maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Uwepo wa maafisa wa ICC ni fursa nzuri ya maandamano ya Free Lissu

    Hii ziara ya Arusha ni kuwaonyesha kwamba anakubalika na hakuna tatizo nchini. Sasa wananchi waandae haraka maandamano ya Free Lissu, mengine yawe Free Pole Pole, Yu wapi Nchimbi nk nk Nawaambia Kwa siku ambazo wapo maafisa wa ICC hakuna virungu Wala vitisho vya risasi. Hii iwe haraka Afcon...
  2. Ipo haja ya kuwapo kwa taratibu za kuyaruhusu maandamano kwa miongozo kadhaa wa kadhaa!

    Tunafahamu kikatiba,maandamano ni haki kwa Mtanzania katika kufikisha ujumbe wa aina mbalimbali,lakini kwa mtazamo wangu binafsi ni hekima,kama ilivyo kawaida maandamano huombewa kibali kwa mujibu wa taratibu zetu,lakini kungekuwepo na baadhi ya vigezo ambavyo ingestahili viongezwe katika...
  3. Iran wananchi wamechoka kuongozwa na Magaidi waanza Maandamano na kutaka Shah!!!

    Wairani waliandamana katika mitaa ya Abdanan katika jimbo la magharibi la Ilam leo, wakipinga vifo vya wafanyakazi 13 wa sekta ya mafuta katika ajali ya basi ya Novemba 14. Waandamanaji walidai uwajibikaji kwa barabara zisizo salama na hali ya usafiri, huku biashara za ndani zikifungwa kwa...
  4. M

    Mashabiki wa Simba waandamana kuelekea TFF, wanataka mabadiliko

    Mashabiki wa Klabu ya Simba leo Novemba 17 wameandamana kuelekea Makao Makuu ya TFF wakiwa na mabango wakishinikiza baadhi ya mambo yafanyiwe marekebisho ndani ya klabu yao ambapo wengi wanaamini yapo mambo mengi ambayo hayapo sawa. Mashabiki hao wamebeba mabango mengi moja ya mabango ambayo ni...
  5. C

    Czech: Wananchi waandamana kupinga mpango wa Serikali kufadhili Vyombo vya Habari

    Wananchi wa Jamhuri ya Czech wanatarajiwa kuandamana jijini Prague kupinga mpango wa serikali ya Waziri Mkuu Andrej Babis wa kubadili mfumo wa ufadhili wa vyombo vya habari vya umma. Mpango huo unapendekeza televisheni na redio za umma zifadhiliwe kupitia bajeti ya serikali badala ya ada...
  6. C

    PostGE2025 Yeriko Nyerere: Nimepoteza Ndugu wawili katika vurugu zilizohamasishwa na CHADEMA

    Yericko Nyerere, aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni mwaka 2025 kupitia Chama cha CHAUMMA, amesema alipoteza ndugu zake wawili katika vurugu za Oktoba 29, akieleza maumivu makubwa aliyoyapata kutokana na tukio hilo. Akizungumza katika mahojiano na Royal TV kuhusu matukio ya Oktoba 29...
  7. Ujerumani: Maduka yamevunjwa na kuibiwa huku Maandamano ya kupinga Gharama Kubwa za Maisha Yakigeuka Kuwa ya Vurugu

    Mbali na Frankfurt, ambayo ni kitovu kikuu cha shughuli za kifedha nchini Ujerumani, matukio ya vurugu pia yaliripotiwa Berlin, Cologne na Hamburg. Polisi walisema walitumia magari ya maji ya kuwatawanya waandamanaji baada ya baadhi yao kuanza kuwarushia fataki, mawe na chupa wahudumu wa huduma...
  8. T

    GODBLESS LEMA AMETUPA CODE: BILA MAANDAMANO YA WANANCHI TUTASUBIRI SANA

    Mheshimiwa Lema umeongea vizuri sana. Na upetupa code. Bila maandamano ya wananchi hakuna ushindi. Sasa ni sisi wananchi kujipanga
  9. Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  10. Kiongozi wa maandamano huko Ufaransa ni Yazan Majdal Abu Sammour Mhamiaji kutoka Gaza!!

