lugha

  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadilisha lugha ya kompyuta iwe Kiswahili

    Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya. Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa Windows hutumia faili aina ya LIP (language interface pack) kuwezesha lugha zisizo Kimombo kuonyeshwa...
  2. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

    Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa lugha yetu ya kisintaksia kule Bangladeshi

    Kwa lugha hii ambayo inatumia symbols na herufi Kubwa na ndogo kwa pamoja za kibangladeshi lakini matamishi yakisikika sawa na ya lugha za kibantu na majina yakifanana sana.mfano: 1: JEbhh Sgsg Kafg Afgbb= kiongozi wa vilaza katika jamii hiyo. 2: Usfv Kmjhv Ahfhh Wsgh Ajvgj= ni kufikwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…