laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Elfu ishirini kila siku ya umeme mpaka 2025! Laana mbaya inawahusu wafanya maamuzi Serikalini

    Kombe la dunia ndio habari inayotamba kwa sasa. Mataifa 32 yenye ubora wa viwango vya soka yanachuana mpaka zinabaki timu mbili halafu zinagombea kombe siku ya fainali. Mpira ni mchezo wenye kupendwa kuliko michezo mingine yoyote ile. Hawa tunaowaona wamejaa majukwaani na matarumbeta yao wakiwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa kabla hujaondoka ulituachia laana au uliwaachia neema?

    Kuna watu wananeemeka na kuwa matajiri zaidi baada ya kuondoka kwako na wale masikini wanakuwa masikini zaidi, je umetuachia laana au umewaachia neema, miaka yako michache sikuwahi pata shida ya maji na umeme hata kama vilikuepo sikatai lakini watendaji wanatumia siasa kwenye suala la maisha ya...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ulemavu wa Mdomo wa Sungura hausababishwi na Laana au kuchepuka

    Laana na kuchepuka ni miongoni mwa imani potofu zinazoaminika katika jamii kuwa zinasababisha ulemavu wa mdomo sungura na mdomo wazi kwa watoto. Mdomo sungura na mdomo wazi ni ulemavu unaosababishwa na hitilafu ya kimaumbile ambayo mfumo wa mdomo unashindikana kuungana ipasavyo wakati wa...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Drones zilizopewa Urusi kama msaada kutoka Iran zapata matatizo, udhulumaji ni laana

    Mpaka sasa Putin anaendelea kusaka misaada kutoka kote ili adhulumu kainchi kadogo jirani yake, lakini kila msaada anaopewa unaangukia pua, drones alizopewa na taifa la kidini la Iran zimepata matatizo ya ghafla yasioweza kuelezeka, nawashangaa sana watu wenye dini yao wanavyopambana kumsaidia...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

    TUACHE KUFARIJIANA; UMASIKINI NI LAANA! Anaandika, Robert Heriel Angalizo; Kama hutaki ukweli pita kushoto sio lazima usome, Kama hutaki andiko refu pita kushoto. Kama unapenda maneno matamu matamu! Pita kushoto, leo sina hayo maneno ya uongo uongo! Ukweli usemwe! Ukweli ndio utakaotuweka...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanaume simameni kwenye nafasi zenu kuokoa hiki kizazi toka kwenye laana ya UZINZI, ULAWITI, USAGAJI na UFIRAJI; mambo yanayoendelea mtaani yanatisha

    Habari ya asubuhi wanajamii Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo. Leo...
  7. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Shusha mishahara ya wanasiasa na ondoa posho zao peleka kwenye mafuta uikwepe laana ya Magufuli

    Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha! Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi! Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi, Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Batuli na Ashura ndani ya jiji kufikia kutoleana laana.

    Batuli na Ashura walisoma pamoja mikoani, kufika darasa la sita Batuli alihamia jijjni na kukaa na shangazi yake. Alisoma mpaka chuo na kuajiriwa na bank moja mjini. Alipata a mume na kuolewa harusi kubwa tu. Yeye na mume wake walipata nyumba ya NHC mjini maisha yakaendelea. Batuli alipata...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila laana inaendelea kumtafuna

    Albert Chalamila Mhenga wa Kale Sijui unamfahamu mkuu wa mkoa aliyewahi kufukuzwa kwa kashifa ya mabango? Huyu bwana mimi namuita Mwamba kwa sababu kutimuliwa ukuu wa mkoa tena na mwanamke na akabaki bila kujinyonga kwa Mhehe sio jambo dogo kabisa na anakwambia kufukuzwa ni laana inayomuandama...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mama wa pacha waliotenganishwa asimulia alivyoambiwa amezaa laana, adai baba mtu alimtelekeza

    Siku tatu sasa tangu pacha Rehema na Neema waliokuwa wameungana kufanyiwa upasuaji na kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), mama mzazi wa pacha hao, Amina Amos amesimulia visa na mikasa aliyokumbana nayo baada ya kujifungua pacha hao. "Niliambiwa nimezaa laana, nimeleta...
  11. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusipomshukuru Nyerere kwa hili tutapata laana

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, ningependa nielekee kwenye mada husika. Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, katika pita pita yangu ya kutafuta ugali wangu, nimefanikiwa kukutana na watu mbali mbali waliotoka katika nchi mbali mbali za Africa na nje ya Africa. Hakika...
  12. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda saidia kuharakisha mchakato wa Katiba uepuke laana ya uzeeni

    Pole na majukumu Hongera kwa kuitwa kwenye kikosi kazi cha katiba na maridhiano. Bahati nzuri wewe ni mtoto wa mkulima na unatambua katiba iliyopo inatesa na kufukarisha wakulima Kila siku kwa kuwalinda wabadhirifu na wapigaji wa pembejeo za wakulima! Tutetee sisi wajukuu zako wakulima wenzio...
  13. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Kuepuka laana, tuweke tozo angalau ya Tsh. 20 kwa kila chupa ya maji ya kunywa kuwanusuru wenzetu wenye mahitaji maalum

    unajua misaada ambayo nchi zilizoendelea hutoa kwa nchi maskini ni sehemu ya kodi ya raia wa nchi husika ambazo wanatozwa na serikali zao ili kusaidia maskini kwenye nchi nyingine? Kwenye jamii yetu kuna watu wenye mahitaji maalum ikiwemo walemavu, Watoto mayatima, waliotelekezwa n.k ambapo...
  14. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni laana kubwa, tuungane kuutokomeza

    Rafiki yangu mpendwa, Baba wa taifa la Tanzania, Mwl J. K. Nyerere, baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni aligundua hii nchi ni ngumu sana kuiongoza. Baada ya tafakari ya kina, akagundua licha ya wakoloni kuondoka, bado kulikuwa na maadui wakubwa watatu walioendelea kuwepo na ambao ndiyo...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ushauri

    kichwa cha binadamu ni mithili ya tenki inapokea kila aina ya malighafi na bila kugoma labda ifike kwenye ukomo kulingana na ukubwa wa tenki hilo japokuwa asili ya tenki ni kupokea kimiminika lakini zipo malighafi ambazo huingizwa kwa namna tofauti madhara yake huaribu malighafi hiyo na...
  16. Liwagu

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na laana ya dunia

    Daaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena. Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake mgongoni. Akawakama anapita pale nilipo, gafla akarudi pale nilipo mimi akanisalimia mambo vipi. Tukapiga...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baraka hutoka kwa Baba; Laana hutoka kwa Mama, utaamua mwenyewe

    BARAKA HUTOKA KWA BABA, LAANA HUTOKA KWA MAMA! UTAAMUA MWENYEWE! Anaandika, Robert Heriel, Mwanafalsafa. Utaamua mwenyewe, utapima na kuamua maisha yako mwenyewe. Baba ndiye mungu wa dunia, utake usitake, Mama ni msaidizi wa Baba upende usipende. Endapo hili halitatokea maisha ya mtoto huwa...
  18. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

    Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni...
  19. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba nisipoenda kuyasafisha makaburi ya wazazi na mababu nitapata laana au mikosi kwenye kazi zangu?

    Habari za muda huu! Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao(...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

    UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
Back
Top Bottom