leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Tunashindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya madini. Madini Portal ni mfumo muhimu unaotumika kutoa na kufuatilia huduma mbalimbali zinazohusiana...
  2. Zack Abdul

    Serikali imetoa leseni zaidi ya 30 kwa wachimbaji wadogo 400 huko Kwimba,Mwanza

    Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji salama, utunzaji wa mazingira na uchenjuaji, huku maeneo 99 ya vitalu yakitengwa rasmi kwa ajili ya...
  3. A

    KERO Nimesoma Chuo cha Udereva Meru, kwanini sasa natakiwa kusoma tena nikiomba leseni?

    Chuo cha Meru Driving, Arusha, kinanirudisha kila ninapofuatilia suala hili. Wanasema mimi ndiye mwenye makosa, wakati nilitakiwa kutumia cheti hicho muda wowote. Ninalazimishwa kutoa pesa kwa askari ili niweze kupewa leseni. Naomba kuuliza, nilisoma, nikafanya mtihani na nikapewa cheti; kwa...
  4. A

    HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

    Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo? Kwa kuwa tukio la...
  5. R

    Dereva alalamika Askari wa barabarani kuwakatia Point kwenye leseni

    Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo inawanyima fursa ya kuendelea kufanya kazi na kuhudumia familia zao pale pointi hizo zinapomalizika, huku...
  6. A

    HOJA Mfumo wa Pointi Leseni: Usawa Wapi?

    Habari za wakati huu wadau, Mimi ni dereva binafsi sipingani na mpango wa suala la ukataji wa pointi katika leseni za udereva, lakini suala hili limekuwa na lengo la kukandamiza upande mmoja tu. Suala la dereva kupewa piont 15 kwa muda wa miaka 5 sio sawa, labda ingewekwa kila mwaka dereva...
  7. Jannatul Firdaus

    SI KWELI Dereva aliekuwa akiendesha gari huku akichati , kufutiwa leseni asiendeshe chombo chochote maisha

    Je ni kweli dereva huyu aliyekuwa anachati amefutiwa leseni yake ya udereva.
  8. A

    KERO Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo, Wilaya ya Ilala kinachukua muda kushughulikia leseni

    Kero yangu ni Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo (SME), Wilaya ya Ilala. Kimekuwa kikichukua muda mrefu sana kushughulikia maombi ya leseni. Unaweza kukuta umeomba leseni kupitia mfumo wa TAUSI, halafu inapita hata miezi minne bila kupata leseni. Ukienda kufuatilia, watumishi wao...
  9. Secret Star

    Nina shida na mtaalamu wa leseni za Tanzania Gaming Board

    Hello wakuu natafuta mtu yoyote amba ana ujuzi wa leseni za Tanzania Gaming Board Jinsi zinavyofanya kazi, nimeshatuma propasal ya suala langu TGB nimeambiwa inaweza kuchukua wiki tatu hadi mwezi so wakati inafanyiwa kazi nataka nikutane na mtu mwenye uzoefu anipe elimu zaidi, nitashukuru sana...
  10. Jaji Mfawidhi

    Madereva Dar kufungiwa Leseni!

    Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati. 1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote. 2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa...
  11. Marco Polo

    Jinsi ya kupata leseni ya makazi

    Wakuu habar ? Naishi Dar es salaam naomba mwenye kujua jinsi ya kupata leseni ya makazi na gharama zake Kwa ujumla.
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wakili Johnson Johannes Kachenje asimamishwa kazi baada ya kuwasilisha hukumu zilizotengenezwa kwa AM (Akili Mnemba) AI, Mahakama Kuu, Dodoma.

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imemsimamisha kazi ya uwakili kwa miezi sita Wakili Johnson Johannes Kachenje, baada ya kubainika kuipotosha Mahakama kwa kuwasilisha hukumu za uongo zilizotengenezwa na mfumo wa Akili Mbandikiza (Artificial Intelligence - AI). Hukumu hiyo imetolewa...
  13. peno hasegawa

    RMO Chunya na Songwe: Tekelezeni agizo la Serikali — Leseni zisizofanyiwa kazi zifutwe, Zikiwemo Shanta Mining na Wamala Resources Ltd

    RMO Chunya na Songwe, tunawaomba mchukue hatua za haraka na za kisheria dhidi ya leseni za utafiti wa madini ambazo zimepitwa na muda au hazifanyiwi kazi, badala ya kuendelea kuacha maeneo makubwa ya madini yakiwa yamefungwa kwa miaka mingi. Kuna taarifa zinazoonyesha kuwepo kwa leseni...
  14. Burn the bridge _Tz

    Inakuwaje NIT wanatoa Course ya HGV kwa mtu ambaye tayari ana leseni Class E??

    Binafsi ninafahamu ili upate leseni daraja E lazima uwe umesoma course ya HGV Sasa inakuwaje N.I.T ili usome HGV wanataka uwe na leseni class D Naona kama ni funny inakuwaje mtu uwe leseni husika alafu uende tena chuo ukasome wakati una cheti na leseni Class D? Naomba muongozo!!
  15. A

    KERO Wahitimu wa udereva kutoka Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Ikwiriri tunapata tabu kupata leseni TRA

    Sisi ni wahitimu wa mafunzo ya udereva kutoka Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Ikwiriri, kilichopo Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Tunahitimu mafunzo mwezi Aprili 2026 na kufaulu vizuri. Tayari tumepatiwa vyeti vya kuhitimu, lakini tunapokwenda TRA kwa ajili ya kupata leseni za udereva...
  16. A

    DOKEZO Leseni za Udereva ziwe na ukomo wa umri, kuna wazee wanapata changamoto barabarani

    Nina wasiwasi kuhusu mfumo wa utoaji wa leseni za udereva, ambao unaonekana kutokuwa na ukomo wa umri wa mtu kuendelea kuendesha gari. Kuna baadhi ya wazee ambao umri wao umeenda sana, pamoja na watu wenye changamoto za kiafya au ulemavu, lakini bado wanapewa au kuendelea kutumia leseni za...
  17. Tajiri Tanzanite

    Watu wapimwe IQ kisha wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.

    Hapo VIP! Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa. Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake mwenyewe Na katika jamii. Nimechunguza Na kutafiti siasa katika nchi yetu Na Kwa Afrika kwa jumla ila...
  18. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Tunalaani Kusitishwa kwa Leseni ya Gazeti La Mwanahalisi, Hatua Hiyo Isitishwe Mara Moja

    ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
  19. Troll JF

    Leseni ya Gazeti la Mwanahalisi yasitishwa kwa miezi 6

    Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo ni kuwa Gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa miezi 6.
  20. Ustadh tongwe

    KERO Halmashauri ya Jiji la Dar tatizo nini? Wiki ya pili sijapata control namba kulipia leseni halafu mnapita mtaani kukagua leseni

    Tunaomba viongozi mnaohusika akiwepo mkuu wa biashara mtusaidie please. Serikali inategemea tulipe hizo leseni za biashara ili maendeleo yapatikane. Sasa mtu anakaa na maombi wiki mbili hayajapitiwa hata na afisa mmoja na ukienda ofisini unawakuta wapo. Wakati huohuo maafisa wenu wanapita...
Back
Top Bottom