Kipindi hiki cha likizo ya kimasomo kwa miezi miwili kwa watoto wetu, wazazi na walezi tuongeze umakini katika usalama wa watoto wa kike na wa kiume. Tusidhani kila ndugu, mjomba, shangazi, dada au kaka wa kazi ana nia njema kwa watoto wetu. Baadhi ya vitendo vya ukatili wa kingono dhidi ya...
Mwanangu anasoma shule inayotumia mtaala wa Cambridge. Wanaendelea kusoma hadi Desemba 04.
Je, Elnino ikileta mafuriko, shule hizi hazitopata athari pamoja kwa wanafunzi wake?
Wizara ya Elimu tunaomba ufafanuzi wa waraka unaoagiza shule kufungwa 13 Nove unahusu shule zipi?
Imekuwa jambo la kawaida kusikia malalamiko kutoka kwa watumishi wa halmashauri hiyo kuhusu kuhamishwa vituo vya kazi mara mbili au hata tatu bila kulipwa stahiki zao za kisheria zinazotokana na uhamisho huo. Hali hii inazua maswali kuhusu usimamizi na uwajibikaji wa viongozi wa halmashauri...
Anonymous
Thread
fedha
halmashauri
likizo
madai
masasi
msingi
sana
uhamisho
wake
watumishi
Wazazi na walezi wenzangu,
Watoto wetu wa shule za msingi na sekondari wamefunga shule na sasa wanaingia katika likizo ya siku 59.
Ni ndefu mno.
Mara nyingi tunapofikiria likizo, jambo la kwanza ni kuhakikisha watoto wanasoma, wanafanya tuition na kujiandaa kwa muhula unaofuata. Hayo yana...
Wana jukwaa , hawa "Ninja" wapo likizo na sasa naona ni wakati wa sisi wazazi kuwakumbuka walimu na kuombea likizo iishe haraka! Imagine, sisi tunakaa na watoto wetu nyumbani kwa siku chache tu tunaanza kuchoka, walimu wao wanakaa nao karibu kila siku! Sasa naanza kuelewa kwa nini walimu...
ELITE HOME TUITION tumefungua rasmi usajili wa huduma za HOME TUITION kwa likizo hii!
Mzazi, huu ndio wakati sahihi wa kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako. Badala ya kutumia likizo yote kucheza na kutazama televisheni, mpe nafasi ya kujifunza, kukuza vipaji, kuongeza uwezo na kujiandaa kwa...
Waziri wa Elimu alitoa maelekezo kwa shule za Serikali na binafsi kuhusu wanafunzi kupata muda wa kupumzika wakati wa likizo. Hata hivyo, tunashangazwa na baadhi ya shule binafsi zinazoanzisha programu za wanafunzi kuhudhuria masomo wakati wa likizo.
Miongoni mwa shule hizo ni St. Matthew...
Wakuu, je, ni halali wanafunzi wa Darasa la Sita na la Saba kulazimishwa kwenda shule wakati wa likizo, licha ya Serikali kuwa imetangaza mapumziko, hususan kutokana na tahadhari ya mvua za El Niño?
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba, ili kuficha utaratibu huo, wanafunzi wanaambiwa waende shuleni...
Anonymous
Thread
darasa
kuanza
kulazimishwa
likizo
masomo
mbeya
mkapa
saa
saba
shule ya msingi
wanafunzi
Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu.
Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana...
Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani kipindi cha masomo au likizo? 🏡✍️
ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa kwa ajili ya:
✅ Watoto wa Nursery, Primary na Secondary.
✅ Wanafunzi wa International Schools.
✅ Mitaala ya Cambridge, IB, Kenyan, Indian na...
Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata.
✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto.
📖 TUNAFUNDISHA:
🔹 Watoto wa...
Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata.
✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto.
📖 TUNAFUNDISHA:
🔹 Watoto wa...
Kutokana na matukio ya visa vya mauaji kushamiri mwezi huu wa OCTOBER naomba muswada wa dharura upelekwe bungeni kuliokoa taifa na mauaji ya walimbwende.Mwezi october nchi nzima watu wote waachane na shughuli za mapenzi kwa siku 30 mpaka november 1.
Hii itasaidia kupunguza mikwamo ya kihisia na...
Safari ya starehe katika pwani ya Mombasa imegeuka msiba baada ya Ken Barasa Okomol na dada yake Cynthia Barasa kufariki wakati boti waliyokuwa wakisafiria ilipopinduka baharini.
Ken, 38, aliripotiwa kuwa mwaniaji wa kiti cha MCA Malaba South, Busia, huku Cynthia akiwa na miaka 33. Wawili hao...
Kumekuwepo na kautaratibu ka kubakiza wanafunzi shuleni nyakati za likizo hasa april,june na septemba kwa madarasa ya mitihani mfano darasa la nne,saba,kidato cha pili ,nne na sita .Naomba kujua imeruhusiwa kisheria kama ndiyo mbona hatuoni barua inaelekeza hilo ? Majibu tafadhari
Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo.
Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe wanakatiza, wanatoka jasho hapo wanaenda kuoga na baada ya nusu saa tena wanapita kwa staili hiyo...
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi stahiki zao za likizo kwa kisingizio kwamba watumishi wanaoenda likizo ni wengi, si ya kweli na...
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba baada ya miezi 6.
Tulipata ajira Mwaka 2023 na wengine 2024 lakini hadi leo Julai 2026 ahadi hiyo...
Anonymous
Thread
bima
hatuna
kiwanda
likizo
mikataba
mkubwa
saruji
tanga
uchungu
wafanyakazi
"Nikapanda kwa juu, akanishikia mchi wake, nikaukalia taratibu ukateleza kwenye kinu na yeye akahamisha mikono, akapeleka kwenye makebo, akawa anayashika shika huku anayaachanisha ili mchi uzame vizuri kwenye kinu.............. "
Kabla sijaanza kuwasimulia hili tukio la jana:
vipi ushawahi...