kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwenu dada zetu, Mitandao inawaufundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini haitakufundisha jinsi ya kuishi na matokeo ya kupoteza ndoa yako.

    Mitandao inawajaza kiburi na kuwafundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini kamwe haitawafundisha jinsi ya kuishi na upweke, aibu, na maumivu ya kupoteza ndoa zenu. Leo hii, magroup ya makungwi, podcasts za ovyo, na hao mnaowaita 'role models' waliofeli kwenye maisha yao ya ndoa ndiyo...
  2. Patrice Diounis

    Kwenu Mliojisahau, kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana

    Kila taifa lililoanguka lilianza kwa ukimya na kunyamazishana. Hasa pale wanasiasa walipoikamata Intelijensia na wasiochaguliwa pia waliotupwa mkono kikatiba wakaitawala serikali. Kikubwa taifa huanguka Hasa pale jeshi likikoma kuwa la wote, likawa la mmoja au kikundi fulani. Mwanazuoni...
  3. Tlaatlaah

    Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

    "Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi. Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea...
  4. Superbug

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu? TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
  5. mcTobby

    Swali kwenu ma firstborn kwenye familia

    Ndugu firstborn hapo kwa ur baba and ur mama... Nini kilikufanya ukaamini 💯% wewe ndio ulizaliwa wa kwanza kutoka kwenye viuno vya babayo na tumbo la mama yako?..je , haukuwahi kujiuliza kwamba Kuna bro wako mkubwa au sister yako mkubwa alikutangulia sema mimba yake ilikuwa aborted (unplanned...
  6. 1995El

    JF, Kimaisha Nimepata Somo Kubwa

    Sijapata Msaada JF, Ila Kimaisha Nimepata Somo Kubwa Kwa muda nimekuwa nikieleza changamoto zangu hapa JF, nikitarajia labda kuna mtu atanisaidia kwa namna yoyote. Ukweli ni kwamba, msaada wa moja kwa moja sijaupata. Lakini sitaki kusema JF haijanisaidia. Nimejifunza kitu kikubwa: maisha...
  7. K

    Msaada kwenu nyie moderator nisaidieni kuifuta acount yangu ya hii ya jf.

    Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute. Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe...
  8. bless on

    Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

    Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio. Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
  9. R

    Mvua huko kwenu vipi , ukame ulizidi. Huku inanyesha sasa hivi

    Huku mvua inapiga vema. Hapo ulipo vipi?
  10. Ushimen

    Nimerudi kwenu tena mnishauri wakuu

    Yale ya juzi tuliongea na tukayamaliza baada ya kuzingatia ushauri wenu. Sasa leo huyu mchudenga wangu amekuja na kubwa akisema kwamba..... anashida kubwa na mimi. Mie nikamjibu kwa upole na ustaarabu kabisa kwamba.... kama anashida na mimi, aweke kwenye whatsap status na shida itakwisha na...
  11. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Kwenu Maafisa Usafirishaji

  12. Gunner11

    Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

    Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature... The special thing was these feathery friends. Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa...
  13. Bongo PMC

    Je, wajuzi mna nini cha kusema kuhusu mawe haya?

    Niliwahi kupata ufumbuzi juu ya haya mawe,lakini kwa bahati mbaya sikumaliza elimu kutoka kwa aliyekuwa akinipatia. Je,wajuzi wana nini cha kusema kuhusu mawe haya? Cc: Seran Mshana Jr Rakims
  14. M

    Swali langu kwenu wazushi, kama kweli yanayozushwa kuwa Tanganyika inageuzwa koloni. kwanini wabara walioko huko kwenye hizo taasisi nzito wametulia ?

    Nimekutana na hizi stories zisizo na facts kwamba nchi itatekwa kiutawala na Zanzibar Yani Tanganyika yenye watu wengi mara 35 ya Zanzibar na ukubwa zaidi ya mara 300 ya Zanzibar itawaliwe na Zanzibar ? mnaota ndoto gani hizo ? Kuna kelele kwamba Wazanzibari wanajazwa JWTZ. Kwa ajili ya...
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
  16. instinct desire

    Haya wale wazee wa kuokoteza okoteza wagombea wa kiti cha Urais kazi kwenu

    Fursa zinapotokea ni kuzichangamkia haya sasa tafuteni wagombea mapema ila kaeni mkijua kuwa.👇🏼👇🏼 CCM NDO TANZANIA YENYEWE CCM NDO MLEZI WA AMANI YA TAIFA LETU. CCM NDO CHAMA PEKEE KINACHOSTAHILI KURA CCM NDO CHAMA PEKEE ambacho return ya kura zetu tunaiona wazi wazi KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
  17. BigTall

    Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  18. Sprouts pre School

    Je kijijini kwenu kuna hawa watu wanaomba kama vijiji vya kwetu?

    Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie basi sukari" hujakaa sawa Huyu nae anataka Buku, Mara buku mbili. Kwa sisi watu Wa Vyombo Hadi...
  19. M

    imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    Je, watoto wako watakumbuka asili ya ulipotokea? Watajua lugha na tamaduni za kwenu?

    NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro ndio makazi yake yapo mpaka Leo, Ujaluoni nimefika marachache zaidi nadhani katika maisha yangu...
Back
Top Bottom