Rais William Ruto amesema hakuna Mkenya anayepaswa kupoteza maisha, uhuru au heshima yake kwa sababu tu ya kuikosoa serikali, kutoa maoni yasiyopendwa na wengi au kushiriki maandamano ya amani.
Akizungumza katika Kongamano la 16 la Katiba lililofanyika KICC, Nairobi, Agosti 27, 2026, Ruto...
Wananchi wanawatag Polisi kuwajulisha dhamira yao ya kuandamana kwa amani Agosti, 8, 2026 maarufu kama 8/8
Tangazo hili linaonesha sababu za maandano ni
Kupinga Utekaji
Kudai kuheshimiwa kwa haki za binadamu na utawala wa sheria
Kutoa Wito wa mchakato wa katiba mpya
Kudai Uchaguzi huru na Haki...
Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania,
Salamu za amani na mshikamano.
1. UTANGULIZI
Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
Yaani kuandamana kwa amani kushinikiza mtu asiye na kosa aachiwe ni kosa?
Dunian nzima ilipinga kufungwa kwa Nelson Mandela. Na maandamano yalikuwa yakifanyika hata hapa Tanzania.
Leo kusema tu tutaandamana kwa amani kushinikiza Lissu aachiwe imekuwa ni kosa?
Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi mkuu 2025 anasema hayakuwa maandamano ya amani bali ni ya ghasia.
Anasema
"Kilichotokea siku ya uchaguzi mkuu, Oktoba 25, hayakuwa maandamano ya amani bali yalikuwa ghasia yaliyoambatana na matokeo ya uvunjifu wa amani...
Maandamano ni haki ya kikatiba
Tuna mpango wa kufanya maandamano Tanzania nzima kupinga ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na diesel Kwa 26%
Bei ya mafuta ilipanda Kwa 6% soko la Dunia ila hapa kwetu tumeshangaa EWURA imetangaza ongezeko la zaidi ya 26%
Yaani mafuta kutoka tsh 3000 hadi 4000+...
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Hata kama polisi wakitoa kibali, ukweli ni kwamba Watanzania wengi hawapendi kuandamana kwa sababu wanaona maandamano yamekuwa fursa ya wizi na uporaji. cocastic Ndiyo maana niliwahi kusema kuwa waliokuwa wakiandamana wengi wao walikuwa vibaka na wezi, hasa hapa mjini Dar es Salaam, wakati...
Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda
Kama mmekosa kazi za kufanya...
Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio
Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili maandamano haya yawe ya amani na kusiwepo uharibifu wa mali na miundombinu.. Vibaka na wezi wameshapewa onyo...
Ulimuswano Mwanaweswe!.
Moja kwa moja kwa mada.
Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania.
Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa, kijamii na kimaendeleo. Ila kuna fungu la walio wachache wanakaza.
Kufuatia hilo 29.11 ilikuwa siku yao...
1. Wanachofanya
Hujipenyeza kwenye mikusanyiko ya watu wanaokusudia amani.
Huanza kuhimiza vurugu, uharibifu wa mali, au vitendo vya wizi.
Hubadilisha taswira ya maandamano kutoka amani kwenda fujo.
Hutoa mazingira ya kuhalalisha matumizi ya nguvu kali.
Kukusanya taarifa za viongozi wa...
Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana.
Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
Anonymous
Thread
amani
chuo kikuu huria
december
dhidi
huria
kikuu
maandamanomaandamanoyaamani
mbovu
open
open university
tarehe
university
uongozi
uwajibikaji
Mwongozo
Muda wa kukutana ni saa moja kamili asubui,
Vitu vya msingi
1, Vaa mavazi mepesi ya mazoezi na uwe na maji ya kutosha,
2, Beba bendera ya nchi na bango kama hauna sio lazima,
3, Kuwa na pesa ya akiba kwaajili ya usafiri au chakula,
5, Zingatia namba nne.
Yaani unajua Kuna watu wanataka kuponza wenzao huku wao wakiwa chumbani wamejificha huko ulaya.
ivHi mtu kama mange alietuaminisha jeshi uchwara lipo na sisi anatuambia tutoke Kwa amani yeye akiwa kajificha chumbani ulaya
Yaani kabisa jitu linasema andikeni mabango muandamano ni ya amani...
Maandamano yoyote ambayo polisi hawakutoa Ulinzi hayawi ya amani kwa sababu kuna watu wenye akili tofauti wanaoweza kufanya uhalifu.
Ili hawa watu wahalifu wanaojificha kwenye kivuli cha maandamano wasifanye uhalifu ndio maana sasa POLISI HUTAKIWA KUTOA ULINZI KWA WAANDAMANAJI.
Kusisitiza peke...
Nadhani mmeona kilichotokea tarehe 29 mpaka tarehe 3 Sasa nimeona watu wanasema eti tarehe 9 wanaenda kuchukua nchi yao my friend tanzania jeshi lipo na mtawala polisi wapo na matawala usalama wa taifa wako na mtawala.
Hawa wote wanapenda wananchi wanavyouliwa na wao pia wanashiriki Kwa...
Asalaam Aleykhum Warahmatullah
Ndugu zangu naomba kuuliza,
Hivi katika nchi inayojulikana kuwa ya Kidemokrasia na kitovu cha Amani, yaani TANZANIA, Je hakuna haki ya Wananchi wake kuandamana hata kama wana hoja za msingi za kuaddress?
Nimeuliza hilo swali kwasababu kuna baadhi ya Watu...
Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote.
Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
Idara mbalimbali za polisi Marekani zimepongeza na kuridhika na jinsi ,aandamano makubwa yaliyopewa jina la Hakuna Mfalme Marekani mahususi kupinga ukiukwaji wa katiba unaofanywa na rais nchi hiyo Trump yalivyofanyika kwa amani bila vurugu au ukamataji wowote. Polisi wamewasifu waandamanaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.