mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Raisi samia utulivu unao hamasisha hauwezi kufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki lazima mabadiliko ya kiuchaguzi yafanyike kwanza

    Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki. Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
  2. JamiiForums Tanzania Reform Part 1;Kwa nini tunahitaji mabadiliko kwenye katiba ya Nchi na katiba ya Chama

    Salaam kwako Tundu Lissu uko Gerezani ulipo,Sera yako au yenu Chadema imenifanya nirudie kusoma Mwalimu Julius Nyerere Epilogue of his collective work inayojulikana kama Uhuru na Umoja ili kuweza kujua ama kupata sababu ya Chadema kuja na fikra ya mabadiliko kwenye katiba ama Reformation kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee asiye na Chama na Mtumishi wa Mungu, aionya CCM , adai Mabadiliko ni Lazima !!

  4. JamiiForums Tanzania Je, hii ni ishara ya mabadiliko makubwa kwenye mindset za waTanzania?

    Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇 Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa. Wengi waliotoa maoni wanaonesha...
  5. JamiiForums Tanzania John Mrema, sawa Tume Iko sahihi, kinachokuwasha nini? CHADEMA haingii uchaguzin bila Mabadiliko, hatuna Mpango huo !!.

    Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME. Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??. Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

    Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa. Aidha amesisitiza...
  7. JamiiForums Tanzania Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Matajiri na Watawala Huogopa Mabadiliko?

    Asalaam Aleykum wana JF, Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye hoja. Mara nyingi na kwenye jamii nyingi, matajiri na watawala huogopa mabadiliko kwa sababu yanatishia maslahi yao tofauti na wanyonge ambao wengi wao hawana cha kupoteza zaidi ya kupoteza umaskini na unyonge wao. Haya yaliwahi...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania hatujawa tayari kwa mabadiliko, hata sisi keybord worrior wa humu JF tusidanganyane

    Mabadiliko kwa Wabongo bado sana, tusidanganyane kupeana matumiani na ujasiri fake kwenye keybord. Wabongo bado tuko kwenye usingizi mzito sana ziaidi ya usinhizi wa maiti, na nazani baada ya Kenya kumalizana na mabadiliko itafuata Uganda na huenda hata Rwanda then ndio Tanzania. Sisi kwanza...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake, kuwa kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sote tunapenda mabadiliko, lakini twende mbele turudu nyuma, Kwa Tanzania Kuzuia uchaguzi Haiwezekani

    Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki! Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea Najaribu kufikiria uchaguzi utazuiwaje? Tutazuia mabox ya kura yasiingie? Tutazuia mtu asipige kura? Tutachana ballot paper...
  15. JamiiForums Tanzania John Mrema: No election ni kukusanya wimbi kubwa kwa jamii ili kushinikiza mabadiliko. Lissu: ninaikusanya jamii ya watanzania ili kuhimiza mabadiliko

    John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko. Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe? Mimi hata...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usaliti unaofanywa na genge la Mbowe iwajulishe wananchi kuwa Mbowe alikuwa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko ya kweli nchini.

    Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa! Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
  17. H

    JamiiForums Tanzania CCM ISIISHI KWA KUKARIRI. MABADILIKO NI LAZIMA.

    Kuna hoja za msingi zilizoibuliwa na taasisi na watu mbalimbali kwa nyakati mbalimbali kuhusiana na shetia mbaya za uchaguzi na Tume isiyo huru ya uchaguzi. Tume ya jaji Nyalali mwaka 1991, ilitamka kuwa Tume ya uchaguzi siyo huru, sheria na kanuni za uchaguzi hazilindi uchaguzi kuwa huru na wa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA: Akina mama tuungane kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi 'No Reforms, No Election'

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  19. JamiiForums Tanzania Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wewe unayesema twende kwenye uchaguzi bila mabadiliko unaiunga mkono CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM. Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…