maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
  2. Mpaka sasa watu 133 wamekufa Iran kwenye maandamano ya kupiga uonevu wa kidini

    Maandamano bado yanaendelea, wananchi wamechoka kulazimishwa kufuata sheria za kidini zinazowadhulumu, mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele kimeonekana..... Wanaendelea kuuawa ila wameamua hiyo damu haitamwagika bure. On September 30, people gathered after Friday prayer in Zahedan to...
  3. CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

    Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya nchi nzima kupinga kifo cha Mahsa Amini. Mapema wiki hii, CPJ ilitoa wito kwa mamlaka za Iran...
  4. Maandamano Iran: Mpaka sasa wamekufa 83, maandamano yanaendelea, wamechoka uonevu wa kidini

    Tangu mwanamke auawe na mapolisi kisa kipande cha nywele kuchomoza nje ya hijab, raia wa Iran wameamua liwalo na liwe, wamechoshwa na uonevu wa kidini, wanaendelea kufa, itabidi labda serikali ya kidini iwaue wote. ===== Iranians have defied crackdowns and showed up for protests in cities...
  5. Wanafunzi nchini Uganda waandamana kupinga EU kuhusu mzozo wa Mafuta nchini Uganda

    Wanafunzi wafanya maandamano ya kupinga Muungano wa Ulaya juu ya mzozo wa mafuta wa Uganda Patience Atuhaire / BBCCopyright: Patience Atuhaire / BBC Mamia ya wanafunzi wa Uganda wanaandamana dhidi ya bunge la Ulaya, baada ya kupinga mradi wa mafuta baina ya nchi hiyo nan chi Jirani ya Tanzania...
  6. B

    Mauaji Mara, Maandamano ya pande zote yavumiliwe

    Mara yameonekana maandamano ya kuwapongeza polisi kuuwa wanaosemekana majambazi. Kwamba maandamano hayo yamekuwa ya amani yakipokelewa na RPC wa huko, ni jambo la kupongezwa kwani haki ya kikatiba imetamalaki. Hata hivyo kuna tashwishi za kutosha kuwa maandamano haya yameasisiwa na kuratibiwa...
  7. B

    Mauaji holela watuhumiwa wakiwa ni Polisi, tusisitize Uchunguzi

    Kwenye sakata la mauaji ya watuhumiwa polisi ni watuhumiwa. Ufumbuzi pekee hapo ni uchunguzi. Si wao kuandaa maandamano uchwara ya kuungwa mkono kwa mauaji yao ya kijambazi. Tunaweza kuyakataa haya yasiwepo: Kama Mtwara, Tarime na kwingine kuhitaji uchunguzi huru wenye kuja kufanyiwa kazi...
  8. Iran: Waliouawa katika maandamano wafika 76

    Inaelezwa kuwa idadi hiyo imefikiwa ndani ya siku 11 na shutuma zikienda katika vyombo vya usalama, ambapo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Iran (IHR) limedai nguvu kubwa inatumika kuzuia maandamano . Mamia ya waandamaji wakishikiliwa, 20 kati yao wakiwa waandishi wa habari na yameendelea...
  9. Iran: Wananchi waandamana kuunga mkono mfumo wa Kiislam

    Mkusanyiko wa mamilioni ya watu wa Iran; kufukuzwa wafanya ghasia na Umma wa Mtume Mtukufu (saw) ======== Wananchi wa mikoa tofauti ya Iran siku ya Jumapili, ambayo ilisadifiana na siku ya kukumbuka kifo cha Mtukufu Mtume (saw) na mkuu wake Imam Hassan Mujtaba (as), walifanya mkusanyiko wa...
  10. Maandamano Iran: Vifo vyafikia 41 baada ya kisa mwanamke kufia mikononi mwa polisi kwa 'kutojisitiri'

    Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao. ========= The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to...
  11. Iran kunazidi kufuka moshi, kamanda adungwa kisu na kufa kwenye maandamano

    Raia wa Iran wamechoka na sheria za kidini za kumzuia mwanamke asionekane nywele, hii ni baada ya mdada mmoja kuuawa kisa kaonyesha sehemu ndogo tu ya nywele zake. Japo Waajemi au Persians wana akili, IQ zao huwa zimewazidi Waarabu na ndio maana wamefikia mpaka kwenye hatua za kutaka...
  12. Vifo vyazidi kuripotiwa Iran kwenye maandamano ya kupinga mauaji ya mwanamke kisa hakusitiri kichwa

    Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza. Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa.. Iran has come under pressure since the 22-year-old woman died in police custody. Iran's President Ebrahim Raisi, meanwhile...
  13. Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

    Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo. ====== At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
  14. J

    Odinga atangaza maandamano ya kishindo ya kuwang'oa majaji wa mahakama kuu asema mahakama ilifanya ujambazi na ujinga

    Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa...
  15. J

    Kenya2022 UTABIRI: Mahakama isipofuta uchaguzi Raila ataitisha maandamano, na ikifuta hatakubali uchaguzi urudiwe

    Huu ni utabiri wangu kuhusu kitakachotokea ndani ya wiki mbili hizi huko Kenya. Ni kuwa Raila ameona hakuna namna yoyote anaweza kuwa Rais wa Kenya na ukizingatia umri wake anaona kama anaenda kuwa irrelevant kisiasa. Uamuzi wowote utakaotolewa na mahakama tofauti na kumtangaza Odinga mshindi...
  16. Afrika Kusini: Maandamano ya kupinga gharama za maisha yashika kasi

    Wafanyakazi nchini humo wameitisha maandamano nchi nzima kupinga kupanda kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira wakati ambao mfumuko wa bei ukifikia kiwango cha juu tangu mwaka 2009. Maelfu ya wafanyakazi waliingia mitaani katika majimbo yote tisa kudai ruzuku ya msingi ya mapato, kima cha...
  17. Sierra Leone, Rais asema Maandamano ya Jana dhidi ya Serikali ni Ugaidi

    Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi Takriban watu 130 wametiwa mbaroni katika maandamano hayo ya kumshinikiza Rais huyo kujiuzulu , kutokana na kupanda kwa...
  18. Sierra Leone yatangaza marufuku ya kutotoka nje huku ikikabiliwa na maandamano makubwa

    Makamu wa Rais, Mohamed Juldeh Jalloh ametangaza amri ya kutotoka nje kwa nchi nzima huku kukiwa na maandamano makubwa dhidi ya Serikali, kupinga kuongezeka kwa mfumuko wa bei na migogoro ya kiuchumi Maafisa wawili wa Polisi wameuawa huku Makumi ya waandamanaji wakishikiliwa katika makabiliano...
  19. Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

    Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
  20. Maandamano yaibuka Madagascar Wananchi walia hali ngumu ya maisha

    Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry Rajoelina kuhusu hali hiyo. Polisi wamelazimika kuingilia na kuwashikilia viongozi wawili wa juu wa Chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…