lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ushauri: Waandamaji fungeni barabara ili magari ya Polisi yasipite. Itapunguza mashambulizi

    Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari Barabara zifungwe hakuna kuruhusu gari kupita ili kufanikisha maandamano ambayo hayatatoa uhai zaidi wa watu...
  2. Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake. Kama mtu anafikiri sisi tunaomba, ngoja muone. Moto utawaka

    Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake kama mtu anafikiri sisi tunaomba ngoja muone moto utawaka Tunataka nchi yetu tutakinukisha
  3. Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  4. Machawa wote waliodharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane

    Machawa wote walio dharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane wachunge sana hatutaki uchawa wao
  5. K

    Ili Tanzania ipone, ni Lazima CCM ife

    Hii kazi inayo endelea ya kuikomboa Tanzania kutoka katika mikono ya waovu; Samia na Genge lake ni muhimu; lakini haitatosha kuleta mabadiliko chanya endapo CCM kama chama itaendelea kuwepo. Kutokana na muundo wake na mfumo wa uendeshaji wa shughuli zake CCM daima itaendelea kuwa ni adui mkubwa...
  6. Ili Watuheshimu tena ni lazima tufanye jambo ambalo hawategemi kuwa tutalifanya

    Tulipofika Watanzania, CCM wameshajiona kuwa wao ni alpha na omega. Baada ya kuzinajisi taasisi zote na baada ya kunajisi mifumo yote wamejiona kuwa wao ni miungu. Hakuna chochote wanachowezwa kufanywa na yeyote yule. Ili kutoka hapo ni lazima Wananchi tuwaoneshe kuwa Nchi hii ni ya Wananchi...
  7. 4

    Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  8. Magaidi wa Hama lazima wasalimishe silaha zao ama sivyo tutawalazimisha-Donald Trump

    Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza na kuwaachia mateka wote walio hai kinachofuatia sasa ni kusalimisha silaha zao kwa Amani wakikataa tutawapokonya kwa nguvu-Donald Trump "Mytake" Huo ndiyo mwisho wa Hamas!!! Wanajuta kwa nini Oct 07,203 walivamia Israel!!
  9. Mwislamu anaamini ili uelewe maandiko ya Mtume S.W.A lazima ukariri alichokosema kwa kiarabu

    Kilekile alichokisema mtume Mohamed ukikisema kwa kipare hawakuamuni. Utasikia wamaata shaaula alaknau waakadari....tuutenmuuka mantashariii.
  10. Wasusi na vinyozi lazima kusajiliwa BASATA

    Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) katika jitihada za kutambua na kurasmisha kundi la vijana na mabinti wasusi na vinyozi limewataka kusajali rasmi na kutambuliwa BASATA wanasema laZima ziwe kazi rasimi na walipe Kodi Kwa Serikali Kwa kutumia vipaji na sanaa zao za kusuka na kunyoa watu, laZima...
  11. Kosa uwe na kauwezo kidogo alafu umpite mbongo wa hali ya chini bila kumsalimia, aisee lazima utungiwe diss track na mtaa mzima watasikiliza

    🗣️"JAMAA ANAJIKUUUTA MWAMBA, WAKATI TUMEMUONA HAPA TANGU ANATAABIKA TUNASHINDIA NAE VISHETI KIJIWENI"
  12. Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

  13. Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hapo vip! Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende. Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
  14. Lazima Kutakuwa na Wafanyakazi wa TCRA Wanaoendelea Kutumia JamiiForums kwa VPN

    Watu wa namna hiyo wanaitwa WANAFIKI, ni watu wabaya sana. Wewe si umezima, sasa unafuata nini huku? Si uende huko FB?
  15. Mnafanyaje hadi mnapendwa?

    Wanangu tupeane code kidogo hivi nyie mnafanyaje fanyaje mpka mwanamke anakupenda kabisa, kuda dada kila siku lazima ampost mwana ake yaani deile ,kuna ile wegine wanawake mpka wanawagombania hivi nyie mnafanyaga nini mpka inakuwa hivyo? Au ndio hela?
  16. BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  17. CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
  18. Ili uwe na baby’s face ni lazima uwe na jicho jeupe

    Nilikua naambiwa nina baby’s face ila nilijua ni general tu, sasa nimegundua sababu kubwa ni macho. Macho yangu ni meupe ila yamekaa kma nimepaka wanja, wengine huniambia “ mi nimependa macho tu”. Na watu wengi huanza kukuangalia machoni ndio huanza kuona uzuri wako, ukiwa na macho mazuri...
  19. CCM wanafanya matamasha sio kampeni !! Kampeni lazima iwe na mshindani!

    Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu ! Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la...
  20. Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…