Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
Angalieni jinsi kesi ya Lissu imefichwa kwenye mtandao bila kuandika jina lake - kesi imeandikwa maherufi tu
Nimepiga screenshot muone kesi zingine zinavyowekwa
tanzlii.org/en/judgments/a… - ingieni hapa
Huu usanii mtupu @judiciar
Somo la uraia lifutwe,na somo la sati za kazi ifutwe kwa shule za msingi kisha watoto wasome sheria kuanzia angalau darasa la 5.
Sekondari pia Uraia liondolewe ,SHERIA NA SAIKOLOJIA yawe masomo ya lazima kusoma.
Jamaa ina rundo la watu wasiojua haki zao za msingi na hawajui ni kwa nmna gani...
Niliwahi Mimi binafsi kuandika humu Jamiiforums, Ni ajabu sana Kuona watu waliofeli na wajinga wàjinga wasiokua na akili na wenye ELIMU za kuunga unga ovyoo, akina Samia, Mafwele, na magenge yao KUMSUMBUA LISSU.
Lissu ni Mtu mwenye Akili isokua kawaida, huyu alishushiwa hili kipawa cha Akili...
Humu jukwani si pahala pa vita ni leta hoja ujibiwe kwa hoja bila kuchopeka matusi.
Tunashambuliwa sana na matusi kutoka kwa wafuasi wa chadema hasa tukisema chadema kwa sasa haina mwenyekiti chagueni mwingine kwani ni uongo?
Niwaombe tuache matusi tujikite kwenye kujenga hoja.
Jinsi ya Kuwa "Mtaalamu wa Palestina" Rudia "mauaji ya kimbari," "ubaguzi wa rangi," na "Mauaji ya kikabila" kila siku, katika kila mazungumzo, bila kujali mada. Huna haja hata ya kujua jinsi ya kupata "Palestina" kwenye ramani. Huna haja ya kuwa umewahi kukutana na "Mpalestina" au kuzungumza na...
Nina maneno matatu tu kwa Lema, kwa yote yaliyotokea; amekuwa naive, presumptuous na insubordinate
Nimeshindwa kupata maneno ya Kiswahili ya kum-define Lema kwa yale aliyofanya, lakini kwa wale wanaojua lugha ya malkia Lema amekuwa naive, presumptuous na insubordinate.
Labda neno la Kiswahili...
Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025.
Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya .
Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto.
https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
Ukikusanya maujinga ujinga yote yaliopo ndani ya serikali hii ya huyu mama kwa sasa ukajumlisha na ujinga wa hawa wakina makonda na machawa wenzao wanao pita pita huko kujisafisha kwa wananchi wajinga wenye uelewa mdogo, ilikuwa ngumu sana kwa mtu smart kama Dr.Nchimbi kuendelea kufanya kazi...
Moja kwa moja..
Mimi toka nimerudi kwenye meditation nimechagua kuishi maisha ya amani , sitaki ugomvi hata mtu akinichokoza na kunitukana nampuuza na namjibu kwa staha .
Leo nashangaa kwenye Uzi wangu ghalfa bin vu ametokea member anayejulikana kama Busu la Kenge na kunitishia maisha eti...
Habari Wakuu,
Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.
Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo...
Habari Wakuu,
Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.
Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo...
Nikiwaza hili ni jambo nitakalokuwa nafanya kila siku asubuhi hadi jioni kipindi chote cha maisha yangu kama chanzo changu cha kipato na utambulisho wangu , inachosha!, uhuru kidogo, naona kama niko boxed kwenye maisha.
Inanilazimu kutafuta namna ya kuipenda hii taaluma ili niwe na moyo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.