mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

    Hellow Tanganyika, USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika. Tujiulize yafuatayo; 1...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
  3. KJ07

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jiunge na Harakati za Mabadiliko: CHADEMA Inakuhitaji Leo!

    🇹🇿 CHADEMA ni chachu ya mabadiliko tunayoyahitaji! Ni muda wa kujiunga na harakati kwa vitendo. Jiunge sasa kupitia kadi za wanachama zenye hadhi tofauti: Tanzanite, Diamond, Platinum, Gold, Silver, na Bronze. Kwa nini ujiunge? 🗳️ ✅ Kuwa sehemu ya uamuzi wa kitaifa ✅ Changia harakati za...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

    Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali. Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti...
  5. Room 28

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanadhani Lissu ataleta mabadiliko ili hali kawepo kwenye chama miaka zaidi ya 30?

    Lissu kushika kijiti watu wamefurahi sana lakini pia CHADEMA wanaona kama ndo watashika nchi vile? Nini wanadhan Lissu atakibadilisha kama yule mzee asiye na bla bla wala maneno maneno ameshindwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA kizazi cha Gz kushuhudia mabadiliko makubwa

    Wakuu ,kwa wale vijana wetu ambao hawakuwahi kusikia sauti tofauti ya Mwenyekiti wa chama cha Chadema, mwezi huu Mungu atatenda, ukumbuke ya kwamba hawa vijana wakati wa uhai wa maisha hawakuwahi kushuhudia Mwenyekiti tofauti na Mzee Mbowe. Kwa jinsi hali ilivyo ni dhahiri ya kuwa Mzee Mbowe...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanye mabadiliko ya katiba kumaliza mnyukano wa kugombea madaraka katika chama

    Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi. CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...
  8. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa ya biashara (Mabasi dhidi ya SGR)

    Habari wanajamvi, Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja itaanza jioni ya leo. Krismasi kwangu ni fursa ya kuwasaidia wahitaji). Leo nlikuwa mtandaoni, nikaona...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, huwezi kuongoza chama na kuleta mabadiliko kwa kususa na kutofanya chochote tu.

    Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Tundu Lissu...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni chama kipi kwa sasa kati ya hivi itakuwa sehemu sahihi kwa Tundu Lissu na wapenda mabadiliko?

    Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola . Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa . Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
  11. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kamati kuu CHADEMA komaeni, mabadiliko si lelemama

    Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi. Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma. Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman...
  12. toriyama

    JamiiForums Tanzania nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?

    nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini? Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
  13. chakii

    JamiiForums Tanzania Lissu usiogope kuanzisha Chama cha Siasa, Watanzania tunaopenda mabadiliko tupo tayari kuchangia uendeshaji

    Wakuu habari.. Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi. Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo tunakubaliana sasa kiwa Watanzania hatutaki mabadiliko!!!

    Chama kinatengenezwa kwa mambo 3 ili kuweza kuendelea kuwepo. Kwanza System,structure na Itikadi/kanuni/sheria. System/Mfumo unaangalia namna gani utasimamia itikadi isiweze kiharibiwa kwa kuangania products/inputs (wanachama au sera) na output hapa inarelate matokeo ya sera ndani na nje ya...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Tundu Lissu atawashinda kijani wanaovaa magwanda? Ni kipi tunaweza shauri au fanya wapenda mabadiliko kumsaidia?

    Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti? Je tumshauri au nini tunaweza fanya nini wapenda mabadiliko?
  16. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko NHIF kama huna uwezo utakufa, hakuna nafuu yoyote zaidi ya kutafuta pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi

    NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/= Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Wamebadili kifurushi cha watoto ambacho awali kwa mtoto ambaye bado hajaanza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

    1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake. Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena. You cannot lie...
  18. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Majibu ya CCM: hoja yao ilikuwa CHADEMA haina demokrasia ina mwenyekiti wa maisha, sasa CHADEMA wanataka mabadiliko ya mwenyekiti CCM wanapinga tena

    Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki. CCM imejaa viongozi wabinafsi sana wananchi wenye akili wanaliona hilo, wamevuruga uchaguzi wa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Singida Big Stars yapangiwa tarehe, huku na Tabora United kupangiwa siku

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi. Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu CHADEMA: Bila mabadiliko, 2025 hakutafanyika Uchaguzi wowote

    Wakuu, Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia uchaguzi ujao bali uchaguzi huo unaweza usifanyike kabisa, Kigaila amesema kuwa bila mabadiliko ya...
Back
Top Bottom