mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania woga na kuogopa mabadiliko vipo sambamba na watanzania

    Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama Duniani huko vijana wanakiwasha kudai...
  2. JamiiForums Tanzania UDP,CHADEMA, CUF N.K PANAHITAJIKA MABADILIKO MAKUBWA MNO YA KIMFUMO, KIKATIBA NA KIUONGOZI ILI KUWE NA TIJA YA KISIASA MPAKA KWENYE MAISHA YA WANANCHI

    vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini, Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
  3. JamiiForums Tanzania TUSD Mabadiliko katika sarafu bandia Tanzania

    Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme. Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable...
  4. JamiiForums Tanzania Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nayaona mabadiliko Baraza la Mawaziri

    Nimatumaini yangu kumekucha salama, wagonjwa na wenye changamoto ninaungana nao kuomba na kupambana ahueni ipatikane. Aidha ninaungana na wafiwa na wale walioguswa na msiba wa mzee wetu Ali Magoma kwa udhalilishaji na mateso aliyefanyiwa na hatimaye mauti kumkuta. Kelele zimekua nyingi hadi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Samico nimerejea mjini, nimekuta mabadiliko; Aliyekuwa kiboko ya wachawi naye karogwa na wachawi

    Baada ya kukaa saiti miezi mitatu huko polini kondoa pasipo kuingia internet, Hatimaye leo tumerejea Dar es salaam! Tuko huru kama kuna kazi umeme na ujenzi nipigie 0711756341 Nimerudi mjini Hakika mabadiliko yanaonekana! Mji unakuwa kwa kasi sana! Ukiwa hapahapa mjini kila siku huwezi kugundua...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mabadiliko haya ni ya kawaida tujitahidi tuwatumikie wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana huku akisisitiza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida kwa ajili ya kuongeza ufanisi katika maeneo husika. Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Agosti 15,2024 wakati akiwaapisha viongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

    Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
  10. JamiiForums Tanzania Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

    Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp Ni mawazo Yangu tu Wait it Upo Pascal Mayalla ? Britanicca
  11. JamiiForums Tanzania Kupinga Mabadiliko: Hadithi ya Maumivu ya Majuto tuyatumie vizuri maonesho ya nanenane

    Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
  12. JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko yangu ni noma

    Nilianza kama memory card isiyokuwa na chochote, empty nikiwa mtu na safi sijajitia unajisi na chochote.. ilikuwa hivi.. Naenda kiumri ~ Age 8 - Nilipendwa na mdada tulikua tunasoma nae mimi mtoto wa mwalimu na yeye alikuwa mtoto wa mwalimu, saa 4 tunaenda ofisini kunywa chai 👩‍❤️‍👨 sikuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tushangilie ushindi wa TLS lakini tusitegemee mabadiliko TLS kupitia Mwambukusi; huyu ni mwanasystem kindakindaki

    Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea. Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama...
  14. JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Usipokubali mabadiliko unapitwa na wakati

    Three stories to boot: 1. Nokia refused Android 2. yahoo rejected google 3. Kodak refused digital cameras Lessons: 1. Take chances 2. Embrace the Change 3. If you refuse to change with time, you'll become outdated Two more stories: 1. Facebook takes over WhatsApp and Instagram 2. Grab takes...
  16. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

    Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina muundo rasmi wa Wizara Kikatiba, na hivyo kila Rais huunda baraza lake kwa jinsi aanavyo inafaa kurahisisha utendaji wake?

    P02: MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI Lina wizara 14, Mawaziri 14, hakuna Manaibu Mawaziri Wizara hizo ni: 1. Ofisi ya Rais (menejimenti ya utumishi wa umma, katiba sheria na utawala bora) 2. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano, mazingira) 3. Ofisi ya waziri mkuu(sera, bunge, uratibu) 4. Afya...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro Ahimiza Mabadiliko Chuo cha Michezo Malya

    WAZIRI NDUMBARO AHIMIZA MABADILIKO CHUO CHA MICHEZO MALYA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watuishi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wafanye mabadiliko katika utendaji kazi wao ili waendane na kasi ya mabadiliko ya sekta hiyo hapa nchini. Mhe...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yenye tija katika shule za msingi na sekondari

    Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu kama kiungo katika kuleta maendeleo. Licha ya hayo, bado kasi yake hairidhishi ikilinganishwa na...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

    KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;- 1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…