maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa kuwa kile chama kinaonekana kujihusisha na wanajeshi (JWTZ) wastaafu, nashauri pia shughuli zao za maandamano JWTZ wasiwe wanakaa mbali.

    Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi. Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama...
  2. Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo TV adaiwa kutekwa na kunyaganywa vifaa na wasaidi wa Paul Makonda kisa maandamano

    Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma. Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya watoto kugongwa mara kwa mara na kupoteza Maisha ametekwa na kuchukuliwa vifaa vyake vyote vya kazi na...
  3. SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

    Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
  4. L

    John Cheyo: Maandamano hayatufikishi popote

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  5. Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?

    Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?
  6. CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

    Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea...
  7. Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

    NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia. Hata hivyo, kuna sharti muhimu: viongozi wetu, Mbowe, Lissu, na familia zao wanapaswa kuwa mstari wa...
  8. D

    PreGE2025 "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!

    Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini? Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
  9. Maandamano ya tarehe 23 yafanyike hivi

    Kwa jinsi hali ya mambo inavyokwenda, napendekeza kuwa wananchi wote wa TANGANYIKA tuandamane tarehe 23 kwa utaratibu huu. 1. Tumchangie nauli dada yetu Mange Kimambi aje nchini kuongoza maandamano. 2. Nyuma yake afuate Mbowe, Lissu, Mnyika na viongozi wa ngazi za juu. 3. Nyuma yao wafuate...
  10. Maandamano ya "Samia Must Go" yatayeyuka kama yale ya UKUTA

    Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia. Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA. Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio...
  11. PreGE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  12. PreGE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
  13. PreGE2025 Kwahiyo Serikali na Polisi Maandamano yanafaa yakifanywa na CCM na Chawa, wakifanya wanaopinga serikali ni Uvunjifu wa Sheria?

    Wakuu, Tukio linaondelea wakati huu ni ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania. Kwenye maadhimisho haya wameonesha pia na kikosi cha FFU ambacho kinatumika kutuliza ghasia kukiwa na vurugu. Cha...
  14. Ushauri kwa waandaaji wa maandamano na waandamanaji tarehe 23/09/2024

    Kutokana na vitisho vinavyotolewa na polisi dhidi ya haki za wananchi kutimiza haki zao kikatiba, ni wazi polisi wanaweza kuumiza watu hata kuua kwa kisingizio cha kuzuia maandamano. Nashauri waandaaji wa maandamano kuandaa media coverage kubwa sana hasa kwa upande wa picha mnato na picha...
  15. Kauli ya Albert Chalamila akigusia Maandamano ya CHADEMA kwa mafumbo, adai yanaweza kuahirishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ameamini Ekaristi takarifu inaponya na inaleta undungu, kufuatia kitendo cha Padri Dkt. Charles Kitima kuwakutanisha pamoja Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John...
  16. S

    Utabiri: Serikali itatumia viongozi wa dini kutaka kuzuia maandamano

    Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini. Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
  17. Mivutano na migawanyiko ndani ya Chadema, viongozi watofautiana kuhusu maandamano yao yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia.. Hata namna maandamano hayo...
  18. Anayepinga maandamano ya 23/09 anaunga utekaji na mauaji ya raia

    Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia CHADEMA...
  19. Kwa mfano viongozi wa CHADEMA wakikamatwa maandamano yatakuepo?

    Salaam Wakuu Sote tunayo taarifa ya mipango ya kufanyika Maandamano. Yanayoandaliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Maandamano hayo yanakuja baada ya vitendo vya utekaji na mauaji ya baadhi ya viongozi wa Chama hicho. Tayari Jeshi la Polisi Nchini limeshapiga marufuku uwepo...
  20. CHADEMA isitishe maandamano, isiingie kwenye mtego wa Polisi. Umma una maswali mengi kwa Polisi tunataka majibu

    Kwa watu wanaoujua mchezo wa chase huu mchezo uchezwa na watu wenye akili tu. CHADEMA isikubali kufungwa chase na watu wenye akili ndogo kama hawa, iko hivi; umma wa Tanzania tuna maswali lukuki kwa jeshi lililofeli la Polisi na tunataka majibu ya kueleweka akiwemo huyo muuaji wao killing...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…