maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    CHADEMA Tunaomba mtoe tamko tuko tayari kwa ajili ya maandamano MO29

    Chadema tunahitaji neno lenu tu tuanze maandamano. Hayo matamko ya polisi ni ujinga tu na kupoteza muda. Tuko tayari wananchi tumeshaiva. Tuko tayari kumwaga damu kwa ajili ya taifa letu. IMETOSHA IMETOSHA IMETOSHA.
  2. CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
  3. T

    CHADEMA tangazeni maandamano nchi nzima kuanzia jumatatu tarehe 26/10/2026

    Huu ni wakati sahihi wa CHADEMA kuhitisha maandamano nchi nzima msisubiri wala msiogope. Tuko tayari kuipigania nchi yetu hadi tone la mwisho la damu. Tundu Lissu kashatupa njia. Na haya maandamano yasiwe ya CHADEMA tu. Tupige kelele mahakama zetu pia haziko huru na hii ni ishara tosha kuwa...
  4. T

    Shkamoo mbeya mkuu wa mkoa asalimu amri baada ya mgomo na maandamano kupinga kuondolewa mjini kiholela!

    Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao. Kutokana na shinikizo hilo serikali...
  5. O

    Mwanahabari wa Citizen TV akamatwa na Polisi akiwa kazini wakati wa Maandamano Nairobi

    Mwanahabari wa Citizen TV, Francis Odee, alikamatwa na maafisa wa polisi Jumanne, Oktoba 20, 2026, alipokuwa akiripoti maandamano ya wananchi waliokuwa wakipinga ongezeko la bei za mafuta katikati mwa jiji la Nairobi. Odee, ambaye huripoti masuala ya uhalifu na usalama, alikuwa akitekeleza...
  6. Maandamano ya Ufaransa yanaonesha tofauti ya kuongozwa na wahuni na wenye akili

    Maandamano ya ufaransa yanathibitisha kuwa mauaji ya tarehe 29/10/2025 nchini hayana uhalali wowote bali yamethibitisha tunaongozwa na wahuni wasio na huruma na binadamu. Watu wamechoma vitu,wezi wameiba mali lakini hakuna mauaji ya halaiki.pia viongozi wa huko wanajua madhara ya mauaji...
  7. Maandamano ya Gen Z nchini Ufaransa

    Kumetokea vurugu kubwa nchini ufaransa yaliyosababishwa na waandamanaji maarufu wanajiita Gen Z Watu wanavamilia maduka nakuchukua vitu wamechoma majengo Lakini pamoja na yote hayo hakuna raia hata mmoja akiepigwa risasi inaonyesha jinsi gani wenzetu wa france wanajari utu wa raia wake...
  8. M

    Amnesty yaitaka Kenya kushughulikia malalamiko yanayochochea maandamano. Yawa kimya Ufaransa

    Amnesty yaitaka Kenya kushughulikia malalamiko yanayochochea maandaman. Lkn haitoi kauli hata ndogo kwa watawala na Yawa kimya Ufaransa
  9. Z

    Vijana anzeni Maandamano kama Ufaransa. Wizara ya Elimu inahitaji Viongozi wapya

    Shule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi. Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto...
  10. R

    Albania na France maandamano yanaenda wiki, hakuna hata mmoja ameuawa

    Hapa masaa kidog tu tu 518 maiti as per hotuba ya chande! or over 10,000 maiti as per upinzani. Afrika ni laana!
  11. C

    kesi za maandamano ya Oktoba 29 yatamatika Bunda na kuachiwa huru kwa watu 30

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Musoma, imemwachia huru George Mapuli Bukingi na kuhitimisha rasmi mfululizo wa kesi za vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, wilayani Bunda. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Kakolaki, aliyekubali rufaa ya Bukingi iliyokuwa ikipinga...
  12. Q

    Tume ya Jinai ya maandamano ya 29/10 inaenda kutupatia Tanganyika

    Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80. Belive me or not matokeo ya tume yanaenda kuzalisha vikundi vya uasi kama M23 vitakavyopambana na serikali kudai Tanganyika. Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni...
  13. A

    Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa 29 Oktoba, 2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu

    Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa tarehe 29/10/2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu waliopambana kwa ajili ya ukombozi wa Tanganyika lakini bahati mbaya wakauwawa na hii serikali ya kikoloni Ili kuwaenzi hawa wazalendo yafaa tupeane mbinu za kisasa za kukinukisha ili wakoloni...
  14. K

    ✍️ MTAZAMO: Mimi ni Muumini wa Maandamano, lakini Sitakuwa "Chambo" cha Wanaharakati Njaa

    Tunapoelekea kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokowe na mashujaa wetu tunatakiwa kutathmini makundi haya ya wanaharakati wa mitandaoni. Kama raia ninayeamini katika mabadiliko, haki, na uwajibikaji, siku zote nitakuwa tayari kuunga mkono sauti yoyote halali inayopaza sauti dhidi ya changamoto za...
  15. R

    Maandamano ya wanafunzi Ufaransa: Kama ingelikuwa hapa polisi wangelikwisha UA over a million students!

    Mwanafunzi Mmoja tu ndiye kapoteza mkono. Hakuna maiti hata moja ie hakuna aliyepotea maisha... Hapa kwetu zaidi ya milioni wangelikuwa maiti!
  16. Inakaribia mwaka tokea ndugu zetu wauliwe na miili yao kupotezwa, haki ya Mungu watu waliofanya haya hawatoacha

    Watu wengine waliuliwa mabarabarani. Wengine nyumbani. Wengine walibebwa mahospitalini. Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini. Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha. Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
  17. Maandamano ni desturi ya kudai mabadiliko katika baadhi ya mataifa duniani, lakini Africa Mashariki imekua ni kichochea cha ghasia, uharibifu na maafa

    Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo, na...
  18. Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  19. G

    Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
  20. CCM wanapenda kupush CCM vs CCM ili waendelee kubaki, msikubali kuchezewa

    Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala. Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…