maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  2. Vijana hasa wa Kizanzibar na DSM, sikieni, Haya maneno eti "KWANZA UMENIKUTA MJINI" hayana maana yoyote ikiwa bado wewe hoehae wajitafuta

    Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣 Mfano...
  3. Wakuu nini maana ya hii kitu kwenye DSE

    Naomba tafsiri ya hiyo picha. Kwene DSE Lini unaweza toa hela?? Je kama hisa zinashuka unaweza ziuza ili usipate hasara?? Ukiuza hisa ulizo hold inachukua muda gan kupata hela yako?? Je kuna ufanano kati ya liquid acc ya utt na Hisa za DsE kwene mfumo wa kutoa hela? Maana utt siku tatu za kazi...
  4. Mnakuwa na maana gani mnaposema tusioe wanawake tunaowapenda

    Salaam. Bila kuwachosha Moja kati ya kauli ambazo Huwa nashindwa kuelewa ni pale naposikia mtu anasema kwamba usioe mwanamke unaempenda Maybe Kuna hoja ya msingi nyuma yake Swali linakuja nawezaje kuishi na mwanamke Ambae simpendi Wala kuwa na hisia nae Huwa mnalenga Nini mnaposema hivyo...
  5. Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

    Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
  6. Hivi telegram bado imefungwa wazee maana ninaugwadu

    Naombeni kujua wakuu telegram bado imefungwa na upwiru kinyama nataka demu wa kusuuza rungu
  7. K

    Magufuli hakuwa rafiki mzuri ndiyo maana familia wapweke

    Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa. mifano miwili 1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye...
  8. Contents Creators kuombewa 2B ni akili Matope ina maana Tanzania haina vipaumbele?

    GT Hakuna asiyejua contents creator wengi wa Tanzania ni propaganda machines za CCM . Hivi wanaombewa 2B kwa lipi kwanza. Hivi hili taifa halina vipaumbele hadi tunaenda kwenye biashara za watu binafsi watz wanteseka sana kwa kukosa huduma muhimu sana kama maji na huduma za afya. Kwa nini...
  9. C

    Maisha unabidi uyape maana maana hayana maana

    Habari wanaJF?, Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha . Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto. Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa maana ya maisha kabisa. Ni sababu zipi ambayo zinakufanya mpaka saivi haujajiua? (Nikawa na maana kifo...
  10. Makonda kuteuliwa kuwa waziri wa habari maana yake ni moja tu

    Uhuru wa habari utazidi kuminywa.. Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi.. Maana ya kumteua ni moja tu.. Kumaliza yale yote yaliyobaki... Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully Sykes akajifunze.. Kwa hiyo tutegemee sana wimbo wa mama this ... Mama that.. Uzuri ni kwamba hata...
  11. R

    Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

    1. Amevamia Venezuela 2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration 3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu 4. Anawaza kuivamia Columbia 5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc 6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa...
  12. Unavyopenda sifa za show off ili Ommy tutauliza marekani huko maana sio wageni.

    Marekani sio mbinguni.wana JF tunaomba kujua mke wake.
  13. T

    Nani alyeumba linunda la Frankenstein'?

    Kisa kwa ufupi: Viktor Frankenstein, mwanasayansi kijana hodari, anashikwa na jazba kuu ya kutaka kugundua siri ya uhai. Hatimaye anafanikiwa kuunda linunda hai kutokana na viungo vya binadamu alivyovikusanya. Lakini ghafla anashikwa na woga na kutishika kwa linunda lile na anaamua...
  14. Ukweli ni kuwa dini zina-limit watu kutumia common sense na kwa maana hiyo wanaunganisha kuhoji sana na kufuru

    I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu. Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee. Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
  15. Kwa gharama hizi ndio maana majengo Kenya yanaporomoka

    Hebu angalia hapo chini gharama ya ujenzi Kenya ukilinganisha na jengo bei haiendani kabisa. Huyu ni injinia wa majengo lakini bei yake rahisi sana. Ghorofa hili eti anakujengea hadi finishing shilingi za Kenya million 70- 75 ukibadilisha kwa madafu 1.34 billions kweli inawezekana bongo...
  16. Maridhiano yatakuwa na maana ikiwa........!

    1. Mdude nyagali chadema atarudishwa Kwa mke wake au mahakamani. 2. Waliompiga risasi TUNDU LISSU mwaka 2017 watakamatwa na kuwekwa hadharani. 3. Waliomteka Mzee Ally Mohamed KIBAO watakamatwa na tuambiwe ni wakina nani. 4. Yule kijana aliyechora picha ya mwanamke kule mbeya halafu akapotezwa...
  17. Ukikaribia mwisho wa maisha, utagundua vitu vyote ulivokuwa unapigania havina maana. Familia na afya ndo vyenye maaana zaidi

    Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi: https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/ ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
  18. R

    Hakuwezi kufanya mageuzi ya polisi maana ukatili wao polisi ndio unaowawekaCCM na watu wao madarakani

    Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms? BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu! Time will tell!
  19. TISS ilitakiwa kuwa usajili wa wazi ili kuondoa haya mambo yenu maana weledi hakuna

    Yale mambo sijui nyerere aliweza kufanya kwa kificho kuweka usalama wa taifa anaotaka kwa sasa yamepitwa na wakati ndio matekeo ya leo yani hata magaidi yalivyoingia mkuranga wao walikuwa wapo wapo tu. Kinacho waogopesha ni nini hii idara ikawa wazi kila mwenye taalamu anaweza kujiunga na nyie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…