    Yazan Majdal Abu Sammour, mhamiaji Mpalestina mwenye umri wa miaka 23 ambaye ana uraia wa Ufaransa, alirekodiwa katika Place de la République jijini Paris akiwashutumu polisi wa Ufaransa kwa kutumia mbinu za kudhibiti umati wa watu za "kikoloni" za Israeli dhidi ya vijana kutoka vitongoji. Abu...
  11. C

    Frank Ruhasha: October 29 Risasi zilipigwa za kichwa walilenga kuua sio kudhibiti maandamano

    Naibu waziri kivuli wa kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ofisi ya wasemaji wa kisekta wa chama cha act wazalendo, frank ruhasha, amesema kuwa mauaji na ukatili uliotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 havikulenga kudhibiti maandamano, bali vyombo vya dola vilifanya mauaji ya makusudi kwa...
  12. C

    PostGE2025 Askofu Emmaus Mwamakula: Tume ya Jaji Lila imekwepeshwa mambo muhimu juu ya Mauaji ya Oktoba 2025

    Ndugu Watanzania! Rais Samia aliunda Time ya Jaji Lila kwa ajili ya kuchunguza au kubaini makundi makuu manne ya watu ambayo ni: 1. Watu waliopanga kile ambacho yeye alikiita kuwa ni matukio ya vurugu kabla, wakati na pia baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025. 2. Watu walioratibu kile...
  13. S

    Bodaboda kuzikana kwa maandamano

    Sijajua kwa huko Dar ila huku mkoani miaka ya karibuni kumetokea utaratibu wa dereva bodaboda kuzikana kwa maandamano. Siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya inakuwa fujo barabarani siku ya maandamano. Serikali iliangalie hili swala kwa ukaribu maandamano yawe na utaratibu waongozane...
  14. M

    Mbeya ni moyo wa siasa za upinzani! Inaongoza harakati, hawana tamaa ya asali na si waoga. Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, CHADEMA ingepotea

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  15. F

    Katiba ya nchi yetu inaruhusu kiongozi wa dini kuongoza maandamano kama alivyofanya Desmund Tutu na Martin Luther?

    Nimeuliza swali, Majibu yawe mafupi yakiambatana na kifungu ndani ya katiba, tafadhali Karibuni.
  16. M

    Bila msukumo wa Mange Kimambi, maandamano yaliyopangwa Oct 29 2026 yamepuuzwa kabisa. wanaharakati bado wana mengi ya kujifunza kwa dada yao

    Wanaharakati walikuwa wameipa Oct 29 uzito mkubwa, wakipush maandamano kwa nguvu zote. Lakini sasa, siku imekaribia na mambo hayaonekani kwenda kama walivyotarajia, hata wao wameacha kuyapush, Hate her or love her, hii mashine ni kitu kingine kabisa! 🔥 Ana uwezo wa kupenya kwenye hisia za watu...
  17. F

    PostGE2025 Faida mojawapo ya maandamano ya Oktoba 29, 2025; ni kukomesha uzururaji na ufujaji wa pesa za umma wa viongozi

    Habari! Twende haraka kwenye mada ya maombolezo ya mashujaa wa 0ct 29, Tangu March 2021 alipoapishwa kiongozi yule dhalimu, takwimu za safari za kuzurura huko na huko duniani Kwa gharama kubwa za Kodi zetu ni kubwa mno, Kila tulipolalamika, tulijibiwa kwamba mimi mamaenu nisipotoka mtakula...
  18. N

    Maria Sarungi acha utapeli na uongo njoo tushiriki wote maandamano

    Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe...
  19. T

    CHADEMA Tunaomba mtoe tamko tuko tayari kwa ajili ya maandamano MO29

    Chadema tunahitaji neno lenu tu tuanze maandamano. Hayo matamko ya polisi ni ujinga tu na kupoteza muda. Tuko tayari wananchi tumeshaiva. Tuko tayari kumwaga damu kwa ajili ya taifa letu. IMETOSHA IMETOSHA IMETOSHA.
  20. CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…