lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Binti; Sio lazima mama mkwe akupende

    BINTI; SIO LAZIMA MAMA MKWE AKUPENDE. anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nampeleka Mchumba wangu nyumbani kwa mara ya kwanza. Tukiwa Dodoma nilimwona akiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Alikuwa ni binti mdogo, ndio kwanza chuo mwaka wa pili, hukuwahi kupelekwa ukweni. Nimdodosa...
  2. Rais William Ruto: Hata Mkininyima Kura Malaika Wataniongezea, lazima nitashinda Urais

    Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha. Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya...
  3. Kazi ya ualimu ukiiacha mizimu ya kwenye lazima ikushukuru

    Nimeona mwalimu kafungwa maisha Kwa kosa la kuchapa mwanafunzi, huwezi kumsikia mkurugenzi, afsa elimu au mtu yoyote anaehusiana na mwalimu kufika mahabusu kumsalimia au kumtia moyo ukizingatia hiyo mwalimu alikuwa anafanya kazi ya mkurugenzi. Siku zote nawashauri walimu nenda shule kazuge...
  4. Mangungu lazima abaki Simba sports Club

    Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
  5. Safari hii Iran lazima anyooshe maelezo kwa Trump!!

    Iran safari hii lazima watatema ndoano!!!
  6. L

    Hakuna Sehemu Yoyote Ile Duniani Ambako Dola Inachezewa Na Kuyumbishwa na Mtu Akachekewa tu. Ni Lazima Upitishwe Kwenye Tanuri la Moto Hadi Uive Akili

    Ndugu zangu Watanzania, Nenda Sehemu yoyote ile Ya Dunia hii,Nenda kila pembe ya Dunia, nenda Ulaya ,nenda Marekani,nenda Afrika ,nenda kwenye Tawala za kifalme au Kichifu Hakuna ambako utakuta Dola ikichezewa na mtu Akachekewa tu na kuachwa aendelee kuyumbisha Dola na Usalama wa Taifa. Hata...
  7. M

    Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  8. Pumzika kwa Amani Mwalimu Nisetas Dimoso wahusika lazima wachukuliwe hatua!

    Nimeguswa sana na kifo cha kikatilli cha mwalimu huyu ambaye alipigania "standards" kuhakikisha kuwa eneo la shule ni eneo kama yalivyo maeneo mengine yanayotambulika kama "smart area" Mwalimu huyu amedhulumiwa uhai wake na wanaojidai kuwa ni wafugaji wenye fedha na wasioguswa au kuheshimu...
  9. Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
  10. Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
  11. Y

    Ningejua mapema ningeoa

    Habari Wana JF Kwa maisha ya sasahivi ya vijana wakiume na utandawazi uliopo yanaelekea hatarini Nakumbuka kipindi nakuaa nilipoanza form 3 katika kupigapiga story darasani ziliingia story za mahusiano ambazo zilianzishwa na kijana mmoja. Inshort katika story hizo mada iliyobadilisha maisha...
  12. D

    Anadhalilisha “wasomi” wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

    Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
  13. Ukienda nje ya hapa lazima BAN ikuhusu tu

    Tujaribu kuishi humu. Free Seran Free secretarybird Free adriz de mbusii Free ......
  14. Argentina ni lazima ashinde kombe la dunia, hizi hapa facts za ajabu

    Hizi Ndizo "Facts" 12 za Ajabu Zinazowashangaza Wengi Kabla ya Fainali ya Kombe la Dunia 2026 zikionyesha kwamba argentina atakuwa bingwa mwaka huu Facts hiz ni mfululizo wa coincidences, historia na ulinganifu wa namba (numerology) ambao umevutia mjadala mkubwa miongoni mwa wapenzi wa soka...
  15. Askofu Nkwande: Lazima Tubadilike, Tuwe Wakweli Na Tuishi Haki

    https://www.instagram.com/reel/Da0YWM7ilrx/?igsh=bDU3OGppamRkZWpv
  16. Ni lazima kuna muunganiko kati ya maofisa wa kampuni na matapeli!...

    Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa...
  17. Kwenye hii Dunia usipojua unachokitaka lazima uwe malaya

    Hii Dunia ukiwa haujui unachokitaka hata kwenye mahusiano utahamahama sana lazima uwe malaya , maana wanaume matajiri hawaishi yupo tu atakayemzidi uliyenaye , wanawake wazuri hawaishi yupo mzuri kuliko uliyenaye.
  18. Je ni lazima kumsamehe mzazi aliyekutelekeza?

    JE NI LAZIMA KUMSAMEHE MZAZI ALIYEKUTELEKEZA? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Jibu la moja kwa moja kwa wale wasiopenda Maelezo marefu. Jibu sio Lazima Kumsamehe mzazi au mtu yeyote aliyekukosea. Msamaha sio lazima. Msamaha ni moja ya vipengele muhimu katika UPENDO. Upendo ni hiyari...
  19. Mbeya ni jiji linalokua kwa kasi, lakini ukuaji huo lazima uende sambamba na mipango mizuri ya mji

    Eneo la Kabwe ni mfano halisi wa changamoto zinazohitaji maamuzi ya uongozi. Wafanyabiashara wadogo wanahitaji kupangwa katika maeneo yanayofaa ili waendelee kutafuta riziki bila kuziba njia za watembea kwa miguu na kuathiri mtiririko wa magari. Ni kweli kwamba uamuzi wa kuachia stendi ya...
  20. Ili uenjoy maisha lazima uwe una uchizi kidogo kichwani mwako

    Kwema Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes inajitokeza unaitumia Wengi hii asilimia ya uchizi Wana iamsha na pombe, bangi .. vilevi tofauti tofauti ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…