Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemueleza Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi jitihada alizozifanya za kukutana na Wakandarasi, Wahandisi Washauri, Mameneja wa Mikoa na Wilaya wa TARURA, Wakurugenzi wa...
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa zinazosambazwa zikidai kuwa Halmashauri haijakamilisha utoaji wa mikopo ya 10% kwa vikundi vilivyokidhi vigezo si sahihi kwa ujumla wake.
Hoja ya Mdau ~ Tumeidhinishwa kupokea mkopo wa vikundi katika Halmashauri ya Lindi...
Mabinti ni kama wanaandaliwa kuwa vitendea kazi vya starehe.
Karibia Kila binti kazalia nyumbani
Karibia Kila binti hafiki hata form 2
Ndoto ya kila binti ni kuchezewa ngoma tena ngoma nyingine za kumfundisha utupu na ufuska
Utupu na Ngono ndio motisha ya mabinti hawa
Binti akionesha nia ya...
Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums.
Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili.
Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
Anonymous
Thread
dhuluma
hospital
hospitali
hospitali ya wilaya
idara
jamiiforum
kilwa
kinyonga
lindi
majukumu
manyanyaso
mkoa
sauti
watumishi
wilaya
wilaya ya kilwa
KILIMANJARO
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Ardhi, Nyunba na Maendeleo ya Makazi (Ardhi Fc) imeanza vyema Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ras Lindi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi...
Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wizara ya ardhi Bw, Abisai Coy (kulia mbele), akifuatiwa na Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Martin (katikati mbele), na Bw. Pastori Masua Mkurugezi Msaidizi Msajili wa hati (kushoto mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wataalamu kutoka...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
LINDI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendela na mafunzo ya siku nane ya mfumo mpya wa kidijiti wa e-Ardhi mkoani Lindi huku mfumo huo ukielezwa kusaidia watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa huo kutoa huduma kwa haraka pamoja na kupunguza urasimu kwa wananchi.
Akizungumza...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya Mkuu wa Shule ya Msingi Mkwajuni, Kata ya Kitomanga, Manispaa ya Lindi, ikiwa ni utekelezaji wa...
Mahakama va Hakimu Mkazi Lindi imemhukumu Alli Hamsi Mbelenje (30), mkazi wa Kijiji cha Makonde, Kata ya Mtama, Wilaya ya Lindi, kifungo cha maisha Gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wa kiume, Mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka nane
Hukumu hiyo...
Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo:
1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini.
2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi.
3. Mazingira ya eneo la kulia chakula ni mabovu na chakula hakina ubora wa kutosha na hawana wataalamu wa upishi wala bwana...
Compressed Natural Gas (CNG) Operations Engineer / Station Manager Job Vacancy at Lindi Graphite Technology Ltd
Location: Lindi Region, Tanzania
Employment Type: Full-Time
Hands-on experience in:
Compressed Natural Gas (CNG) compressors and high-pressure gas systems.
Compressed Natural Gas...
Baada ya hoja ya Mdau , kuandika Vyama vya USHIRIKA vinavyonunua mazao Lindi hasa Kilwa wafanyakazi wake wanazungusha malipo ya Wakulima ufafanuzi umetolewa na mamlaka zinazohusika:
Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu Cha Ushirika Lindi Mwambao Ltd anapenda kuwataarifu Wakuliwa na wadau wote...
Kumekuwa na changamoto ya maji kutotoka katika manispaa ya mji wa Lindi katika maeneo mengi haswa Lindi Mjini, Ng'apa, Mchinga, Mitwero. Na ni zaidi ya wiki moja sasa bila maeneo haya kupata maji. Maeneo haya ni maeneo muhimu kama sehemu za mjini kati, lakini pia yana sehemu muhimu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.