Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limekabiliwa na ukosoaji mkali baada ya kufyatua mabomu ya machozi dhidi ya maaskofu, mapadri na waseminari wa Kanisa Katoliki waliokuwa katika maandamano ya amani kudai ardhi ya kanisa mjini Lubumbashi . Maafisa wa polisi waliuzuia...