Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.
Kifurushi kinalipiwa 28,000 kwa mwezi kwa ajili ya match mbili tu? Hapo bongo sijui wanawaza nini au mamlaka sinafanya kazi gani zipo zipo tu zinawaza upigaji, ligi mara ya mwisho imechezwa tarehe 2 Simba na Namungo, ila calendar ya fifa inaanza kesho tarehe 09/10 takribani siku 10 hakuna...
Soka si dakika 90 pekee uwanjani. Ni mijadala isiyoisha hata baada ya filimbi ya mwisho, jezi zinazovaliwa kwa fahari, mitaa yenye mashabiki wanaoshikilia timu zao kwa dhati na urafiki unaodumu licha ya ushindani mkali wa timu pinzani. Hivyo, Kombe la Ligi Kuu ya England lilipotua Tanzania...
Where the season gets debated, thread by thread.
In short: Ask around the community and the pattern is clear: the fans who enjoy the EPL and Ligi Kuu season most are the ones who separate the talk from the facts. Hot takes are fun, but they are not information. If you bet, treat it as a small...
Habari wana Jf.
Nimeisikia taarifa ya bodi ya ligi kuhusiana na mpango wake wa kuweka Gas detector katika mechi ya watani wa jani siku chache zijazo. Nawapongeza kwa hilo.
Wito wangu kwao ni kuweka kitengo kitakachoshughulikia masuala ya doping test ili kupima matumizi ya madawa yaliyopigwa...
Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limeahirisha tena kuanza kwa msimu wa 2026/27 wa FKF Premier League, ambao ulikuwa uanze leo Jumamosi, Septemba 19, 2026.
FKF iliwasilisha taarifa kwa wenyeviti na maafisa wakuu wa vilabu Ijumaa usiku, ikisema ligi imesitishwa hadi taarifa zaidi itakapotolewa...
Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs.
TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi.
Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini.
Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu.
Hata hivyo bado...
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya tukio kubwa la kimasoko baada ya kumtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, Fabrizio Romano, kutambulisha jezi zao mpya zitakazotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2026/2027.
Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa.
Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up.
Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo;
1.UTI...
Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya Ligi Kuu. Jaabar ametozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) na adhabu ya kadi nyekundu...
Habari JF ,Ligi kuu Uingereza na JamiiForums fantasy premier league zimerudi , jiunge sasa kupitia Code wemf7z
au autojoin kupitia
https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/wemf7z
Ligi hii ni just for fun lakini pia itakujengea ushindani mkubwa kuweza kushindana hata katika ligi...
Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?
Bingwa - YANGA / SIMBA SC.
Timu zitakazo shuka Daraja
1. MBEYA CITY FC
2. FOUNTAIN GATE FC
MSIMAMO KAMILI
1. Simba sc point 80
2. Yanga sc point 80
3. Azam FC point 68
4. Singida black stars point 63
5. TRA united point 48
6. JKT Tanzania point 47
7. coastal union point 43
8. Mashujaa point...
Inakera sana makosa ya kibinadamu yakitumika kudhoofisha jitihada za timu, makocha na wachezaji kuwekeza kwenye ushindi wa timu kiwanjani.
Football Video Support (FVS) kwenye ligi ya NBC mpaka sasa imeleta utulivu wa hali ya juu. Kelele juu ya waamuzi mpaka sasa hazijasikika au ziko kwenye...
Habari zenu wana Jamii forums!!
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za matangazo (TV Rights) kutoka Azam TV na wadhamini wengine, jambo linalofanya ligi yetu kuvutia...
Wada wa michezo na wapenzi wa mpira wa miguu kwa nchi yetu leo ndio tunaanza kuhesabu magoli na ponti kwenye timu zetu.
Leo dimba la Ligi kuu limeshafunguliwa kwa Pamba Jiji na Dodoma, Vipi timu yako unaona inahitaji nini ili muweze kubeba kombe la ligi kuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.