajui nani amwamini nani asimwamini,mtoto huyu hana pa kukimbilia, si baba,si mjomba, si kaka, si babu, sio mwalimu, si kiongozi wa dini, sio binamu, mtoto huyu anateseka, mtoto huyu wa tanzania hana pa kushika,hakuna anayemtetea kwa dhati, mtoto wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

    Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu. Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha. Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri machozi ya shemeji yamenikosesha amani

    Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa kama mwaka mmoja. Ila yeye alitangulia kuoa, so nikawa nampa heshima zake. Mwaka huo huo mimi nikaoa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Futa machozi tuondoe gizani

    Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha miundombinu ya umeme nchini kote, ikiwa ni pamoja na kuboresha mitambo ya kuzalisha umeme, kupanua mtandao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…